Tanzania Seamen in Port of Piraeus Greece in the 80’s

Vijana jazz enzi hizo vijana wanajitosa kwenye meli mara wengine wanatoswa baharini. Waliofanikiwa bado wapo hasa watoto wa Magomeni walijilipua wengi miaka ya 70-80s
Miaka ya 90 uzungu wa unga uliibuka. Vijana wa Magoneni walipata hela sana.
 
Wadada walikuwa wanaacha shule kwa ajili ya hawa watu,maana baharia akiwa mapumziko hela yake yote anachakaza kwa kujirusha,kwahiyo wadada kuchomoka ilikuwa ni ngumu sana...
 
Wadada walikuwa wanaacha shule kwa ajili ya hawa watu,maana baharia akiwa mapumziko hela yake yote anachakaza kwa kujirusha,kwahiyo wadada kuchomoka ilikuwa ni ngumu sana...
Uchawi mwingine walikuwa wanaleta masanduku kwa wapenzi wao, ndani yana walk man, jeans, vi just because vya kumwaga, Raba mtoni, mabegi ya shule yale ya kickers.

Wale ma dada maarufu wengi walipata mabaharia, assembly walikuwa wanawaka. Lakini wengi hawakufika A level.

1553674003220.jpeg

Wakati huo mdada anasikiliza Reggae kwenye walk man
 
Uchawi mwingine walikuwa wanaleta masanduku kwa wapenzi wao, ndani yana walk man, jeans, vi just because vya kumwaga, Raha mtoni, mabegi ya shule yale ya kickers.

Wale ma dada maarufu wengi walipata manaharia, assembly walikuwa wanawaka. Lakini wengi hawakufika A level.

View attachment 1055083
Wakati huo mdada anasikiliza Reggae kwenye walk man
Duh ulijuaje?bila ya kusahau tapes original,zile zinakuwa na karatasi kwa ndani zimeandikwa nyimbo zote,so you can even sing along wakati inacheza kwenye tape recorder...
 
Back
Top Bottom