Tanzania secures $1 billion syndicated loan from TDB bank for infrastructure

Ole

JF-Expert Member
Dec 16, 2006
2,157
975
Hapa Kazi Tu!

===
Tanzania has received a $1 billion syndicated loan arranged by the Trade and Development Bank for infrastructure projects and is seeking an additional $500 million from the regional lender, the presidency said.

The government said in 2016 it had agreed a $7.6 billion loan from China’s Export-Import Bank (Exim) to build a railway line that will link it to neighbours, but the funds were never disbursed. No reasons were given by authorities.

“TDB has issued a $1 billion soft loan to the country and is now finalising procedures for releasing other additional loans worth $500 million for implementation of various development projects,” the presidency said in a statement late on Monday.

East Africa’s third biggest economy wants to profit from its long coastline and upgrade rickety railways and roads to serve growing economies in the wider East and Central Africa region.

Admassu Tadesse, TDB’s chief executive, said the bank was in discussion with the Tanzanian government for additional loans worth “hundreds of millions of dollars” to finance infrastructure projects, including a new railway.

“We underwrote $500 million of that $1 billion and the other $500 million was mobilised and raised through some of our partners,” said Tadesse after meeting Tanzania’s president.

“There is more on the table right now. We’ll be putting in several hundred million going forward.”

In total, Tanzania wants to spend $14.2 billion over the next five years to build a 2,561 km (1,591 mile) standard gauge railway network connecting its main Indian Ocean port of Dar es Salaam to its hinterland.

Tadesse said the high-speed electric rail network that Tanzania is building is expected to boost trade with landlocked neighbours in the region.

The TDB institution is owned by regional states and other shareholders. (Reporting by Fumbuka Ng’wanakilala Editing by Duncan Miriri and Andrew Cawthorne)

Source: Reuters
 
..MASHARTI ya huo mkopo ni nini?

..Na mkopo unakwenda kutumika kwenye mradi/miradi gani?

..Kuna miradi kama daraja la Coco beach haina tija kwa sasa.

..Kuhamia Dodoma ni kupoteza hela tu. Siyo kweli kwamba tunapeleka huduma karibu na wananchi.

..Majuzi tulishuhudia kuwa NIDA haina ofisi mikoani, particularly Morogoro. Wakati huohuo tuko busy kujenga makao makuu ya mawizara Dodoma wakati tayari tulikuwa na makao makuu Dsm.

..Waswahili wana msemo, " KUKOPA HARUSI. KULIPA MATANGA." Tuwe makini na mikopo tunayochukua.
 
Kwa comment hii nimeamini uchawi upo!
 
Ila hawamu hii tunakopa sana inawezekana rais ajaye atakuta kikomo cha kukopesheka kimeshafika tumekopa trion 25 witin 4 years!

Average ya 6.5 trion per year this means after ten years tutakuwa tumekopa 65 trion plus 38 trion ya JK this means deni litakuwa 100+ trions kuna haja ya kufungana spead kwenye kukopa hatutatakopesheka uko mbele.
 
mkuu kuna watu wanawacheka kenya, ila haya tunayoyafanya ndio yaliwafanya kenya kuwa na deni lisilovumilika!......

tunaelekea kule kule waliko kenya, maana hii miradi yenyewe ina usiri sana wa gharama halisi, kuna tetesi za rushwa humo na 10%......... tunakoelekea ni giza!
..MASHARTI ya huo mkopo ni nini?

..Na mkopo unakwenda kutumika kwenye mradi/miradi gani?

..Kuna miradi kama daraja la Coco beach haina tija kwa sasa.

..Kuhamia Dodoma ni kupoteza hela tu. Siyo kweli kwamba tunapeleka huduma karibu na wananchi.

..Majuzi tulishuhudia kuwa NIDA haina ofisi mikoani, particularly Morogoro. Wakati huohuo tuko busy kujenga makao makuu ya mawizara Dodoma wakati tayari tulikuwa na makao makuu Dsm.

..Waswahili wana msemo, " KUKOPA HARUSI. KULIPA MATANGA." Tuwe makini na mikopo tunayochukua.
 
Wachina tuliwakosea nini hadi kutunyima trilion 15 walizotuahidi kutukopesha mwaka 2016 alafu bila sababu yoyote?

Wachina si ndio rafiki zetu wasioingilia mambo yetu ya ndani, imekuaje wakatunyima mkopo ambao tulisaini na exim bank ya china?
 
Ila hawamu hii tunakopa sana inawezekana rais ajaye atakuta kikomo cha kukopesheka kimeshafika tumekopa trion 25 witin 4 years!

Average ya 6.5 trion per year this means after ten years tutakuwa tumekopa 65 trion plus 38 trion ya JK this means deni litakuwa 100+ trions kuna haja ya kufungana spead kwenye kukopa hatutatakopesheka uko mbele.
Tusubiri report ya moody kuhusu rating ya nchi ila haya mengine tujiandae kwa mzigo wa kodi unless hizo pesa ziende kwenye vitu productive kiuchumi ili liweze kujilipa
 
..MASHARTI ya huo mkopo ni nini?

