mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,777
- 6,454
Kuna tofauti ya ajali na ujinga...Hio ya Kenya ilikuwa ajali ilhali ya Tz ilikuwa ujinga na iliwahi fanyika Kenya 10 years ago...yani kinachoendelea Tz currently, happened eons ago in Kenya. We always ahead of you guys not only economically but also brainwise.Akirudi, nitajua huyu jamaa ni kichwa cha panzi.