Tanzania refuses to sign -then signs-proposal for EAC political federation

Tell me you guys dont suffer from inferiority complex. hahahaha, mimi nimekaa Tanzania baba, nawajua aise.

teh teh teheeee tihihihiiii
inferiority complex kwa mkenya....... !!!!!!???? ambao wanaishi kibera...... go to settle your IDP issue before to pop noice in Tanzanian land......

Halafu kila siku nawaambieni akina smatta...... land redistribution is the solution to your disappointing land disputes........ but not TZan land.....

Nyie ya kwenyu mlibadilishana na shanga (beads) na wazungu walowezi...... sisi ya kwetu haibi mtu kwa sasa......tunailinda usiku na mchana.....
 
My dear friend,stop exposing the intellectual poverty ravaging your nation! with this kind of land mass plus its the resources..you should be the strongest economy in Africa!! imagine having a land more than the rest of EAC combined and yet still begging for favors and special consideration!! you should be ashamed of yourselves as a nation you must be the most laziest and dumbest people to live on the face of the whole earth!! you should never have brought this up!!
Tanzania being afraid of even small countries like Rwanda and Burundi!!? un thinkable!! you do have an option though...pack up and leave!!

Why the hell are you craving to sign stupid agreements with "intellectual poverty ravaging nation!? You especially should know it better that you can NOT share a marriage without concent of partners. Sisi tunaita UBAKAJI. Mkabakane wenyewe huko na uroho wenu wa ardhi ya watu wengine, tuacheni na ujinga wetu na ardhi yetu. By the way KARIBU JF. We are not packing up to leave Arusha; you are the ones to pack up and leave kama hamjaishie vichochoroni Ngaramtoni NYANG'AU NYIE
 
Let me put some of these matters in clear perspective! My source tells me the issues that led Tanzania not to sign the Report of the Council of Ministers was doctoring of the report. Tanzania during the meeting at the lower levels and even at the level of the Ministers indicated that it was not going to accept the recommendations of the Team of Experts on the Political Federation. It also objected a protocol on Defence Cooperation which required it to be part of an EAC Defence Pact. They wanted these matters ironed out before they sign the documents but the goons from the other states went ahead and signed the report while ignoring even to record the reservations pointed out by Tanzania.

Kwahiyo ambacho Tanzania imekataa kutia sahihi siyo mkataba bali ni ripoti ya Mawaziri. Mwaka huu Mwenyekiti wa Jumuiya ni Kenya na Karani (rapporteur) ni Rwanda, so unaweza kuona shida itakayokuwepo. Mimi napongeza hatua ya Mawaziri na wataalamu wetu kuonyesha msimamo katika maeneo hayo. Jumuiya ya Afrika Mashariki inaihitaji Tanzania pengine kuliko Tanzania inavyohitaji Jumuiya. Nawasilisha

Naunga mkono hoja (penye red)...
Sisi Tanzania ni EAC na EAC ni Tanzania........ Tanzania ndiyo inayoamua EAC tunayoitaka on behalf of every member...... tukisema hiki hakifai kwa sasa ..... wanachama wengine wote wanakubali..... how giant we are in the bloc......

umeona eh! hawa wagema ulimbo tutawapeleka vile tunavyotaka sisi :poa,hawataki wacha na hiyo EAC ife.Nalog off
 
teh teh teheeee tihihihiiii
inferiority complex kwa mkenya....... !!!!!!???? ambao wanaishi kibera...... go to settle your IDP issue before to pop noice in Tanzanian land......

Halafu kila siku nawaambieni akina smatta...... land redistribution is the solution to your disappointing land disputes........ but not TZan land.....

