yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Tanzania ranked as top most inclusive economy in Sub-Saharan Africa index 2018.
Source: World Economic Forum
Source: World Economic Forum
Unahitaji mjadala juu ya Neno 'inclusive'?"inclusive" unaelewa maana yake we Lumumba?
Iclusive ni JUMUISHI. Yani ni jinsi gani income generating assets ziko mikononi mwa watu wengi zaidi, tofauti na nchi nyinigine ambazo income generating assets ziko concentrated mikononi mwa wachache."inclusive" unaelewa maana yake we Lumumba?
shirikishi kwa wote"inclusive" unaelewa maana yake we Lumumba?
Hebu taja hizo income generating assets zinazosemwa zipo "mikononi" mwa watu wengi zaidi nchini Tanzania na sisi tuzijueIclusive in JUMUISHI. Yani ni jinsi gani income generating assets ziko mikononi mwa watu wengin zaidi, tofauti na nchi nyinigine ambazo income generating assets ziko concentrated mikononi mwa wachache.
Mfano tu kumiliki kibanda cha Mpesa, Boda boda, Genge, kwa walioajiriwa, wanaomiliki mashamba, wenye nyumba za kupangisha n.kHebu taja hizo income generating assets zinazosemwa zipo "mikononi" mwa watu wengi zaidi nchini Tanzania na sisi tuzijue
labda cherehaniHebu taja hizo income generating assets zinazosemwa zipo "mikononi" mwa watu wengi zaidi nchini Tanzania na sisi tuzijue
labda cherehani
bodaboda
n.k
Kama vitu hauvijui kaa kimya ndugu yangu, ....uchumi hauchambuliwi kizembe hivyo!!Mfano tu kumiliki kibanda cha Mpesa, Boda boda, Genge, kwa walioajiriwa, wanaomiliki mashamba, wenye nyumba za kupangisha n.k
Kenya, shamba moja tu linalomilikiwa na familiya ya Kenyatta kwa huku Tanzania linaweza likawa linamilikiwa na watu kama elfu hamsini hadi laki moja. Kwa hiyo hapo kuna kuwa na inclusiveness kwa Tz lakini kwa Kenya, kumilikiwa kwa shamba kama hilo kwa mtu mmoja, kuna wa exclude wengine elfu hamsini kuwa na ardhi.
When you dont use your brain properly, this is the outcome...Kama vitu hauvijui kaa kimya ndugu yangu, ....uchumi hauchambuliwi kizembe hivyo!!
Japo sijui hali ikoje kwenye hizo nchi nyingine lakin tatizo kubwa nchini kwetu kwa sasa ni upishi wa data hasa zihusuzo uchumi.
Sasa ndo umeandika nini hapo dahKama vitu hauvijui kaa kimya ndugu yangu, ....uchumi hauchambuliwi kizembe hivyo!!
Ukitaka kuelewa hilo kwanza zifahamu sekta za uchumi (sectors of the economy) Tanzania na mchango wa kila moja kwenye pato la taifa. Kisha angalia uhusikaji/umiliki wa wananchi kwenye sekta husika hasa zile zinazochangia zaida kwenye ukuaji wa uchumi. Ukifanya analysis hiyo utajikuta ww ni lofa ambaye hujui lolote na hixo bodaboda, vyerehani sjui vibanda vya mpesa utakuta ni upuuzi tu unaowasaidia walalahoi kupeleka mkono kinywani na wala sio significant economic activities as far as MACRO-economy is concerned.
Japo sijui hali ikoje kwenye hizo nchi nyingine lakin tatizo kubwa nchini kwetu kwa sasa ni upishi wa data hasa zihusuzo uchumi.
Pumba nyiiingi nikajua utakuja chambua mada kwa kutumia hoja za msingi umekaa upishi!...Ukiombwa uoneshe hilo jiko wanalopikia utaweza!?..Be positive sometime imbecille!..Japo sijui hali ikoje kwenye hizo nchi nyingine lakin tatizo kubwa nchini kwetu kwa sasa ni upishi wa data hasa zihusuzo uchumi.
"inclusive economy" unaelewa maana yake we Lumumba au unashadadia upuuzi tu? Over-all kuwa ranked higher kwenye suala la index ni issue ya Data zilizokua submitted na Tanzania...na tatizo kubwa la sasa nchini kwetu mamlaka zinapika data sana na hasa zihusuzo uchumi!