Tanzania, Senegal, Ivory Cost and currencies to watch in 2017

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,172
23,975
ForexNewsNow | Published on January 24, 2017 at 6:17 am

Looking at the GDP growth rates of developed countries compared to developing countries’ will certainly raise your eyebrows. It would seem that the growth of economies in developed nations has slowed down and yet there’s an economic boom in developing nations.

For example, GDP growth in the United States rose slightly toward the end of the year 2016, 3.5% from the previous 3.2% earlier in the year, after the Federal Reserve raised interest rates. Meanwhile, GDP growth in the UK is still under 1% and expected to drop slightly in the coming months due to the Brexit poll. These relatively small figures can be seen across Europe in countries like Germany, France, Belgium, etc. and in others like Japan.

On the other hand, developing nations are showing excellent economic growth, and Africa, in particular, is showing great promise this year. There are various reasons for the difference in GDP growth rates, among them:

>the decreasing population growth rates

>investment into developing countries by companies in developed countries

>catch-up growth as developing nations adapt proven technologies from developed nations

>developed nations already have a huge GDP, and even a slight growth translates to a big number

Given these reasons, one should not jump to invest in a country just because of the GDP growth rate. However, the compounded annual growth rate (CAGR) is a much better measure to determine the growth of a country’s economy. It is with this measure, that we’re going to analyze some of the best performing African economies to keep an eye on and their currencies.

Tanzania
Tanzania is a real beacon of hope in the East African and the greater sub-Saharan regions. For a long time, Tanzania’s economy has been predominantly agricultural, employing about 80% of the country’s residents. With the other main earner being the tourism sector. Ever since the election of President John Magufuli in 2015, though, the country has diversified its economy away from these 2 sectors.

The new president emphasized on expanding the infrastructure, finance and mining sectors in order to diversify. Ever since the new president’s tenure, the battle to end graft is on in earnest. At the forefront is President John Magufuli. In his one year in office, he's already shown he means business. Inflation has dropped from 6.5% to 4.9% in a year, and GDP growth rate remained above 7%. The CAGR is also expected to remain above 7% this year, too, and this is bound to attract even more foreign investment. This is going to be crucial because President Magufuli’s plans are considered ambitious, although feasible.

So far, there has been a $3.6 billion commitment by the World Bank Group to finance these plans, and the effects can already be felt. The poverty levels are gradually decreasing and production of energy through natural gas has increased electricity supply to more areas in the country. Together with the strides made in infrastructure, more of the country which remains unexplored is expected to become more productive, contributing to the economy’s overall growth.

As for the Tanzanian Shilling, there haven’t been any improvements, but this is only due to the broad investments being undertaken by the government. It is not clear whether there is going to be any change this year, but the Tanzanian Shilling is definitely a currency to watch this year.

Senegal
This westernmost country in Africa is among the most stable countries in Africa, politically speaking, and there have been hardly any political uprisings since 1960 when it got its independence. This political stability has made the country a headquarter to many West African companies, and this has really boosted the service sector which contributes more than half of the total GDP. During the 2011 political upheaval in Ivory Coast, many companies shifted their headquarters to Dakar, Senegal’s capital city, improving the country’s banking sector and other services such as telecommunication.

In 2016, the country’s growth rate was 6.4%, among the highest in the world, and an expected CAGR of more than 6 in 2017 placing it just behind ivory Coast. The growth of Senegal’s economy has been boosted by the Plan for an Emerging Senegal (PES) which seeks to make Senegal an emerging economy. The plan aims to reduce poverty, which is a major concern, and support from the World Bank Group and other investors have seen the poverty gap being narrowed in recent years.

Ivory Coast
Also known as Côte d’Ivoire, the country’s 2017 GDP is projected to rise to 7.5% and with a CAGR above 7.8, it is certainly a rapidly growing economy. The country had been going through tough times, economically speaking, with increasing poverty from 10% in 1985 to 49% in 2008. The economy faced an even tougher downturn when there was political upheaval between 2010 and 2011. Afterwards, the country’s economy rebounded and started growing rapidly under new leadership and reforms to the constitution including the eradication of poverty.

These reforms have not gone unnoticed, and there has been a huge increase in donor funding by the World Bank and other independent donors into the billions of dollars. The economic plan adopted it titled National Development Plan and it aims to raise the country’s economic status from developing to emerging just like India and China. The leadership has even managed to keep inflation low, below 1%, to keep this promise.

