Tanzania sasa hivi ndiyo nchi ngumu kufanya biashara

Ukitaka kula lazima nawewe uliwe Mzee. Kwa ulimwengu Wa tatu ukitaka mambo yaende lazima uliwe kidogo
Cha kujiuliza, Mzee Mwinyi Alifanya fanyaje? Maana alitutoa ktk ziwa wa matope tukiwa tunaangamia
 
Asante kwa matusi. Ila fact itabaki kwamba watu waliokuwa wanafanya madili,wezi,mafisadi na wakwepa kodi ndio walioathirika zaidi.Kutoa povu jingi sana hakutabadili ukweli huo.
Hata sishangai kwa maana taifa hili wajinga ni wengi sana na ndio mtaji wa hao waliojaza hizo fikra mfu kwamba yeyote asiyefanya vizuri kwenye mradi wowote basi ni mpiga dii au biashara hiyo sio halali.
 
Mbona kitambo sana hi projection ilishaonekana sis tunaenda kuwa next Zimbabwe
Tatizo la viongozi wa Leo wao wame base ktk siasa zaidi kuliko kutenda, je? Hawa wangekuweko wakati wa Mwinyi ambapo Siasa za vyama vingi zilipamba moto si hawa Akina Mrema wangekuwa Marehemu. Ni dhahiri shahiri kuwa hali ngumu ya Watanzani wa Leo imesababishwa na Chama kinachotawala.

Hayo mamikataba yoote mabovu walipitisha wao tena kwa Ndiyooooo. Sasa ati Leo bila aibu yanatuambia tuwaombee. Shame!
 
Hii taarifa haina reference yoyote,ni bora ungeweka ref kuonesha ukisemacho kimefanyiwa utafiti kwa hiyo una haki ya kuzungumza
N.B:Waambie hao wanaotaka kuondoka waondoke tu sasa tumechoka kuibiwa

Ukiondoa Sudani ya kusini, Ktk Africa yote Tanzania ndiyo nchi yenye mazingira na uchumi duni kuliko Nchi yoyote Africa. Hali hii, inaifanya Tanzania kuwa Sehemu hatari kabisa kufanya biashara ktk Africa.

Tusipobadilika haraka, Nina Imani baada ya Mwaka mmoja kuazia sasa, hayo makusanyo ya kodi yatashuka kwa Zaidi ya 60%.. Na tuombe Mungu uchaguzi wa Kenya uvurugike ili pasiwe na Amani mwezi wa August lakini Kama uchaguzi wa kenya utakuwa wa amani, Mhh! Kuna hatari mapato ya Tz yakashuka kwa zaidi ya 70%.
Tatizo kubwa linaloitafuna Nchi kwa sasa ni Ubaguzi. Na hii dhambi inayofanywa na viongozi wetu ni mbaya kuliko zote. Tukiendelea kuvumilia hali hii bila kuipigia kelele, matokeo yatakuwa mabaya sana.kuna tetesi kwamba TBL wana mpango wa kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600. Na hii inatokana na hali mbaya ya mauzo. Coca pia, makampuni mengi yanataka kufungasha.

Ukiteuliwa na wananchi ili uwaongoze, basi jua kwamba unafanya kazi ya Mungu, kitendo ya Cha viongozi wetu wakuu kuwa double standard, ni hatari sana. Ki tendo cha kiongozi kuwa Rafiki wa Asiyekuwa Rafiki wa wananchi au mtu mwenye Roho mbaya chuki na husda, ni hatari sana kwa Mustakabali wa Nchi hii,

Ni Maajabu sana. Ktk Taifa changa na masikini Kama hili, basi kila mtu aliyekuwa na Kipato, basi huyu mtu anaitwa. mpiga Dili, kana kwamba Tanzania mtu Akiwa tajiri ni dhambi. Halafu maneno hayo yanatamkwa na Viongozi ambao tuna Amini wana Akili timamu, na wanatamka ktk Majukwaa au ktk mikutano muhimu ya Kitaifa. Binafsi mpaka sasa sijamuona kiongozi yeyote Ambaye yuko Serious kulisongesha hili Taifa,

Tukishakuchagua kuwa kiongozi wetu jua ni lazima utende haki. Uwe na busara na hekima. Ubaguzi kwako uwe Mwiko. Maana kiongozi aliyechaguliwa lazima ajitambue kuwa haongozi familia Bali anawangoza Watanzani ambao ni Zaidi ya milioni 50
 
Hii taarifa haina reference yoyote,ni bora ungeweka ref kuonesha ukisemacho kimefanyiwa utafiti kwa hiyo una haki ya kuzungumza
N.B:Waambie hao wanaotaka kuondoka waondoke tu sasa tumechoka kuibiwa
Sawa makinikia, ila najua wewe siyo mfanyabiashara. Ukitaka fact uliza TBL COCA BAKRESA DANGOTE, TWIGA CEMENT RHINO na wafanyabiashara wengi walipa kodi, wao wanajua kinachoendelea.
 
