Tanzania Premier League (TPL) Simba VS Coastal Union....Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi)

25' Rashid Juma anapoteza nafasi ya kuiandika Simba goli la tatu
 
26' Afidhi anakosa goli la wazi akiwa yeye na goli kipa wa Simba na wanapata kona
 
29' Sub kwa upande wa Coastal Union
Prosper Mushi IN
Said Hilan OUT
 
30' Okwi anakosa goli la tatu kwa upande wa Simba kipa wa Coastal Sudi Abdul ameokoa
 
32' Rashid Juma amekosa tena goli Sudi Abdul amefanya uokozi kwa upande wa Coasta
 
35' Goooooooooooal Raizin Afidhi anaipatia goli Coastal Union

Simba 2-1 Coastal
 
39' Gyan amepoteza nafasi na utulivu wa kutoa pasi ya goli kwa Kagere ambae alikuwa ktk nafasi nzuri ya kuweka mpira wavuni
 
43' Said Ndemla anapata kadi ya njano kwa upande wa Simba
 
44' Kagere anapisha shuti ndani ya box inagonga mwamba mpira unamkuta Okwi hakutaarisha wabeki wa Coastal wanaokoa
 
45' dakika 2 za nyiongeza kutamatisha kipindi cha kwanza
 
Back
Top Bottom