wananchi hii dili ndo imeshapita na hakuna chochote tunaweza kufanya. sasa hivi hii kampuni inailazimisha serikali kubadili sheria moja tu ili waweze ku-export mazao hata kama kuna njaa nchini.
[video=youtube_share;ByeyjMhwMxU]http://youtu.be/ByeyjMhwMxU[/video]
[video=youtube_share;2s-Q2vZGN9g]http://youtu.be/2s-Q2vZGN9g[/video]
Kilimo Kwanza, wakati Nyerere alitowa Ardhi kuwapa wakulima wa Canada na Wakichina bure, kwa miaka kadhaa, hakuna aliyesema hata kwii.
Leo tunaletewa mafunzo ya ukulima tunaouhitaji hapa hapa na kwa faida ya wote, tunaanza longolongo. Jee, ni nani asiotaka maendeleo?
Kabla ya kuleta longolongo tuanze na kusema ardhi yote waliopewa kanisa katoliki kulima irudishwe (Kanisa katoliki lina hodhi ardhi kubwa kuliko mwingine yoyote baada ya Serikali Tanzania hii). Mbona hilo hamlisemi? au kwa kuwa hawa hawajaja kwa mgongo wa kanisa? Msilete za kuleta hapa, wacheni watu wafanye kazi, ardhi imekaa bure kule, wacha watu wafaidike nayo.
Nchi yetu ni kama gari bovu. Litapona kama litapata fundi ambaye yupo tayari kulitengeneza kwa moyo wote bila kuongeza bei ya spea au kunyofoa vipuri.
FF
our population is Growing and we also need a space for our activities, it is not the matter of comparison, it is the matter of Displacement of those people!.
Kuna mchezo unaendelea wa kupora Ardhi Africa, kwa mfano tu Uganda kuna watu wanafanye hivo, Zambia, Malawi ndo nchio ninazozijua.
Hao wachina na Wakanada waliopewa ardhi na Nyerere (R.I.P) ilikuwa wapi na Hao wawekezaji wapo au inakuaje??
We Faiza dont blind yourself, swala la wawekezaji kuja na kufanya kilimo cha kisasa hapa hakina hatari na kina faida endapo na sisi tunafaidi fairly katika mpango mzima, haya yanayoonekana kufanyika ni tofauti na mpanga ama nia kwa maana inaonekana wawekezaji ndio wanaoonekana wao ku-fulfill haja zao na sisi kubaki bila kupata hizo faida za hiyo mipango, kwa kifupi serekali inachosema na kinachotokea in reality sicho, sasa kama tuna vyuo vikuu vya kilimo manaake tunao wataalam wa kilimo, lakini hawa wajamaa wanasema PM kawaambia anategemea walete supervison yenye uwezo haswa kutoka SA wazungu (The Tanzanian Prime Minis- ter] understands the country and the capabilities and what we'll need to bring in. They quite frankly think we'll need to [bring in outside farmers], and they're fine with bringing in South African farm managers...the white South African farm managers) sasa hawa wasomi wetu wa kilimo wao wanafaa kwa lipi? na kama hawako compatible na hichi kilimo wanachokuja nacho wawekezaji kwanini vyuo havitoi wasomi compatible? Yaliyosemwa wakati wa kuwaleta wawekezaji katika madini na yaliopo sasa ni tofauti, haya ndio tunayolalamikia sio sawa, so usizungumze tuu inavyotakikana zungumza inavyofanyika ni sawa? unajua ukiangalia sera za sisiem utakubali ni nzuri na zinaweza kututoa katika umasikini ila sisiem ndio wanaotudidimiza, sababu hayafanywi yale yalioandikwa. we should speak for Tanzania and not just for some people. This is our TANZANIA in a whole.
Displacement of who? those grounds were refugee camps and the refugees are either back to their homelands or have been neutralized and granted Tanzania nationality, they are not supposed to be there by now, if they are, they are illegals.
Besides, every development has its victims, you can not stop developing because you are about to move peoples from one area to another. Its absurd and way back thinking. We need to move forward and the consequences are obvious.
You are talking about population growth, with your current farming methods, how are you going to feed the masses? lets be real.
Wachina = Mbarali
Wa Canada = Hanang.
Displacement of who? those grounds were refugee camps and the refugees are either back to their homelands or have been neutralized and granted Tanzania nationality, they are not supposed to be there by now, if they are, they are illegals.
Besides, every development has its victims, you can not stop developing because you are about to move peoples from one area to another. Its absurd and way back thinking. We need to move forward and the consequences are obvious.
You are talking about population growth, with your current farming methods, how are you going to feed the masses? lets be real.
Wachina = Mbarali
Wa Canada = Hanang.
By the way Wachina waliingia mbarali mwaka 1960, Na sijui nyerere alitoa hayo mashamba wakati gani na akiwa kama nani!
You are blinding yourself, sasa katazame mashamba ya farm managers Watanzania halafu katazame mashamba ya ma farm managers wa South Africa halafu uniambie tunahitaji kujifunza kutoka kwao au hatuhitaji? wala usiende mbali, kuna shamba Handeni lilikuwa la Serikali likafa kaja mzungu kalichukuwa kaweka manager m South Africa sasa hivi linauza mbegu za mahindi, swafi kabisa. Kiliwashinda nini Watanzania na shamba lao, ardhi yao? na huyu Msouth Afrika ni wakuja tu lakini kaweza. Watanzania bado tupo nyuma na bila kupata ujuzi wa kilimo kutoka nje hatutendelea maisha. Tusijidai tunajuwa kumbe hata vyoo vyetu mpaka leo ukiingia unatafuta pakuiweka pua.