..Na mkopo unakwenda kutumika kwenye mradi/miradi gani?

..Kuna miradi kama daraja la Coco beach haina tija kwa sasa.

..Kuhamia Dodoma ni kupoteza hela tu. Siyo kweli kwamba tunapeleka huduma karibu na wananchi.

..Majuzi tulishuhudia kuwa NIDA haina ofisi mikoani, particularly Morogoro. Wakati huohuo tuko busy kujenga makao makuu ya mawizara Dodoma wakati tayari tulikuwa na makao makuu Dsm.

..Waswahili wana msemo, " KUKOPA HARUSI. KULIPA MATANGA." Tuwe makini na mikopo tunayochukua.
Kuhamia dodoma kama siyo kupeleka huduma karibu na wananchi kama usemavyo, ni kwa nini basi wanahamia huko. Si nyerere aliagiza na akaeleza sababu ni kusogeza huduma karibu na wananchi, wewe mkimbizi kutoka rwanda ni nani kakwambia kuhamia dodoma siyo kupeleka huduma karibu na wananchi.
Nyinyi watu mnadiscredit upinzani to the next level.
 
  • Thanks
Reactions: Ole

Siamini kuwa Tanzania imeshafanyiwa hata hiyo rating yenyewe. Ndio maana hadi leo haijawezekana kumpata fedha kwa kuuza Euro bonds.
 
Wakati haya yakifanyika kwa makusudi ya kuleta maendeleo ya leo na kesho Mzee Lwaitama anazungumzia siasa za utu za enzi ya awamu ya kwanza!.

Afrika ya sasa na dunia nzima kwa ujumla haisubiri mtu aamke kama bado amelala, hakuna wa kukuhurumia juu ya hii ardhi tunayoishi.
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Kuhamia dodoma kama siyo kupeleka huduma karibu na wananchi kama usemavyo, ni kwa nini basi wanahamia huko. Si nyerere aliagiza na akaeleza sababu ni kusogeza huduma karibu na wananchi, wewe mkimbizi kutoka rwanda ni nani kakwambia kuhamia dodoma siyo kupeleka huduma karibu na wananchi.
Nyinyi watu mnadiscredit upinzani to the next level.

..kwanza kwanini tumenunua ndege cash kwa mabeberu halafu tunaenda kukopa kwa ajili ya miundombinu?

..kama tungekuwa tunapeleka huduma karibu na wananchi basi kusingekuwa na malalamiko ya wananchi wa Morogoro kukosa huduma za NIDA.

..Mji mkuu ni makao makuu ya serikali, period. Hata ungekuwa Mtwara au Kagera as long as mawasiliano ni mazuri siyo tatizo.

..Tumejenga mji mkuu Dodoma lakini serikali imeshindwa kupeleka huduma zake mikoani na mawilayani. Kuna watendaji wa serikali ktl mikoa na wilaya mbalimbali hawana maofisi au makazi ktk maeneo yao.

..Serikali kuwa karibu na wananchi makes more sense kama tutawekeza mpaka wilayani na tarafani na siyo kujiingiza ktk matumizi ya kifahari ya kujenga mji mkuu mpya.

NB.

..Mwalimu Nyerere alikuwa ni mwanadamu na wakati mwingine alikuwa akikosea. Na kwenye suala la kuhamia Dodoma kwa maoni yangu alikosea.
 
..MASHARTI ya huo mkopo ni nini?

..Na mkopo unakwenda kutumika kwenye mradi/miradi gani?

..Kuna miradi kama daraja la Coco beach haina tija kwa sasa.

..Kuhamia Dodoma ni kupoteza hela tu. Siyo kweli kwamba tunapeleka huduma karibu na wananchi.

..Majuzi tulishuhudia kuwa NIDA haina ofisi mikoani, particularly Morogoro. Wakati huohuo tuko busy kujenga makao makuu ya mawizara Dodoma wakati tayari tulikuwa na makao makuu Dsm.

..Waswahili wana msemo, " KUKOPA HARUSI. KULIPA MATANGA." Tuwe makini na mikopo tunayochukua.
JokaKuu
Uwe unasoma basi kabla ya kuandika hata kama una chuki na JPM. Si unafahamu tena amekuwa mchungu kama pilipilimanga.
 
Siamini kuwa Tanzania imeshafanyiwa hata hiyo rating yenyewe. Ndio maana hadi leo haijawezekana kumpata fedha kwa kuuza Euro bonds.

Tusubiri mkuu

Ila tukikosa pesa tunaingia mikataba na mchina.. Yeye unaweka hata KIA bond halafu unapewa mkopo mzuri tu 😊😊
 
Back
Top Bottom