Ndo viwango na uwezo wa mitambo ya Television ya Taifa hiyo, hakuna namnaTangu Channel hii izinduliwe inakwama inakwama sana mpaka kero kuitazama. Wahusika ondoeni hiyo kero.
Duh.Ni shida kuitazama ingawa ni nzuri inatangaza utaliiTangu Channel hii izinduliwe inakwama inakwama sana mpaka kero kuitazama. Wahusika ondoeni hiyo kero.
Tangu Channel hii izinduliwe inakwama inakwama sana mpaka kero kuitazama. Wahusika ondoeni hiyo kero.
Azam mkuu ngoja niangalie ila channels zingine hazina shidaMkuu unatumia king"amuzi gani mbona mimi kwangu haigandi mambo ni kama ulaya, angalia signo yawezekana zipo chini ndio maama ina ganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri kama itashughulikiwaTatizo linashughulikiwa worry not...
Inaboa kweli kweli mkuu
Kwangu inaonyesha vizuri sana, kama ulaya vile.......Mkuu unatumia king"amuzi gani mbona mimi kwangu haigandi mambo ni kama ulaya, angalia signo yawezekana zipo chini ndio maama ina ganda
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya ccm mkuu,siyo ya taifa!Ndo viwango na uwezo wa mitambo ya Television ya Taifa hiyo, hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu Channel hii izinduliwe inakwama inakwama sana mpaka kero kuitazama. Wahusika ondoeni hiyo kero.