Risky economies
For investors, it is not only about keeping an eye on the promising economies, but also on the riskier ones which could be an opportunity for a profitable short position. The main risk with African economies lies in political instability which affects most countries. A good example is the recent ousting of Yahya Jammeh of Gambia who lost the elections last year but refused to cede power.

Later on this year, there are going to be general elections in Kenya and Rwanda, with the former being prone to political violence. This could bring about a withdrawal by foreign investors during the year in these countries as they keep an eye on events. For these reasons, investors should be wary of any countries facing general elections or referendum polls.

Source: ForexNewsNow.
 
Hiyo extract juu ya Tanzania imechukuliwa ofisini na si katika uhalisia.
Kwa mfano, anazungumzia expansion kwenye mining wakati tumeona leseni zikifutwa na mgodi mkubwa kutangaza kufungwa baada ya madini kuisha.
Pia anazungumzia kupungua kwa umasikini, wakati hali inalalamikiwa kuwa ngumu na ukame umesababisha matatizo hasa kwa watu wa kipato cha chini.
Kwenye sekta ya fedha, hali ni tete. Tumeshuhudia CRDB na TIB zikitetemeka baada ya kuwa na nonperforming loans kubwa zilizosababisha mtikisiko na ukwasi katika mikopo.
Inflation ni kweli imekuwa stable lakini hali ya chakula huenda ikaleta matatizo baadae. Hata hivyo dalili za serikali kuanza kutumia pesa kwenye ajira, afya na kulipa madeni huenda zikaongeza mzunguko.
 
Can you provide Fox news link tusome vizuri please....
 
Tujadili tunakwenda vipi 'ubatani' kukopa pesa za std gauge, I mean Turkey

Tuliambiwa za ndani na nje zipo tayari, anatafutwa mkandarasi teh teh
 
Hiyo extract juu ya Tanzania imechukuliwa ofisini na si katika uhalisia.
Kwa mfano, anazungumzia expansion kwenye mining wakati tumeona leseni zikifutwa na mgodi mkubwa kutangaza kufungwa baada ya madini kuisha.
Pia anazungumzia kupungua kwa umasikini, wakati hali inalalamikiwa kuwa ngumu na ukame umesababisha matatizo hasa kwa watu wa kipato cha chini.
Kwenye sekta ya fedha, hali ni tete. Tumeshuhudia CRDB na TIB zikitetemeka baada ya kuwa na nonperforming loans kubwa zilizosababisha mtikisiko na ukwasi katika mikopo.
Inflation ni kweli imekuwa stable lakini hali ya chakula huenda ikaleta matatizo baadae. Hata hivyo dalili za serikali kuanza kutumia pesa kwenye ajira, afya na kulipa madeni huenda zikaongeza mzunguko.

Upo sahihi 100%, uchumi unakuwa lakini haujahakisi uhalisia. Na haishangazi kwasababu hiyo ducoment inasema chanzo kikuu cha kukuwa kwa uchumi ni utalii, na utalii hauna uhusiano wa moja kwa moja na maisha ya watanzania wengi. Uchumi utakaoleta maana zaidi ni uchumi unaotokana na kilimo maana 80% ndio wameajiriwa huko. Document hii mbona haisemi kushukuza kwa uzalishaji katika sekta ya kilimo kwa 2.5% mwaka 2016 na madhara yake kwa maendeleo ya watu?

Swali nje ya mada! Awamu hii iliingia kwa kusema kamwe haitakuwa ombaomba na Bwana Polepole akapewa ukuu wa Wilaya kwa kuandika makala iliyounga mkono dhana ya Tanzania kutoomba, ajabu tumeona kiongozi wa nchi akiomba kujengewa reli hadharani, tumeanza kula matapishi yetu?
 
Data za kwenye makaratasi hizo..

Go and fool your fellow Mburuluzzzz at Lumumba Street na data zako za kutengeneza..

Si mlisema pesa za ujenzi wa SGR ( standard gauge railway) zipo 1Trilioni mbona kazi haianzi na hizo pesa za ndani??

Mna rukaruka kama popcorn kwenye mashine mara China mara Turkey..

Dalili za Nchi iliyofilisika...

Na bado.
 
