Tanzania secures 1.8tri/- loans from China for construction Road 230 km and pipeline gas mtwara

Mbona hizi Hela ni nyingi sana!! Mbona Vijana wetu tutawaachia Madeni Hadi Inatisha!! Tunasema 1 km ya Lami 1,000,000,000TZS(One Bilion) Sasa hizo Bilion 1800 zote za nini?. Sasa Mbona hela hizo Hazina Value for Money?
 
khaaa dhaifu jamani mchozi ukamtoka duh, si alisema ma askofu wa uza unga anawajua? So list imeongezeka sasa ritz mh no riz1 naye added!
 
Tunajifunga kamba wenyewe...hii mikopo imezidi hasa kipindi hiki cha ******...

Nakumbuka mkapa alikuwa akijisifia kipindi kile kwa kujenga barabara kwa fedha za ndani...any way wote ni wale wale...ila deni la taifa limeongezeka na hadi wajukuu wetu watalipa...
 
Nimeamini Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!!!bila kutumia rasilimali zetu dogo si angededishwa huyu?
 
Why community surrounding Serengeti or Kilimanjaro mountain not being considered first when it comes to proceeds what is so special with Mtwara and Lindi?
 
Kwa mujibu wa JASON BOURNE(Na kwa kujua kuwa Mods watafuta uzi nikasevu pembeni)

Taarifa za upelelezi makosa ya jinai nchini China zinasema tarehe 01/7/2012, vijana wawili wenye asili ya kiafrika walikamatwa katika uwanja wa ndege wa Hong Kong usiku, wakiwa na madawa ya kulevya yenye thamani ya shilingi za Tanzania Bilioni nne, mkuu wa kitengo chakuzuia mihadarati cha uwanja wa Hong Kong Yiu-Kwong anawataja kuwa ni Ridhiwani Jakaya Kikwete na Abdalah Aman Mohamed

Mnamo tarehe 2/7/2012 majira ya saa nne (4:13) za usiku hapa Tanzania, rais Jakaya Kikwete alipokea simu kutoka kwa mtanzania mmoja aitwae Philip Malmo ambae ni balozi wa Tanzania nchini China, Taarifa muhimu baada ya salamu ilikuwa ni Ridhiwani amekamatwa uwanja wa ndege wa Hong Kong na madawa ya KULEVYA,

Kwa haraka, rais akamuuliza vipi suala hili limeshafika hapo ubalozini? Akajibiwa hapana ni mimi na kaimu wangu tu ndie tumepata taarifa hii mda huu, bado

hatujaliifanya lakiofisi, tunasubiri ushauri wako mheshimiwa.

Rais alikata simu huku hali yake usoni ikibadilika gafla, ilichukua kama dakika 20 hivi rais akiwa kimya hata kutikisa macho tu hatikisi, baadae akainua simu na kumpigia rais Hu Jintao wa China, Waliongea kwa mda mrefu yapata dakika 40 hivi, na walikonekana kama hawakubaliana kitu fulani katika mazungumzo yao. Baadae simu ikakatwa,

Akampigia simu Malmo nakumwambia suala hili walifanye kwa siri kubwa asijue mtu yeyote, naaweke maandalizi yawe tayari yeye anajiandaa kuja kulimaliza, kasha akampigia tena simu Hu Jintao na walitumia dakika 16 tu akainuka nakusema, vijana, mwambie SD53 aandae ndege haraka kwa safari ya China,

Gari ya kirai namba T 435 CDR aina ya Landcruiser nyeusi iliingia nakuwabeba watu watatu akiwemo rais Jakaya kuelekea airport, kama dakika 13 ikafika airport, tayari ndege ilishaandaliwa na palikuwa na maafisa watatu, wote tuliingia katika ndege ile isipokuwa yule dereva wa gari ambae aligeza mjini, hiyo ilikwa sasa ni saa 7:43 za usiku.

Tarehe 3, majira ya saa nane za usiku kwa china, tulifika China, hakukuwa na aina ya mapokezi yoyote ya kiserikali, na baada ya kushuka tulimkuta Malmo na msaidizi wake wakitusubiri, Malmo alikuwa tayari ameshaandaa hoteli lakini kulingana na tukio lilivyo tulikubaliana tusilale na tukammwambia mheshimiwa rais amwambie Hu Jintao kuwa ameshafika. Rais alitekeleza hilo na baada ya dakika 15 maafisa watatu wa china walifika nakujitambulisha kuwa wenyeji wetu, wakatuchukua hadi alipo Hu Jintao katika moja ya ikulu ya Hong Kong,

Kikao chao kilichukua masaa manne, na jambo kuu walilokuwa wanakubaliana ni mashariti ya kumuachia, Hu Jintao alihitaji jambo moja tu, kwamba nini serikali ya china itapata kwakumwachia huru Ridhiwani? Kilichomvutia Hu Jintao naakamua muachia Ridhwani ni ahadi ya makubaliano ya Rais Kikwete kuwa ataipa China fursa ya uwekezaji wakudumu kusini mwa Tanzania ambako kumegunduliwa mafuta, gesi, na makaa ya mawe.

Kwakuwa sera ya china kwa sasa ni “Now we are going to Africa”, ilisaidia sana kukubali ombi hilo la jk na kuahidi kuanza utekelezaji kuanzia mwaka 2013

Majira ya saa 11 alfajiri kwa saa za china, Ridhiwani aliletwa akiwa katika gari dogo, nakupokelewa na jk huku wakikumbatiana wote WAKILIA. Jk na Jintao wote kwapamoja wakamuonya sana nakumwambia ameliaibisha taifa la Tanzania, lakini kwakujitetea akasema sio yeye, ila inawezekana yule kijana waliyesafiri wote kutoka Ethiopia ndie mwenye mzigo huo.

Majira ya saa 12 za asubuhi tukaondoka kurudi Tz
'''''


Wacha na mimi niu save kutoka kwako siku ile niliusoma
 
Why community surrounding Serengeti or Kilimanjaro mountain not being considered first when it comes to proceeds what is so special with Mtwara and Lindi?
Ficha upuuzi wako ina maana huoni gesi iliyogunduliwa huko Mtwara na Lindi FYI Mtwara na Lindi ni mikoa tajiri kwa sasa kuliko sehemu nyingine yeyote Tanzania haswa baada ya ugunduzi wa gesi inayokadiriwa kufinikia zaidi ya US$ 400 bio. niambie mkoa upi Tanzania una utajiri zaidi ya huo!
 
Back
Top Bottom