Tanzania sasa hivi ndiyo nchi ngumu kufanya biashara

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,867
2,000
Ukiondoa Sudani ya kusini, Ktk Africa yote Tanzania ndiyo nchi yenye mazingira na uchumi duni kuliko Nchi yoyote Africa. Hali hii, inaifanya Tanzania kuwa Sehemu hatari kabisa kufanya biashara ktk Africa.

Tusipobadilika haraka, Nina Imani baada ya Mwaka mmoja kuazia sasa, hayo makusanyo ya kodi yatashuka kwa Zaidi ya 60%.. Na tuombe Mungu uchaguzi wa Kenya uvurugike ili pasiwe na Amani mwezi wa August lakini Kama uchaguzi wa kenya utakuwa wa amani, Mhh! Kuna hatari mapato ya Tz yakashuka kwa zaidi ya 70%.
Tatizo kubwa linaloitafuna Nchi kwa sasa ni Ubaguzi. Na hii dhambi inayofanywa na viongozi wetu ni mbaya kuliko zote. Tukiendelea kuvumilia hali hii bila kuipigia kelele, matokeo yatakuwa mabaya sana.kuna tetesi kwamba TBL wana mpango wa kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600. Na hii inatokana na hali mbaya ya mauzo. Coca pia, makampuni mengi yanataka kufungasha.

Ukiteuliwa na wananchi ili uwaongoze, basi jua kwamba unafanya kazi ya Mungu, kitendo ya Cha viongozi wetu wakuu kuwa double standard, ni hatari sana. Ki tendo cha kiongozi kuwa Rafiki wa Asiyekuwa Rafiki wa wananchi au mtu mwenye Roho mbaya chuki na husda, ni hatari sana kwa Mustakabali wa Nchi hii,

Ni Maajabu sana. Ktk Taifa changa na masikini Kama hili, basi kila mtu aliyekuwa na Kipato, basi huyu mtu anaitwa. mpiga Dili, kana kwamba Tanzania mtu Akiwa tajiri ni dhambi. Halafu maneno hayo yanatamkwa na Viongozi ambao tuna Amini wana Akili timamu, na wanatamka ktk Majukwaa au ktk mikutano muhimu ya Kitaifa. Binafsi mpaka sasa sijamuona kiongozi yeyote Ambaye yuko Serious kulisongesha hili Taifa,

Tukishakuchagua kuwa kiongozi wetu jua ni lazima utende haki. Uwe na busara na hekima. Ubaguzi kwako uwe Mwiko. Maana kiongozi aliyechaguliwa lazima ajitambue kuwa haongozi familia Bali anawangoza Watanzani ambao ni Zaidi ya milioni 50
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,282

Kwani ugumu wake ni nini hasa, kwa kuwa mimi siuoni.Labda kwa kuwa biashara zangu zote ni za halali,sina mchongo wowote.Ninachopata naridhika.
 
Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,867
2,000
Umeona mbali sana mkuu,hali ya kibiashara imekuwa tete sana nchi hii.Halafu pesa hakuna kabisa japo kidogo bidhaa za matumizi ya kawaida zimeshuka ila chakula kimepaa sana
Ukweli ndiyo huo Mkuu, Tukishakuchagua kuwa kiongozi wetu kwa miaka mitano, basi sharti uachane na siasa mbaya na Utumie kila aina ya ujuzi wako kuwakwamua Wanachi wote bila kuwabagua, na tena uwaambie marafiki zako wakome kunyanyasa wananchi. Maana haitoshi tu wewe kuwa Mzuri wakati marafiki zako ni wabaya.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,929

Mangi Jifunze kula kwa jasho mangi
 
Ftc

Senior Member
Apr 30, 2017
144
250
Aise jambo lisipokugusa lazima ulichukulie kawaida mi kuanzia jana ndo nimeamini kuwa hali ya kibiashara tanzania ni ngumu,mzee wangu alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya tajiri fulani ambaye ni contractor wa mambo ya mechanical kwa ujumla,lakin jana wamepewa barua ya kusimamishwa kazi na wenzie kumi na mbili(12) sababu aliyotoa ni kuwa biashara zimekuwa ngumu tenda hakuna tena
 
Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,867
2,000
Acaccia kuambiwa walipe imekuwa nongwa,wafanyabiashara wezi hatuwahitaji.
Mhh, watu wenye akili Kama zako ndiyo wameifanya hii Nchi kuwa omba omba! Wakati mwingine jifunza kufikiri nje ya box. Kumbuka ukitenda Mabaya lazima utakuja kuyalipa. Couse Nina Amini kuna mtoto aliyezaliwa Leo Ambaye baadaye atakuja kuhoji mabaya yote uliyoyafanya. Wakati huo wewe ni mzee kabisa na hata kukimbia hutaweza. It's just mater of time.wewe jisahau tu.
 
Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
48,261
2,000
Ukiondoa Sudani ya kusini, Ktk Africa yote Tanzania ndiyo nchi yenye mazingira na uchumi duni kuliko Nchi yoyote Africa. Hali hii, inaifanya Tanzania kuwa Sehemu hatari kabisa kufanya biashara ktk Africa.

Tusipobadilika haraka, Nina Imani baada ya Mwaka mmoja kuazia sasa, hayo makusanyo ya kodi yatashuka kwa Zaidi ya 60%.. Na tuombe Mungu uchaguzi wa Kenya uvurugike ili pasiwe na Amani mwezi wa August lakini Kama uchaguzi wa kenya utakuwa wa amani, Mhh! Kuna hatari mapato ya Tz yakashuka kwa zaidi ya 70%.
Tatizo kubwa linaloitafuna Nchi kwa sasa ni Ubaguzi. Na hii dhambi inayofanywa na viongozi wetu ni mbaya kuliko zote. Tukiendelea kuvumilia hali hii bila kuipigia kelele, matokeo yatakuwa mabaya sana.kuna tetesi kwamba TBL wana mpango wa kupunguza wafanyakazi zaidi ya 600. Na hii inatokana na hali mbaya ya mauzo. Coca pia, makampuni mengi yanataka kufungasha.

Ukiteuliwa na wananchi ili uwaongoze, basi jua kwamba unafanya kazi ya Mungu, kitendo ya Cha viongozi wetu wakuu kuwa double standard, ni hatari sana. Ki tendo cha kiongozi kuwa Rafiki wa Asiyekuwa Rafiki wa wananchi au mtu mwenye Roho mbaya chuki na husda, ni hatari sana kwa Mustakabali wa Nchi hii,

Ni Maajabu sana. Ktk Taifa changa na masikini Kama hili, basi kila mtu aliyekuwa na Kipato, basi huyu mtu anaitwa. mpiga Dili, kana kwamba Tanzania mtu Akiwa tajiri ni dhambi. Halafu maneno hayo yanatamkwa na Viongozi ambao tuna Amini wana Akili timamu, na wanatamka ktk Majukwaa au ktk mikutano muhimu ya Kitaifa. Binafsi mpaka sasa sijamuona kiongozi yeyote Ambaye yuko Serious kulisongesha hili Taifa,

Tukishakuchagua kuwa kiongozi wetu jua ni lazima utende haki. Uwe na busara na hekima. Ubaguzi kwako uwe Mwiko. Maana kiongozi aliyechaguliwa lazima ajitambue kuwa haongozi familia Bali anawangoza Watanzani ambao ni Zaidi ya milioni 50
Bawacha tupe takwimu kulingana na utafiti...wenzio wakiongea hivi wanaleta takwimu sio hisia za kiufipa
 
Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
4,565
2,000
Naona umeandika blaablaa tu, nlifikiri ungeandika kisomi japo nione huo uhalisia zaidi umeshambulia kwa chuki na chuki, nlijua utakua unaandika kiuchumi zaidi na kuonyesha yapi yatakayosababisha anguko hilo...porojo porojo tu nenda kalale huna jipya
 
imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
28,279
2,000
Mhh, watu wenye akili Kama zako ndiyo wameifanya hii Nchi kuwa omba omba! Wakati mwingine jifunza kufikiri nje ya box. Kumbuka ukitenda Mabaya lazima utakuja kuyalipa. Couse Nina Amini kuna mtoto aliyezaliwa Leo Ambaye baadaye atakuja kuhoji mabaya yote uliyoyafanya. Wakati huo wewe ni mzee kabisa na hata kukimbia hutaweza. It's just mater of time.wewe jisahau tu.
Tumeishi wakati wa mwalimu,tulikuwa tunashindia mihogo na sukari guru na tuliishi bila kujuta.
 
Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,867
2,000
Naona umeandika blaablaa tu, nlifikiri ungeandika kisomi japo nione huo uhalisia zaidi umeshambulia kwa chuki na chuki, nlijua utakua unaandika kiuchumi zaidi na kuonyesha yapi yatakayosababisha anguko hilo...porojo porojo tu nenda kalale huna jipya
Ni mtazamo wako Mkuu, inaonekana ww ni Kati ya yale Manyangau yanayokula kodi zetu bure. Ila nakuhakikishia, subiri Uchaguzi wa Kenya uishe salama, hutamuona Mtu mtu hapa. Ndiyo utajua watu ni wasomi ama la.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
15,929
2,000
Nikukumbushe tu, juzi Shamba la Mbowe la mboga mboga limeharibiwa, kisa hakijulikani. Lakini kumbuka tu. Usipoongoza kwa haki, Mungu atakufundisha kuongoza kwa haki. Na ni mbaya sana ikifika hatua Mungu akaingilia Kati. Utajuta.
Maeneo hayo alikuwa analima Mbowe mwenyewe ?! Kama anaonewa mwambie aende mahakamani na aweke gwiji lenu la sheria Tundu Lissu na Peter Kibatala dhidi ya wanasheria vilaza wa serikali mtashinda tu. Dhulma, wizi, ukabila, ubaguzi, undulisation, uwongo na utapeli mnaofanya bado unamtaja Mungu - amma kweli mna ujasiri wa ajabu
 
sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
4,160
2,000
Hali ni tete sana kwa cc wafabiashara kwa kwel , kiukwel mm ni mfanyabiashara kitambo tu na ni mlipa kodi mzuri tu, lakini ninapolekea ni kushindwa kufanya biashara hii kwani hali imekuwa tete sana, biashara yangu sasa nimewekeza zaidi ya mil 15 cha ajabu kuanzia mwezi wa tatu mauzo yameshuka balaa yani kwa siku unajikuta unapata faida elfu kumi mara elfu kumi na tano, yaani ni balaa hapo, kinachofanyka sasa hivi nakula mtaji tu. Yaani hata sielew mbeleni itakuwaje.
 
Wick

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
8,325
2,000
Ni mtazamo wako Mkuu, inaonekana ww ni Kati ya yale Manyangau yanayokula kodi zetu bure. Ila nakuhakikishia, subiri Uchaguzi wa Kenya uishe salama, hutamuona Mtu mtu hapa. Ndiyo utajua watu ni wasomi ama la.
Kwahiyo wakenya wameshikilia uchumi wa Tanzania ama wasomi wengi Tanzania ni wakenya?..
 
Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,867
2,000
Hali ni tete sana kwa cc wafabiashara kwa kwel , kiukwel mm ni mfanyabiashara kitambo tu na ni mlipa kodi mzuri tu, lakini ninapolekea ni kushindwa kufanya biashara hii kwani hali imekuwa tete sana, biashara yangu sasa nimewekeza zaidi ya mil 15 cha ajabu kuanzia mwezi wa tatu mauzo yameshuka balaa yani kwa siku unajikuta unapata faida elfu kumi mara elfu kumi na tano, yaani ni balaa hapo, kinachofanyka sasa hivi nakula mtaji tu. Yaani hata sielew mbeleni itakuwaje.
Pole Mkuu, Mungu atatuvusha tu ktk kipindi hiki cha Msiba mkuu wa kibiashara ktk Nchi yetu. Lakini ukiona hali inazidi kuwa mbaya, basi jiongeze. Nchi majirani zetu mazingira ni mazuri sana, unaweza ukahamia Either Lubumbashi, Kampala, Nairobi au Mombasa. Hizi sehemu ziko vizuri sana kufanya biashara. Utarudi Muda Muafaka, ila kwa sasa, Tanzania siyo Rafiki kwa mfanyabiashara yoyote.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom