Tanzania supports plan to send 5,000 troops to troubled Burundi

Let us prevent loss of life jameni. Hili situation linataka umakini na udiplomasia wa hali ya juu.
 
Duh! nikikumbuka vile mlitokwa na povu humu eti kwamba Burundi iwachiwe Warundi na sasa ghafla mumegeuza kibao. Hivi ndugu zetu, kuna jambo hata moja huwa mnafanya bila kusua sua. Haya hongera zenu, sasa Nkuruziza hana wa kumkingia kifua tena, awache upumbavu na kuruhusu amani.
 
huyu magufuli ana matatizo hivi ni kwamba hajui hili swala la burundi ni jipu la west wanataka tu kumtoa nkurunzinza kama wanavyojaribu kumtoa raisi wa rwanda
 
There is a hidden plan of sending troop to Burundi on the side of Uganda and Rwanda. what exactly the troop will do? fight against government army? or what side will them base? I am not believing on Kagame and Mseven's sprit of humanity. since when they care Burundi's?
 
There is no flip flopping anywhere. Tanzania haijasema itatuma hao askari kinyume na matakwa ya Burundi. Ila iko tayari kutuma askari baada ya mazungumzo na serikali ya Nkurunzinza. Na kama mpango wa Tanzania utafanikiwa maana yake ni kuwa askari hawa watakuwa upande wa Nkurunzinza anyway kwa sababu lengo lao ni kulinda amani.
 
Source:Daily Nation.
Hivi unaweza kuchukulia "Daily Noise" seriously!!!

Watu wanao juwa kucheza karata za kisiasa wamekwisha wapiku kwa mbali wanao jitia ujuaji, subirini mpaka mwishoni mwa mwezi huu - mtakuja kulia na kusaga meno baada ya wenzenu kuwazidi kete KIULAINI. Wahaya tuna msemo "EGENDA MPOLA ENYWAGE"
 
Last edited:
Safety & Security of Foreigners on the Foreign Soil will always be the obligation of the Host country. So if Burundian are not ready to accept AU troops, then our troops must be prepared for the consequence...
ts better to know Rundi's president refused against forein troops,.....
 
we should learn from Tanzania and Rwanda conflict in Congo war that costed the nation several soldiers lives..
but Kibaki decision to send troops in Somalia is the best lesson !
why we force to be peacekeepers while such help is called inversion ?
to solve you problems is better than neighbours problem !
Their is Zanzibar outcry for freedom from black colonist !
 
Perfect my dear! We better solve our internal problems first before embarking on our neighbours. Zanzibar and Union Constitution.
 
Yes 30,000 rag tag, ill equipped, ethnically divided and indisciplined army!! A well equipped and motivated battalion can decimate the burundi army in a week, let alone 5,000 strong!!!

Burundi army is very strong and experienced. If it was weak the bloodthirsty Kagame would have already invaded and captured it like he has been doing to the neighboring DRC. Unlike DRC, the Burundi army, especially nkurunziza's loyalists, has a long time experience of fighting as rebels. They have also an international experience since it has been engaged in UN peace keeping mission. However, i don't expect confrontations between the forces to happen since neither Tz nor RSA is likely to associate with Kagame whose intent is to impose tutsi-Hima junta leader in BUJUMBURA. Perhaps talks will easen tensions
 
Waafrica wanaunafkii sana..

Kwanini wasimnyooshe kidole KAGAME..!??
Huyu ndie anayevuta kamba nyuma ya pazia,tunazunguka mbuyu tuu mwishowe tutalewa na kizunguzungu..

Kupeleka kikosi cha kulinda amani sio solution la tatizo bali ni njia yakuingiza mamluki wengine kuchochea mgogoro..

Nadhani kazi mojawapo ya jeshi hilo la Africa iwapo litatumwa ni pamoja na kumsaidia nkurunziza kupambana na wakorofi kama Kagame na waasi anaowafadhili kupigana vita nchini Burundi. Nadhani kilichowavutia zaidi RSA na TZ ni pamoja na kuwa wale waasi wa m23 wanashirikiana na watutsi wa Burundi kufanya uasi dhidi ya utawala wa nkurunziza. Kama Tz na AU kwa ujumla wakiwaacha waasi hao wafanye wanavyotaka wajue amani ya DRC na jitihada zote zilizokwisha kufanywa kuikomboa DRC zitakuwa ni kazi bure kwani kwa kutumia hiyo tutsi-hima empire watajikatia maeneo bila upinzani. Wakifika hatua hiyo wataamua hata kujitwalia maeneo kama kigoma na kagera. Nadhani JPM is smart on that.
 
Duh! nikikumbuka vile mlitokwa na povu humu eti kwamba Burundi iwachiwe Warundi na sasa ghafla mumegeuza kibao. Hivi ndugu zetu, kuna jambo hata moja huwa mnafanya bila kusua sua. Haya hongera zenu, sasa Nkuruziza hana wa kumkingia kifua tena, awache upumbavu na kuruhusu amani.

Tanzania haikuwa inamkingia kifua Nkurunziza na pia haina uadui naye kama mlivyo nyie. HIyo ni tafsiri yako ya kimungiki mungiki. Maamuzi hubadilika kutokana na wakati pia na hiyo haitafsiriwi kama ni kuwa kigeugeu kaka!
 
Haya maamuzi ya kusuasua wakati watu wanakufa hayafai.
 
Back
Top Bottom