Tanzania sijui tumelogwa.....hadi kwenye michezo dhaifu ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania sijui tumelogwa.....hadi kwenye michezo dhaifu !

Discussion in 'Sports' started by JahGun, Jul 15, 2012.

 1. J

  JahGun Senior Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Da jana Yanga kapigwa mbili na leo Simba kapigwa mbili.......itabidi tumrudie Mungu hii nchi imelaniwa !
   
 2. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Kocha mpya atashikwa na presha bora arudi kwao tanzania tunachoweza kuigiza filamu za mapenzi hayo mengine kama tunalazimisha!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wewe ndo umrudie mungu na kichwa chako kiombewe

  Kagame cup ndo nchi imerogwa?
  na wanapochukua ubingwa wa kagame cup?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mwinyi ndiye aliharibu kila kitu kwa kauli yake.
   
 5. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,118
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  Kila siku nawaambia Simba na Yanga hawana mpira zaidi ya uchawi. Wao Simba na Yanga wanaona dili kutambiana wao kwa wao na watajitahidi kurogana ili mmoja wao ashinde. Hizi timu hazifikirii nje ya box, wao wanaona ujiko kutamba ndani ya nchi tu. Ngojeni sasa ifike kesho kama hamtasikia migogoro Jangwani na Msimbazi na hawa makocha wakafukuzwa. Jamani, toka lini mchawi akafundishwa kucheza mpira?
   
 6. J

  JahGun Senior Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  acha upimbi wewe...nina maana hii Tanzania kila sector ni zero ikiwa mfano hata kwenye michezo na mashindano ya makombe haya madogo...hilo Kagame Cup si mpaka wachukue...hizo timu tunazozitegemea bongo zinaongozwa na wapika pilau wa Tandale.
   
 7. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Unajua huwa siwaelewi waTz wenzangu..
  Yaan mpaka leo kuna watu wanaamini kuwa hz Simba na Yanga zitatuondelea aibu kweli?...
  Kikubwa ss ni watu wa matukio na maisha yetu ni bora liende..hatuko serious hata na jambo moja!
  Kesho wakishinda hawa Simba na Yanga tutasahau tu..na kurudi hapa kusifia!
  ''Ni upepo tu''..(JMK)  '
   
Loading...