Tanzania on Top - Something to cheer about

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,462
39,928
LET'S hear it for Tanzania. Despite being one of the world's poorest nations, it has become a role model in how to reach global targets for reducing death rates of children and mothers - putting most of its poor African neighbours to shame. So says the World Health Organization.

Reports released last week in The Lancet (vol 371, p 1276) and this week at a summit in Cape Town, South Africa, show that of the 68 nations that account for 97 per cent of the world's childhood and maternal deaths, only 16 are on track to meet Millennium Development Goals to cut deaths in children under 5 by two-thirds, and maternal deaths by three-quarters between 1990 and 2015.

Tanzania has succeeded through political leadership, the WHO says. Between 1999 and 2004 its government increased the annual amount spent on healthcare per citizen from $4.70 to $11.70. No other African governments matched this. Moreover, the money was spent evenly around the country, eliminating disparities that once favoured richer districts. "You don't need to be a rich country to reach the targets," says Anne Mason of the WHO.

“We've shown that you don't need to be a rich country to reach the targets”As a result, child mortality fell by 11 per cent per year between 2000 and 2005, compared with just 1.4 per cent per year between 1990 and 1999. "With the current trend, Tanzania can reach the target for children," says Mason. Tanzania must do more to tackle deaths of newborns and maternal deaths, but targets for these can be reached too, she says.

My Take:

If we want, we can do it! so lets go and do it...
 
"We've shown that you don't need to be a rich country to reach the targets"As a result, child mortality fell by 11 per cent per year between 2000 and 2005, compared with just 1.4 per cent per year between 1990 and 1999. "With the current trend, Tanzania can reach the target for children," says Mason. Tanzania must do more to tackle deaths of newborns and maternal deaths, but targets for these can be reached too, she says.

My Take:

If we want, we can do it! so lets go and do it...

Hii report siiamini, more analysis is needed as it looks that there is politics around it.
 
unaona hawa jamaa walivyotutenda kiasi hata habari ikiwa nzuri tunashuku ufisadi wa aina fulani.. I'm with you mama...
 
LET'S hear it for Tanzania.

Tanzania has succeeded through political leadership, the WHO says. Between 1999 and 2004 its government increased the annual amount spent on healthcare per citizen from $4.70 to $11.70. No other African governments matched this.

“We've shown that you don't need to be a rich country to reach the targets”As a result, child mortality fell by 11 per cent per year between 2000 and 2005, compared with just 1.4 per cent per year between 1990 and 1999.

My Take:

If we want, we can do it! so lets go and do it...

Hizi sentensi ndio zinaleta utata as zimekaa kufagiliafagilia mno
 
Nadhani Wananchi tupige kura ya maoni tuulizwe kama tuletewe Rais kutoka Nje na Baraza lake la Mawaziri ilituondokane na hali mbaya!
 
Unajua once beaten, twice shy!

IMF na WB wametutenda mbaya sana na takwimu zao eti uchumi wetu unakua kwa kasi around 5-7% wakati sisi wananchi hali inazidi kuwa ngumu na mafisadi wakizidi kuongezeka. Uchumi umebaki kwenye statistics na karatasi...so we are very skeptical na report za akina WHO na wenzake! Kwa sababu what I see when I go to my village (applies to others also) contradicts what is being discussed in Posh Hotels in Cape Town or Geneva by the likes of WHO and co!
 
Hii report siiamini, more analysis is needed as it looks that there is politics around it.

Ahaaa haaa, I can understand Mama. Lakini Lancet ni jarida zito na ni moja kati ya majarida yanayoheshimika sana duniani katika anga za tafiti kuhusu mambo ya afya. Kwa wale wanaojua mambo ya haya majarida wataelewa nikiwaambia kwamba impact factor ya hii journal ni zaidi ya 28! Kwa hiyo, yeah, kama alivyosema MKJJ inaeleweka tukiwa na doubt na kila kitu, lakini kama habari imechapishwa na hili jarida basi tuna sababu zaidi ya kuiamini kuliko kuishuku, but I am not sure if it is something that I should be cheering about!
 
the writing in the journal or the story that we are making strides katika kupunguza vifo vya watoto?
 
Ahaaa haaa, I can understand Mama. Lakini Lancet ni jarida zito na ni moja kati ya majarida yanayoheshimika sana duniani katika anga za tafiti kuhusu mambo ya afya. Kwa wale wanaojua mambo ya haya majarida wataelewa nikiwaambia kwamba impact factor ya hii journal ni zaidi ya 28! Kwa hiyo, yeah, kama alivyosema MKJJ inaeleweka tukiwa na doubt na kila kitu, lakini kama habari imechapishwa na hili jarida basi tuna sababu zaidi ya kuiamini kuliko kuishuku, but I am not sure if it is something that I should be cheering about!

Okay. But wait a minute! unajua wanasiasa hasa wa CCM (rejea matokeo ya chaguzi mbalimbali na tuhuma hizi za ufisadi) wanajua sana na ni mashuhuri kucook data, so hata kucook data ya kukubaliwa kwenye jarida hili haishindikani as long as siasa imo ndani
 
Ripoti hiyo haitokana na data za kupewa na wanasiasa. Ni kazi iliyofanyika kwa kukusanya data toka kwenye zahanati zote na hosipitali zote za Tz. Wanasiasa kama njia mojawapo ya kuwafikia wananchi kwa uhamamishaji, huku serikali ikiongeza matumizi katika tiba na chanjo.
 
labda, maana nasikia siku hizi wanagawa vyandarua vya bure kwa akina mama wajawazito na watoto. But am still skeptical kwa sababu ngani unajua katika uhai wa mtu hakuna percentage wala probability, 0.01% ya error yeyote inasababisha 100% loss of life. Ndio maana natilia wasiwasi hii report. Wana uhakika gani kama reproduction (kuzaa) kumepungua na kusababisha kuonekana kupungua kwa vifo?
 
My thing is, how reliable is the data driving the statistics?

How is the state of data ciollection in Tanzania? How many births are recorded? What percentage are those out of all births? How many unrecorded deaths before age 5? what percentage does that make out of all deaths before 5?

Unless you have reliable data, you cannot have reliable statistics.Kuna watu wako mbali sana na zahanati na huduma zote za afya, hawa nao wamo katika hii report? Error margin ya statistics hizi ni ipi?

http://africasciencenews.org/asns/index.php?option=com_content&task=view&id=288&Itemid=2
 
Ripoti hiyo haitokana na data za kupewa na wanasiasa. Ni kazi iliyofanyika kwa kukusanya data toka kwenye zahanati zote na hosipitali zote za Tz. Wanasiasa kama njia mojawapo ya kuwafikia wananchi kwa uhamamishaji, huku serikali ikiongeza matumizi katika tiba na chanjo.

Hivi ni wananchi wangapi wanahudhuria kwenye hizo zahanati? Maana wale jamaa zetu witch doctors, sorry traditional healers wanaplay part kubwa sana kwenye suala la afya vijijini na hata baadhi ya miji pia!!!!!!!!!!!
 
Hivi ni wananchi wangapi wanahudhuria kwenye hizo zahanati? Maana wale jamaa zetu witch doctors, sorry traditional healerswanaplay part kubwa sana kwenye suala la afya vijijini na hata baadhi ya miji pia!!!!!!!!!!!

Well said, yaani kwa mtu asiye Mtanzania ni rahisi sana kuiamini hiyo report na kuifagilia. Lakini kwa Mtanzania wa kawaida inaonyesha dhahiri kuwa report ina walakini. Ngoja tulitafute hilo jarida tuisome hito report in full. Au kama kuna mwenye nayo airushe.
 
Ahaaa haaa, I can understand Mama. Lakini Lancet ni jarida zito na ni moja kati ya majarida yanayoheshimika sana duniani katika anga za tafiti kuhusu mambo ya afya. Kwa wale wanaojua mambo ya haya majarida wataelewa nikiwaambia kwamba impact factor ya hii journal ni zaidi ya 28! Kwa hiyo, yeah, kama alivyosema MKJJ inaeleweka tukiwa na doubt na kila kitu, lakini kama habari imechapishwa na hili jarida basi tuna sababu zaidi ya kuiamini kuliko kuishuku, but I am not sure if it is something that I should be cheering about!

