Afrika Furaha
JF-Expert Member
- Dec 16, 2010
- 329
- 9
Juzi nilikuwa ktk maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Bureau de Change) maeneo ya posta, nimeshangazwa sana jinsi madafu ya bongo yalivyokomaa dhidi ya US$, nilitegemea ningebadili kwa Tsh 1,520 au zaidi kwa kadola kamoja, kumbe hata bei ya kunnua haifiki Tsh 1,500 na ikabidi nighairi. Najua itapanda tu, tena ndani ya miezi miwili tu.
Kwa sasa dola 1 utabadilisha kwa Tsh 1,400 cash
Kwa sasa dola 1 utabadilisha kwa Tsh 1,400 cash