Wadau
Mimi naamini Tanzania sio masikini kiuchumi mwenendo. Tatizo la Tanzania tulionalo sasa, si kwa sababu limesababishwa na CCM na wala mwarobaini wake si kweli ya kwamba endapo chama mbadala kitashika hatamu basi tiba yake itakua imepatikana.
Mie nionavyo, tatizo la Tanzania ni la kihistoria. Ya kwamba kiuhakika hatukupata uhuru wa kufanya maendeleo toka awali mpaka mwaka 1995. Huko miaka ya nyuma kabla ya hapo tulikuwa ktk harakati za vita. Tulitumia resources nyingi sana ktk vita za ukombozi mwa kusini mwa afrika na ile vita ya Uganda. Hizi vita zimetu cost sana hadi kizazi kijacho kingine. Na ikumbukwe hakuna taifa linaloendelea likiwa ktk state ya kivita vita.
Kutokana na vita hivyo tajwa hapo juu, si tu imetuathiri resources za kawaida, bali imeanda mbali sana ktk kuathiri hadi kwenye mentality na mindset na vision zetu . Hizo hapo nyeusi, utaziona tu ktk mirroring ya kwamba, Rais anapoelekea kufeli kwa jambo kadha wa kadha, watu wanafurahia. Hii ni moja ya kwashakoo hatari sana kwa ustawi wa familia yetu, yani familia ya Tanzania.
Solution, kwa vile tumepigana vita mda mrefu sana bila kupata fadhira. Ningekuwa karibu na rais na ningemshauri aondoe majeshi yote yote nje yaliyo nje ya nchi na asifanye military intervention yoyote wala kulinda sijui amani wapi. Tuachane na vitu hivyo havina tija kwetu, tulinde tu mipaka yetu.
Na kuhusu hii mentality na mindset na vision, hapo ni maada ndefu. Ila tu serikali itafute njia ya kupush RESET button.