Ukiona mtu anashabikia EU then ni hypocrite! We stand by our own rules and tanzania sio nchi pekee iliopokea pesa za corona, take an example kenya who added new millionaires from covid funds publically, but hawajaulizwa chochote! whats special with the funds za tanzania?
Je,anayeshabikia wizi na udanganyifu utamitaje? Fedha za covid zilizotolewa ni kodi ya raia wao.Wana uchungu nazo na waonapo zinatumika isivyo wanachukia. SI SIASA BALI NI UKWELI. Kama serikali inachukua hatua kali kwa wezi wa fedha za ndani iweje iwe tofauti kwa fedha za nje? that is double standard and hypocricy of the highest order!
Na unaposema "you stand byour own rules" una maanisha udanganyifu na utapeli au nini? Corona ilitangazwa haipo na masharti na maelekezo ya WHO hamtaki kuzingatia.Pesa mbona mwataka? Masharti na vigezo huzingatiwa kila sehemu na cha mtu "mavi!" Acheni propaganda dhaifu za uzalendo na kuipenda nchi kwa matendo machafu.