eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,636
- 13,772
Hawajielewi tu, China viwanda vyenye uwezo wa kuajiri watu kuanzia 1k kwenda juu ni vichache, vingi ni kama hivyo ulivyosema, viwanda vidogovidogo macro kabisa...
Mfano kiwanda kama hiki, mtu anaweza kukidharau lakini kinapeleka bidhaa zake mpaka ulaya na America, na hivi ndio viwanda vinavyotakiwa, na kiukweli kwa sasa watanzania wamehamasika sana kwenye value adding chain,
Vitu vidogovidogo kama hivi ndio vyenye largest consumptions and demand, wanaohitaji magari na gadgets nyingine wanaweza kuwa wachache lakini wanaohitaji bidhaa za vyakula, nguo, bidhaa za ujenzi ni kila mtu
View attachment 1234927View attachment 1234928
Halafu kuna lingine ambalo hatulielewi, in China, when speaking about skilled labours, they don't mean the graduates. They mean the work force which have been trained just a basic but applied knowledge of something. Large working population of China attended the trade or vocational schools. In these schools, they are taught the well established tailor made knowledge which will be applied by trainees immediately after completing their studies. Apart from learning their technical skills such as carpentry, tailoring, masonry, welding to name a few, they are also learning some basics on Accounts, entrepreneurship, marketing, costumer care etc. This is why the big capital of Chinese economy is the pool of skilled workers. (Not graduates, like how we are using to think).