Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

mkuu asante. tz tuna mbuga nzuri sana na kubwa ila wasiwasi wangu ni kwamba wajukuu wetu hawatazifaidi kama sisi maana zimeingiliwa sana.huko ndiko wakubwa wanaenda kujenga mahoteli ya kifahari na kusababisha ule uasili [nature] kupotea.ebu angalia mfano wa crater ya ngorongoro ambayo ni among the wonders of earth itapoteza hadhi hiyo kwa ajili ya kuingiliwa na watu wenye roho ya ubinafsi. ni ajabu na jk kulazimishia lami kupita serengeti wakati kuna maeneo mengi yanayoitaji lami.kwa nini? inauma sana.
 
Tanzania ni nzuri kama binti kigoli mrembo wa asili......... Lakini nina wasi wasi na baba wa kigoli huyo.... hamtunzi mwanawe inavyotakiwa.....
 
Back
Top Bottom