Tanzania, Rwanda na Uganda zaunda soko moja la hisa

Yaani ukijumuisha Stock exchange ya hizi nchi tatu unapata $14 billion na huku stock exchange ya Kenya ni $22 billion. Yaani sisi tumedouble hizi nchi malazy tatu combined
Kenya iliongoza kundi la nchi tatu za Kenya, Rwanda and Uganda kuunda "Coalition of the Willing", Kenya failed terribly.

Tanzania is leading this cooperation, let's wait and see

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hehehe sijui nicheke juu hii ripoti ama nihuzunike?
Alafu Kenya ndio ilijiondoa yenyewe kwenye mradi huo, ambao ni wa World Bank, mwaka wa 2015. ..."Kenya, which runs the largest stock
market in the region
in terms of market capitalisation and number of listed companies pulled out of the project in 2015 after expressing
dissatisfaction on how the Pakistan firm was awarded the contracting citing procurement irregularities
"...
 
Alafu Kenya ndio ilijiondoa yenyewe kwenye mradi huo, ambao ni wa World Bank, mwaka wa 2015"Kenya, which runs the largest stock
market in the region
in terms of market capitalisation and number of listed companies pulled out of the project in 2015 after expressing
dissatisfaction on how the Pakistan firm was awarded the contracting citing procurement irregularities
"
Let them try competing with the giant. Hata waongeze Burundi an South Sudan kwa hicho kikundi chao bado hawatoshi mboga.
 
Alafu Kenya ndio ilijiondoa yenyewe kwenye mradi huo, ambao ni wa World Bank, mwaka wa 2015. ..."Kenya, which runs the largest stock
market in the region
in terms of market capitalisation and number of listed companies pulled out of the project in 2015 after expressing
dissatisfaction on how the Pakistan firm was awarded the contracting citing procurement irregularities
"...
This is good, jambo la kushangaza baadhi ya wakenya wameanza kulalamika kutengwa. Anyway sisi tunasonga mbele, ninyi endeleeni kususa

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
This is good, jambo la kushangaza baadhi ya wakenya wameanza kulalamika kutengwa. Anyway sisi tunasonga mbele, ninyi endeleeni kususa
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wakenya wamelalamika lini kwamba wanatengwa na wametengwa kivipi? Mradi wenyewe ni wazo la World Bank kwa 100%, wale wale mnaopenda kuwaita 'mabeberu'. Wameubuni wao, wamewashawishi mjiunge wao wenyewe, wanautekeleza wao. Ila Kenya tukajiondoa kwasababu ya ukosefu wa uwazi kwenye kuipa kampuni ya Pakistan kandarasi ya kutekekeza mradi wenyewe. Unachekesha unaposema mnasonga mbele, wakati Stock Exchange zenu zote kwa pamoja, UG, Tz na RW ni karibia nusu ya Nairobi SE. Kwani Kenya imefika hapo ilipo kwa usaidizi wa nani?
 
This guy dreams of Kenyans complaining about Tanzania.
 
Wakenya wamelalamika lini kwamba wanatengwa na wametengwa kivipi? Mradi wenyewe ni wazo la World Bank kwa 100%, wale wale mnaopenda kuwaita 'mabeberu'. Wameubuni wao, wamewashawishi mjiunge wao wenyewe, wanautekeleza wao. Ila Kenya tukajiondoa kwasababu ya ukosefu wa uwazi kwenye kuipa kampuni ya Pakistan kandarasi ya kutekekeza mradi wenyewe. Unachekesha unaposema mnasonga mbele, wakati Stock Exchange zenu zote kwa pamoja, UG, Tz na RW ni karibia nusu ya Nairobi SE. Kwani Kenya imefika hapo ilipo kwa usaidizi wa nani?
Angalia twitter junsi wakenya wanavyolalamika kutengwa, au nikuletee twittes za wakenya?.

Tanzania we know how to play the game, when we realize areas of our weaknesses, we are looking for solution. We know exactly that through this way our stock exchange will become stronger, we really put our ego first the way you Kenyans refused to join East Africa crude oil pipeline instead you decided to go alone.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Joto, hili uzi hata watanzania wamelihepa kwa aibu.
Bado wanafurahia ushindi wa Kenya kusalimu amri kwa kuruhusu Tanzania ambayo haijachukua hatua zozote za kupambana na maambukizi ya Corona, na bado hatutoi idadi ya wagonjwa lakini bado Kenya imetuweka katika kundi la nchi ambazo ni salama

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kenya, which runs the largest stock market in the region in terms of market capitalisation and number of listed companies pulled out of the project in 2015 after expressing dissatisfaction on how the Pakistan firm was awarded the contracting citing procurement irregularities.
did you read before posting?
"Kenya opted out of the project sighting irregularities"
nowhere said "kenya katengwa"
don't be desperate, always trying to change the narrative to appear as though we the bad ones... anyway it's good for y'all, plus it'll be sort of a better competition, Tug of war!!
 
Kenya haiwezi na haitawahi ingia katika muungano wa kifedha na nchi ambayo haijui hata kulinda sarafu yao. Wataweza stock exchange.

Hiyo ndiyo makosa ujerumani walifanya na sasa wajerumani wanalalamika wanataka deutsch mark yao irudishwe. Britain ilikataa pia kuingia muungano kama hiyo na eu.

Kuingia muungano wa kifedha na Tanzania ni kama kuita abunuwasi ama juha kalulu awe accountant wako.

Ndiyo maana Bank of kigali iliamua kuingia Nairobi stock exchange(nse) na sio dse ama use.

“It was very natural that Nairobi will be our first market for international listing. The liquidity at the Nairobi exchange is very impressive (and) the custodial services here satisfy the investors who want that comfort,” Bank of Kigali Group chair March Holtzman said.

Hata kampuni ya Uganda "Umeme" pia iliamua kuingia nse mwaka wa 2012 mwezi wa december.
 
Mnatia huruma....

The market capitalisation of the Nairobi Securities Exchange (NSE) for the six months period to June 16, 2020 stood at $22.1 billion compared with DSE, USE and RSE whose value of listed shares stood at $6.5 billion, $5.1 billion and $3.52 billion respectively.

Tunakuja tutakufikia tu
 
Tunakuja tutakufikia tu

Mumekua mkija tangu enzi za mababu zenu, na kwanza sasa hivi pengo limezidi kuongezeka kwanza awamu hii ya tano ndio tuliwagaragaza maana ndio kipindi tumewaacha kupita vipindi vyote.
 
Back
Top Bottom