Nyie ya kwenyu mlibadilishana na shanga (beads) na wazungu walowezi...... sisi ya kwetu haibi mtu kwa sasa......tunailinda usiku na mchana.....
Waambie hao,watajibeba na hiyo EAC yao.Nalog off
 
Why the hell are you craving to sign stupid agreements with "intellectual poverty ravaging nation!? You especially should know it better that you can NOT share a marriage without concent of partners. Sisi tunaita UBAKAJI. Mkabakane wenyewe huko na uroho wenu wa ardhi ya watu wengine, tuacheni na ujinga wetu na ardhi yetu. By the way KARIBU JF. We are not packing up to leave Arusha; you are the ones to pack up and leave kama hamjaishie vichochoroni Ngaramtoni NYANG'AU NYIE
Umegongelea msumari wa mwisho katika sanduku la marehemu hawa:poa.Nalog off
 
Tanzania ni Kenya ya 1991, ndio nikama multiparty democracy imeingia, wanapigania bado Katiba, chama kimoja ndicho kimetawala tangu wapewe uhuru, ufisadi ndio umeanza kukidhiri katika civil service, ndio wameanza kujua umuhimu wa ardhi,.. hii ni kumaanisha bado mna njia ndefu sana ya kwenda kabla muanze kujipigia upato hapa kuhusu ardhi.

I find it really draining nowadays to discuss issues with most of these Tanzanians in here (and nope, am not leaving this forum), they are quick to judge and throw insults, we cant discuss any issue without some of them going over board and eventually the thread loses direction. EAC is not all about the land in Tanzania, I think its about time you get this in your head coz its obvious you'll lose alot from the community if you have this mentality. EAC is bigger than Tanzania, bigger than any country in the larger East Africa, the benefits easily outweigh the disadvantages, but judging from the comments, most of you will never gain anything from this community, except maybe the hate for other countries whose citizens are ready to embrace the community. Tanzania should stop feeling inferior or threatened, it should rise and contest any bias clause which doesn't favor it like the rest of the countries in the community. It shouldn't boycott meetings, because this is a juvenile act that reeks despair and lack of confidence and the will to defend what you beleive in.
Instead of praising your leaders, you should ask them where they were when the proposals were being drafted, kwani hawakukuwa kwenye mikutano?

If Tanzania is like Kenya of 1991 then why do you rush us to join you, the Kenyans of 2025. Then leave us alone sucker!
 
Moyo!
You seem to be forgetting the african culture. On divorce its the woman who leaves the house, EAC sits on Tz land and if you cant stand the land lord's heat just pack and goooo!
Who knew China would be a powerhouse today. Keep watching...

Don't be deluded my friend...Tanzania is not China!! get that into ua head!
 
Tanzania,,you are better off in EAC than that failing SADC...So you have refused to sign the document that will eventaually create the much awaited East Africa Federation..Your refusal puts our interests at stake here!Our foreign policy is now clear..any country that puts Kenyan interests at stake should be dealth with without mercy.
You are better in EAC and Comesa....sample this..in Mwanza and Arusha companies excavating Gold and Tanzanite are all South African.The fruits,water and food that they use to keep them healthy and fit are all imported from South Africa.
In Dar and Arusha ,Shoprite Supermarket is fully South African owned.Every thing any one can shop from it is 99% imported from S.A.They pay tellers peanuts and behind every teller there is a G4S guard.Compare this with the Kenyan owned Uchumi Supermarket in Quality Centre Mall in Dar.Everything on the shelves are fromTanzanian producers and suppliers.The employees are Tanzanian and are paid at Kenyan rate!! just ask one of them!
Kenya will not watch as South Africa mess the East African economy due to her ties with EA through TZ.If Kikwete and his CCM goons wont find their way to table and sign the document establishing East African Federation,then Kenya will have no choice but flex her muscles.President Kikwete should know that the stakes are high.He will leave us(Kenya) with no alternative but to put a man or woman in Tanzanian State House who we can do business with and who will value the fact that The United States of East Africa is our pride and strength.
 
Ya leo kali talalilaaah:violin:
 
Well done Tz. Tuachieni ardhi yetu bana. Tushirikiane kwenye mengine lakini sio ardhi tafadhali.
 
Hivi kuna nchi ambayo haina wawekezaji? Naona hapa ungesema tuboreshe sheria zetu na isiwe sababu ya kuingia kwenye jumuiya. Wahujumu wa uchumi wanajulikana na siku ya siku watachukuliwa hatua isiwe nyenzo ya kubweteka.

Mkuu unakosea hao kama na wao wanataka kuwekeza si waende kwenye kitengo cha kuwekeza kwani maloloso yako wapi? Sheria za uwekezaji zinajulikana na hazibagui kama mwekezaji anatoka wapi. Swala sio kwa sababu wao ni majirani basi wapate vya bure No way!

Wakati sisi tumewekeza kwenye hiyo pan africanism Kenya kwa kushirikiana na mabeberu walikuwa wanatupiga vita, mbona walivunja EAC wakati ule! Wewe huoni kwamba waliturudisha nyuma sana na ile njama? Unapopeleka posa na kukataliwa na huyo kimwana kuchukuliwa na mwinginebaada ya kuchezewa na kubaki kama jalala ndio sasa anakuja anasema anakukubaliaati mfunge ndoa wakati yeye ni saa 12 jioni unaweza kukubali wewe au ni geresha tu?

Mkuu Wacha kuchekesha watu Kenya wana jeshigani la doria kulinda bahari?

Hatuwezi kuendelea kwa kutegemea neema yawazungu au majirani kuja kutatua matatizo yetu. China walikuwa wanachekwa miaka michache ya nyuma leo hii ulaya wanakwenda kuwapigia magoti. Kama Umoja wa ulaya umeshindwa sembuse huu wa Manyang'au ambao unapigiwa chapuo na wazungu? Sisi Tanzania kama taifa tuna uwezo wa kutatua matatizo yetu hatuwezi kutegemea majirani. Uchumi wa Kenya unadorora hivyo njia yao ya mkato ni kuja Tanzania na kujaribu kulete uozo wao kwetu.

Muungano wetu na Zanzibar tu unatushinda tutaweza ya Mungiki? Halafu kuna watu wanasema ati sisi Tanzania tunaogopa federation .... ..... are they serious, do they know the meaning of kuogopa, kama kuogopa tusingekuwa na taifa linaloitwa Tanzania tena lilipata uhuru kabla ya hao nyang'aus.

BTW waambie Kenyans kwanza wachukue ardhi yao iliyoporwa na familia ya Kenyata, familia ya Moi pamoja na Kibaki licha ya ile waliyowapa wazungu. Wakimaliza hilo waje tutaongea.
Mkuu,
Hii ndiyo tunayoita myopic phobia. Hata kama Kenya hawakutuunga mkono wakati wa Pan African liberation mambo yamebadilika.
Tunahitajiana. Hawa ni majirani zetu upende usipende unless uniambie kwamba utajenga ukuta wa seng'enge na umeme kwenye mpaka baina yetu. Hivi leo serikali ya Kikwete na Pinda wako busy kuwakaribisha Wamarekani waje wajilimie, Wasaudi, Wakuwait na hata Wabangla, lakini jirani yetu mwenye ngozi kama yetu, tunayezungumza naye lugha moja tunamwona adui? Umesema mwenyewe kuwa hatuwezi kutegemea neema ya wazungu kutatua matatizo yetu, lakini unasahau kuwa umoja ni nguvu? Kwa pamoja tukiunganisha nguvu zetu tunaweza kujifanyia mengi sana. Kwanza usilibeze jeshi la Kenya. Angalia mchachato wanaotoa kwa Al Shabab. Hawa tunaweza kushirikiana nao kulinda mwambao wetu. Halafu, nani kawaambia kuwa tukiruhusu matumizi ya ardhi Wakenya watakuja kama Wamasai wanaohamia kulisha mifugo yao? Si kuna taratibu za kufuatwa? Tusiwe waoga kiasi hichi. Let us dare.
 
