Tanzania Shilling vs US Dollar

Afrika Furaha

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
329
9
Juzi nilikuwa ktk maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Bureau de Change) maeneo ya posta, nimeshangazwa sana jinsi madafu ya bongo yalivyokomaa dhidi ya US$, nilitegemea ningebadili kwa Tsh 1,520 au zaidi kwa kadola kamoja, kumbe hata bei ya kunnua haifiki Tsh 1,500 na ikabidi nighairi. Najua itapanda tu, tena ndani ya miezi miwili tu.
Kwa sasa dola 1 utabadilisha kwa Tsh 1,400 cash
 
ni zaidi ya hiyo. kwa rate ya bank of tz, ndo inakuwa kama 1450, ukienda kununua inakuwa juuuu. hapa tunaofaidika ni wale ambao account zetu ziko nje, tukidraw hapa yaani tunapata surplus babkubwa.
 
ni zaidi ya hiyo. kwa rate ya bank of tz, ndo inakuwa kama 1450, ukienda kununua inakuwa juuuu. hapa tunaofaidika ni wale ambao account zetu ziko nje, tukidraw hapa yaani tunapata surplus babkubwa.

Kama unaagiza kitu nje ya nchi na unanunua kwa US$ hapo ndo utakiona cha mtema kuni, ila kwa rate za sasa hivi nimejionea posta, unanunua dola kwa Tshs 1450, unauza kwa Tshs 1400
 
Back
Top Bottom