Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,704
- 4,737
Uzi wa kizaramo halafu wewe unacomment kisukumaUnatakiwa uweke msisitizo hapo waliposema previous government haikuzingatia athari za Uchumi za covid 19 kwenye afya na sekta zilizoathirika.
Hao ndio wametufikisha hapa na isingekuwa kupanda kwa bei ya dhahabu kilio kingekuwa kikubwa zaidi.
Aahukutiwe Mungu maana
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app