Kuna tofauti kati ya omba omba na kukopa, Tz inakopa Kama nchi yoyote ile ili kuleta maendeleo kwa haraka, hata USA wana deni la trillions of dollars sababu ya mkopo.
 
Data za kwenye makaratasi hizo..

Go and fool your fellow Mburuluzzzz at Lumumba Street na data zako za kutengeneza..

Si mlisema pesa za ujenzi wa SGR ( standard gauge railway) zipo 1Trilioni mbona kazi haianzi na hizo pesa za ndani??

Mna rukaruka kama popcorn kwenye mashine mara China mara Turkey..

Dalili za Nchi iliyofilisika...

Na bado.
Data za kwenye makaratasi hizo..

Go and fool your fellow Mburuluzzzz at Lumumba Street na data zako za kutengeneza..

Si mlisema pesa za ujenzi wa SGR ( standard gauge railway) zipo 1Trilioni mbona kazi haianzi na hizo pesa za ndani??

Mna rukaruka kama popcorn kwenye mashine mara China mara Turkey..

Dalili za Nchi iliyofilisika...

Na bado.
Aisee, inaonekana kati yenu mburura ni wewe mkuu. Ulitakiwa uchukue hiyo source ambayo ni FoxNews halafu uhakiki badala yake wewe umeenda kupiga mayowe na kuharisha Lumumba!!
 
Data za kwenye makaratasi hizo..

Go and fool your fellow Mburuluzzzz at Lumumba Street na data zako za kutengeneza..

Si mlisema pesa za ujenzi wa SGR ( standard gauge railway) zipo 1Trilioni mbona kazi haianzi na hizo pesa za ndani??

Mna rukaruka kama popcorn kwenye mashine mara China mara Turkey..

Dalili za Nchi iliyofilisika...

Na bado.
MTU akiongea anazihirisha yeye ni wa aina gani yani mburula kama ulivyosema ama LA. Suala LA kujiuliza ujenzi wa reli ya standard gauge unaweza kuanza kujenga bila kupata wajenzi. Hivi unajua tenda zilitangazwa lini na evaluation hufanyika kwa kipindi gani. Hata hivyo ukitangaza tenda ya competitive unajua inachukua siku ngapi. Pili ujenzi unaanzaje bila kusaini contract. Ukijibu hayo pia jijibu kama wewe ni mburula ama LA. Kuhusu kukua kwa uchumi, jitahidi kutofautisha kati ya kukua kwa uchumi na maendeleo. Pia jua huo uchumi unakuwa kutokana na nini. Ukijua hilo njoo katika halihalisi hivyo vinavyosababisha kukua kwa uchumi je kunawahusika wa aina gani. Matokeo yake yatakuja kwa RAIA wa kawaida ama LA. Ukipata jibu jiulize tena kama Takwimu zinadanganya ama wewe ndio mburula.
 
kama kweli hii taarifa ipo, naipokea kama ilivyo. ni mpumbavu peke yake anaemkandia mchumba na wakwe.
 
Hiyo extract juu ya Tanzania imechukuliwa ofisini na si katika uhalisia.
Kwa mfano, anazungumzia expansion kwenye mining wakati tumeona leseni zikifutwa na mgodi mkubwa kutangaza kufungwa baada ya madini kuisha.
Pia anazungumzia kupungua kwa umasikini, wakati hali inalalamikiwa kuwa ngumu na ukame umesababisha matatizo hasa kwa watu wa kipato cha chini.
Kwenye sekta ya fedha, hali ni tete. Tumeshuhudia CRDB na TIB zikitetemeka baada ya kuwa na nonperforming loans kubwa zilizosababisha mtikisiko na ukwasi katika mikopo.
Inflation ni kweli imekuwa stable lakini hali ya chakula huenda ikaleta matatizo baadae. Hata hivyo dalili za serikali kuanza kutumia pesa kwenye ajira, afya na kulipa madeni huenda zikaongeza mzunguko.
Nadhani anachozumgumzia mtoa Post, ni projection za hali ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania kulingana na trend ya economic performance kwa miaka ya 2014/2015-2015/2016
 
Nadhani anachozumgumzia mtoa Post, ni projection za hali ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania kulingana na trend ya economic performance kwa miaka ya 2014/2015-2015/2016
Hiyo article imekuwa published mwaka huu.
Pia projection za 2014/15, Magufuli asingetajwa.
 
Back
Top Bottom