Kuna kiongozi mmoja nilimwona ktk tv akitamba ati hata bei ya mademu imeshuka, tena anaongea kwa kujiamini,akifikiri ni Sifa, binafsi nilisikitika sana.Sijui yeye hali za wananchi zikiwa Dhoofu Kama sasa yeye ananufaika na nini.!
 
Binafsi nilikuwa na wafanyakazi 24, mpaka kufikia mwishoni mwa mwezi wa tano nimebaki nao 6. Na sijajua mwisho wa mwezi huu nitawalipa nini. Halafu ati mijitu inakuja hapa JF kazi ni Kusifia sifia tu. Kiukweli napata hasira sana.
Pole mkuu.Sifurahii your fate,ila labda there are lessons to be learnt.Msingi wa biashara yako ulikuwa nini? Je ulitegemea opportunities ambazo zilitegemea mfumo,kiasi kwamba mfumo uki-collapse biashara nayo ina collapse?May be.Nadhani unahitaji kujitafakari upya.
Mkuu unafanya biashara gani ambayo haijayumba?
Mkuu biashara zangu ni kama ifuatavyo:
1.Ninanunua mpunga Mbeya na Ifakara,then ninafanya shelling na packing, halafu napeleka Zambia na Malawi.
2.Nina nyumba za kupanga
3.Nalima mpunga na mahindi
4.Nafuga kuku wa kienyeji kwa wingi.
 
Nyumba za kupanga za Serikali na za watu binafsi kila kona ni kilio, Siku zinasonga miaka inakatika. Na hakuna namna yoyote ya kutoka hapa. Kiukweli Tanzania tumekwama ktk Tope baya sana kuwahi kutokea.
 
Nakataa kabisa, labda kama hupendi kulipa kodi, kusajili kampuni, kuheshimu mila na tamaduni za hapa, na kama wataka uchote kama ACACIA!
Hapa business inapigika safi kabisa, kama raia au mgeni fuata sheria bila shuruti tu..usikimbilie kutoa rushwa wajitakia mwenyewe...Nakataa kabisa kabisa...
 
Pole mkuu.Sifurahii your fate,ila labda there are lessons to be learnt.Msingi wa biashara yako ulikuwa nini? Je ulitegemea opportunities ambazo zilitegemea mfumo,kiasi kwamba mfumo uki-collapse biashara nayo ina collapse?May be

Mkuu biashara zangu ni kama ifuatavyo:
1.Ninanunua mpunga Mbeya na Ifakara,then ninafanya shelling na packing halafu napeleka Zambia na Malawi.
2.Nina nyumba za kupanga
3.Nalima mpunga na mahindi
4.Nafuga kuku wa kienyeji kwa wingi.
Mhh! Kwa hiyo unataka kuniambia kila mtu afanye biashara Kama za kwako? Anyways je? Zako zinakwenda vizuri?
 
Sawa makinikia, ila najua wewe siyo mfanyabiashara. Ukitaka fact uliza TBL COCA BAKRESA DANGOTE, TWIGA CEMENT RHINO na wafanyabiashara wengi walipa kodi, wao wanajua kinachoendelea.
Catalyst kumbuka kuwa hakuna mtu anayependa mabadiliko hasi na pia unapotaka kufanya mabadiliko lazima upate changamoto
 
Nikukumbushe tu, juzi Shamba la Mbowe la mboga mboga limeharibiwa, kisa hakijulikani. Lakini kumbuka tu. Usipoongoza kwa haki, Mungu atakufundisha kuongoza kwa haki. Na ni mbaya sana ikifika hatua Mungu akaingilia Kati. Utajuta.
Unajua alikuwa alipi hotel levy na pango la NHC pale posta?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom