Tanzania sold oil license to purchase an air slaughter house(ATCL)

Akirudi, nitajua huyu jamaa ni kichwa cha panzi.
Kuna tofauti ya ajali na ujinga...Hio ya Kenya ilikuwa ajali ilhali ya Tz ilikuwa ujinga na iliwahi fanyika Kenya 10 years ago...yani kinachoendelea Tz currently, happened eons ago in Kenya. We always ahead of you guys not only economically but also brainwise.
 
So, tank la oil likianguka pale kibera, likawa lina leak oil, nobody would dare. Kadanganye nyanyaako.
 
Wewe ni mtoto mdogo, utulie tu.
Mwaka 1999 kitu kama hicho kilitokea Mbeya. Lkn wewe uko sawa na wale vijana wenzako waendesha boda boda ambao walikuwa wanachota mafuta na kujaza kwenye boda zao, hapo hapo kwenye tukio. Sababu ni kuwa, hawana experience au kupuuza mambo, as the youngsters minds are normally not thinking about bad things. No risk consideration in their minds.
 
hahahaha we m254 unahangaika kutafuta habari za uongo uongo ..tu iv hukusikia ya kuwa tulinunua kwa pesa yetu mfukoni ? au unafikiri ATCL ni sawa na KQ
 
So, tank la oil likianguka pale kibera, likawa lina leak oil, nobody would dare. Kadanganye nyanyaako.
Hizo ni assumptions si uliona ile ilikuwa Nakuru juzi hakuna mtu alikaribia Tena polisi walikuwa macho...weka your favourite Kenyan channel(s) ujionee.
 
Chinese firm 'gifted' oil licences

[IMG alt="
An Air Tanzania airplane. Photo/FILE"]https://www.theeastafrican.co.ke/im...maxw/600/-/r1fy3pz/-/home+sub+2+pix.jpg[/IMG]
An Air Tanzania airplane. Photo/FILE

With Chinese firms operating in Tanzania already in the spotlight in the wake of the World Bank banning of three of them over a bribery scandal in the Phillipines, it has now emerged that some senior officials acted inappropriately in giving oil exploration rights to China Sonangol International Holding Ltd in exchange for the latter’s purchase of 49 per cent shares in the national airline.

Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) offered the Chinese government-owned Sonangol International rights for exploration in Rukwa in exchange for $21 million to purchase a plane.
In return, the sources said, the Chinese injected $21 million into ATCL, which was used to purchase two used Bombardier 70-seater Dash 8 Q400 turboprop aircraft from Bombardier Aerospace Inc. of Canada for $16.2 million each. The remainder of the funds for the purchase of the aircraft came from the government.

The term of agreement will also see Sonangol International buy Airbus and Embarer aircraft for ATCL. The Chinese company also has a 30 per cent shareholding in SonAir of Angola,
A missed shot!!!!!
 
kama ni kweli JPM mtu makini sana, kwa bei hiyo lazima hela imesharudi na sasa anakula faida, halafu ile Dreamliner ilikuwa ya vunjabei na sasa inachana anga kwenda India XMas itakuwa kwa malkia, na mwakani wanunua makorija ya kichina watakula nayo bata.
 
Hivi unajua SGR yenu haina tofauti yoyote na MGR yetu
Wivu kitu kibaya sana
Kwanza MGR yetu itakuwa bora kwa kuwa itachomelewa.

Mwajiriwa huyu, yupo hadi youtube kwenye battles za tz vs kenya.
😂 😂 😂 muone hapo chini akitoa povu.

Screenshot_2019-07-13 DSM May 2019 Progress Video; Standard Gauge Railway Line From Dar Es Sal...png
 
Back
Top Bottom