Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,466
- 113,548
- Thread starter
- #201
No mawe ya Sanilu Laizer ni jiwe la Tanzanite ya Mererani, hili jiwe ni Ruby ya Longido, haina thamani sana kivile, hivyo ili kuiongezea thamani, wakatengeneza certificate of origin fake kuonyesha ni ruby ya Dodoma. Wakatengeneza certificate of valuation fake kutoka Italy.Mzee ulitoka nchini miaka 11 iliyopita. wakati hayati JPM akiwa bado ni waziri. Na ipo mizigo iliyomtajirisha Laizer mmasai wa Arusha, hatuna uhakika kama hilo jiwe ni mmojawapo ya mawe hayo.
P