Tanzania,,you are better off in EAC than that failing SADC...So you have refused to sign the document that will eventaually create the much awaited East Africa Federation..Your refusal puts our interests at stake here!Our foreign policy is now clear..any country that puts Kenyan interests at stake should be dealth with without mercy.
You are better in EAC and Comesa....sample this..in Mwanza and Arusha companies excavating Gold and Tanzanite are all South African.The fruits,water and food that they use to keep them healthy and fit are all imported from South Africa.
In Dar and Arusha ,Shoprite Supermarket is fully South African owned.Every thing any one can shop from it is 99% imported from S.A.They pay tellers peanuts and behind every teller there is a G4S guard.Compare this with the Kenyan owned Uchumi Supermarket in Quality Centre Mall in Dar.Everything on the shelves are fromTanzanian producers and suppliers.The employees are Tanzanian and are paid at Kenyan rate!! just ask one of them!
Kenya will not watch as South Africa mess the East African economy due to her ties with EA through TZ.If Kikwete and his CCM goons wont find their way to table and sign the document establishing East African Federation,then Kenya will have no choice but flex her muscles.President Kikwete should know that the stakes are high.He will leave us(Kenya) with no alternative but to put a man or woman in Tanzanian State House who we can do business with and who will value the fact that The United States of East Africa is our pride and strength.

He he he he
Huyu jamaa kweli ni mzima?
 
teh teh teheeee tihihihiiii
inferiority complex kwa mkenya....... !!!!!!???? ambao wanaishi kibera...... go to settle your IDP issue before to pop noice in Tanzanian land......

Halafu kila siku nawaambieni akina smatta...... land redistribution is the solution to your disappointing land disputes........ but not TZan land.....

Nyie ya kwenyu mlibadilishana na shanga (beads) na wazungu walowezi...... sisi ya kwetu haibi mtu kwa sasa......tunailinda usiku na mchana.....
Mnailinda usiku na mchana? Mbona Pinda amewapa Wamarekani ekari 800,000 wafanye madudu yao sijawasikia hapa mkilalamika?
Afadhali Wakenya, Warwanda na Waganda waje tulime matoke mara kumi tutakula pamoja badala ya hizi Agricompanies za kigeni ambazo zina ajenda zao tofauti kabisa na interests zetu.
 
Mkuu,
Hii ndiyo tunayoita mypic phobia. Hata kama Kenya hawakutuunga mkono wakati wa Pan African liberation mambo yamebadilika.
Tunahitajiana. Hawa ni majirani zetu upende usipende unless uniambie kwamba utajenga ukuta wa seng'enge na umeme kwenye mpaka baina yetu. Hivi leo serikali ya Kikwete na Pinda wako busy kuwakaribisha Wamarekani waje wajilimie, Wasaudi, Wakuwait na hata Wabangla, lakini jirani yetu mwenye ngozi kama yetu, tunayezungumza naye lugha moja tunamwona adui? Umesema mwenyewe kuwa hatuwezi kutegemea neema ya wazungu kutatua matatizo yetu, lakini unasahau kuwa umoja ni nguvu? Kwa pamoja tukiunganisha nguvu zetu tunaweza kujifanyia mengi sana. Kwanza usilibeze jeshi la Kenya. Angalia mchachato wanaotoa kwa Al Shabab. Hawa tunaweza kushirikiana nao kulinda mwambao wetu. Halafu, nani kawaambia kuwa tukiruhusu matumizi ya ardhi Wakenya watakuja kama Wamasai wanaohamia kulisha mifugo yao? Si kuna taratibu za kufuatwa? Tusiwe waoga kiasi hichi. Let us dare.

Unakumbuka ile EAC ilipovujinka Kenya ilifanya nini ? mpaka mwalimu JK akaenda kuazima ndege msumbiji. Acha bwana.
 
Back
Top Bottom