Hata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo....vitu vingine wala si vya kushangilia....ila anayetaka kufanya hivyo...more power to them

Halafu habari kama hizi ndizo mafisadi watazitumia kuspin ktk jitihada za kulinda maslahi yao...
 
Tanzania has succeeded through political leadership, the WHO says. Between 1999 and 2004 its government increased the annual amount spent on healthcare per citizen from $4.70 to $11.70.

Ni leadership ipi wanayoiongelea hapa wakuu??? Hivi hawa jamaa wa WHO wanapata nafasi ya kupitia hapa JF??? I have got serious reservations here. Awali ya yote, hawa jamaa wa WHO wanachotuonyesha kwenye hilo jarida lao ni "nominal value" increase, as oppossed to "real value". Pili, kupungua kwa idadi ya vifo vya watoto kunaweza kusababishwa na ongezeko la matumizi ya kondom, kwa maana kwamba idadi ya watoto wanaozaliwa sasa hivi ni ndogo ukilinganisha na miaka ya 90. Tatu, inawezekana ugumu wa maisha uliosababishwa na serikali ya CCM umewakatisha tamaa vijana wengi kuwa na watoto wengi. Kwa hivi, inawezekana kupungua kwa mortality rate kumetokana na kupungua kwa idadi ya watoto wanaozaliwa.

Moreover, the money was spent evenly around the country, eliminating disparities that once favoured richer districts. "You don't need to be a rich country to reach the targets," says Anne Mason of the WHO.

Na mafisadi waliopo katika wilaya zetu wamekwapua kiasi gani kutoka katika huo mgawanyo???Maana mtandao wa ufisadi ni mkubwa sana, umetandaa kila sehemu mpaka wilayani.

“We've shown that you don't need to be a rich country to reach the targets”As a result, child mortality fell by 11 per cent per year between 2000 and 2005, compared with just 1.4 per cent per year between 1990 and 1999. "With the current trend, Tanzania can reach the target for children," says Mason. Tanzania must do more to tackle deaths of newborns and maternal deaths, but targets for these can be reached too, she says.

Wandugu, twakimu unaweza kucheza nazo kadri unavyoweza na kutoa majibu unayoyahitaji. Hao watafiti wa WHO ni mafisadi wa takwimu. Msitishike na hilo jarida. Nendeni urambo, mkuranga au ngerengere mkajionee wenyewe hali halisi.
 
Ni leadership ipi wanayoiongelea hapa wakuu??? Hivi hawa jamaa wa WHO wanapata nafasi ya kupitia hapa JF??? I have got serious reservations here. Awali ya yote, hawa jamaa wa WHO wanachotuonyesha kwenye hilo jarida lao ni "nominal value" increase, as oppossed to "real value". Pili, kupungua kwa idadi ya vifo vya watoto kunaweza kusababishwa na ongezeko la matumizi ya kondom, kwa maana kwamba idadi ya watoto wanaozaliwa sasa hivi ni ndogo ukilinganisha na miaka ya 90. Tatu, inawezekana ugumu wa maisha uliosababishwa na serikali ya CCM umewakatisha tamaa vijana wengi kuwa na watoto wengi. Kwa hivi, inawezekana kupungua kwa mortality rate kumetokana na kupungua kwa idadi ya watoto wanaozaliwa.

Na mafisadi waliopo katika wilaya zetu wamekwapua kiasi gani kutoka katika huo mgawanyo???Maana mtandao wa ufisadi ni mkubwa sana, umetandaa kila sehemu mpaka wilayani.

Wandugu, twakimu unaweza kucheza nazo kadri unavyoweza na kutoa majibu unayoyahitaji. Hao watafiti wa WHO ni mafisadi wa takwimu. Msitishike na hilo jarida. Nendeni urambo, mkuranga au ngerengere mkajionee wenyewe hali halisi.

hapo umesema, kwa research kama hizi mara nyingi huwa hawatembelei hospitali zote, huchukua random samples.
Tunakuwa wepesi wa kuamini bila kuhoji undani wa mambo. Hapo mafisadi na wawekezaji uchwara ndio wanapotupendea watanzania, wanakuja na longolongo nyiiingi tunawaamini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom