kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,461
- 5,860
Mkuu, binafsi ninachokiona ni watanzania kutamsni maisha mazuri ilhali kazi zao ni kushinda vijiweni. Watanzania hstufanyi jabisa kazi. Tunadhani kuwa maendeleo yanakuja kama upepo
Ukute hata mtoa mada yuko bar anacheza pulltable kutwa nzima!..halafu anachezesha makalio kwa kudai maendeleo!