Tanzania slides into 12-hour power cuts - the East Africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania slides into 12-hour power cuts - the East Africa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tulizo, Jun 30, 2011.

 1. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Source: The East Africa The East African: *- News*|Tanzania slides into 12-hour power cuts

  Haya ndugu zangu..wakati wenzetu wanakimbia kwenda mbele.kuwahi maendeleo. Watanzania tunakimbia kwa kasi ya ajabu kurudi nyuma kuogopa maendeleo ..Mungu atusaidie vizazi vijavyo visituhukumu tukiwa ndani ya makaburi yetu..
   
 2. M

  MKWELIMAN Senior Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwanini wasitoe tender kwa wawekezaji wa nje na kufunguwa makampuni kama kumi kama tanesco.
  Kwanini tutegemee tanesco tu???????
   
Loading...