Tanzania on International Media for wrong reasons-Again

Kwa uelewa kwangu mdogo majangili wengi hutokea Somalia na Kenya hao ndiyo ni wauujuzi wa hali ya juu na wanao weza kufanya kitendo hucho!
Kwa majangili wa ki tz ni asilimia ndg Sana wanaweza kufanya kitendo hicho.....
Majangili wa kusomali/wakenya huwa wanaingiaga Sana ktk mapori ya tz kwa kuitumia silahaa nzito sana
 
Kwa hili swala la ujangili tunatakiwa tusiwe na huruma na hawa watu kabisa.

Na wale wote wanaoshirikiana nao wenye nguvu serikalini ni lazima washughulikiwa kwa mkono wa chuma.
Maana hata serikali imechafuka sana kwa kashfa hizi za meno/pembe ya/za tembo
 
Kwa uelewa kwangu mdogo majangili wengi hutokea Somalia na Kenya hao ndiyo ni wauujuzi wa hali ya juu na wanao weza kufanya kitendo hucho!
Kwa majangili wa ki tz ni asilimia ndg Sana wanaweza kufanya kitendo hicho.....
Majangili wa kusomali/wakenya huwa wanaingiaga Sana ktk mapori ya tz kwa kuitumia silahaa nzito sana
Mrangi naomba nitofautiane na wewe yeyote akishakua na dhamira ya kufanya jambo baya huwezi kusema wa sehemu fulani ana afadhali kuliko wa sehemu nyingine ,roho mbaya ni roho mbaya tu mkuu,waliomchinja yule Afisa usalama wa Tanapa na kumweka kwenye buti la gari walikua Wakenya ??
 
Mkuu nakubaliana na
Mrangi naomba nitofautiane na wewe
Ila majangili wengi wako wanatokea Kenya/Somalia asili yako poa wamo,wanashirikiana na majangili wa tz,wako huwa Sana silaha Kali na nzito tena za kisasa
yeyote akishakua na dhamira ya kufanya jambo baya huwezi kusema wa sehemu fulani ana afadhali kuliko wa sehemu nyingine ,roho mbaya ni roho mbaya tu mkuu,waliomchinja yule Afisa usalama wa Tanapa na kumweka kwenye buti la gari walikua Wakenya ??
 
Uncleben....nakubaliana na wewe ila majangili asilimia yako kubwa wanatokea Kenya na Somalia
Wako huwa Sana silahaa Kali na nzito tena za kisasa.
 
Usalama umeshakiwa mdogo kama majangili wanaweza kutungua helikopta ,hii Ni vita bila kudhibiti hii hali maisha ya watu na wanyama yatazidi kupotea
 
Kwa uelewa kwangu mdogo majangili wengi hutokea Somalia na Kenya hao ndiyo ni wauujuzi wa hali ya juu na wanao weza kufanya kitendo hucho!
Kwa majangili wa ki tz ni asilimia ndg Sana wanaweza kufanya kitendo hicho.....
Majangili wa kusomali/wakenya huwa wanaingiaga Sana ktk mapori ya tz kwa kuitumia silahaa nzito sana

Ukishasema kwa uelewa wako mdogo unakosea kuendelea kutoa hoja. Jiamini mkuu. Hii inatugharimu sana. Thubutu kusema unachoamini bila kuwa mwoga
 
Poaching ipo na inajulikana. Haiwezi kuwa habari kubwa sana kwa sasa kwa sababu tu pilot Mwingereza kafa. Watanzania wengi tu wanakufa kila siku
 
Kwa uelewa kwangu mdogo majangili wengi hutokea Somalia na Kenya hao ndiyo ni wauujuzi wa hali ya juu na wanao weza kufanya kitendo hucho!
Kwa majangili wa ki tz ni asilimia ndg Sana wanaweza kufanya kitendo hicho.....
Majangili wa kusomali/wakenya huwa wanaingiaga Sana ktk mapori ya tz kwa kuitumia silahaa nzito sana
Acha kujidanganya wewe.
 
Mnataka kutuambia tembo wanaochinjwa tz ni wakenya wanafanya kazi hiyo?Basi kwanini ndovu wa Kenya mwaka jana hawakuuliwa wengi walikuwa ni kama sabini tu wakati tz tembo elfu kumi na saba walipotea hivo tu!Watz mnachuki na sisi lakini ukweli ni kuwa mnamaliza kiholela raslimali za nchi yenu nyinyi wenyewe tu.Juzi watz kadhaa wamekamatwa Maasai Mara Kenya wakigawana nyama ya Kiboko baada ya kumuua.Uungwana mnaosema mnao ndo uliwafanya hao wenzenu wavuke mpaka hadi Kenya kutenda uovu huo?
 
Asilimia kubwa ya majangili wanatokea Kenya wengi wako Sana asili ya kusomali!hao wanatumia bunduki had I ak47 ninachosema na kuandika hapa nna uhakika nacho
Majangili wa kitz na asilimia kubwa wanatumia bunduki gobole na bunduki za kutengeneza kienyeji.....
Acha kujidanganya wewe.
 
Ukishasema kwa uelewa wako mdogo unakosea kuendelea kutoa hoja. Jiamini mkuu. Hii inatugharimu sana. Thubutu kusema unachoamini bila kuwa mwoga
Wewe unaweza kuwa na uelewa zaidi yangu mm au mm nikawa na uelewa zaidi yako wewe!kuhusu kujiamini binadamu wrote tunajiamini ndomana ktk maisha watu tuahafanya Vitu kwa sababu ya kujiamini!ambapo so ajabu wewe usingeweza kufanya au labda ungeweza fanya
 
Sawa mkuu Mrangi nashukuru. Nimeshauri tu mkuu maana mara nyingi kama unatoa hoja ukishasema "kwa uelewa wangu mdogo" maana yake hoja inakuwa na mashiko kidogo hivyo unapunguza nguvu ya hoja yako hasa unapoitoa kwa watu wengi. Kwa kuwa hatubishani, nimepokea hoja yako mkuu
 
Hehehe saw

Hehehe saw a chief nmekuelewa...pamoja sana
 
Hili tatizo kuna somewhere tunalegalega, sijui ni wapi. Ila inaonekana tatizo liko ndani ya system yenyewe!
 
Kwa uelewa kwangu mdogo majangili wengi hutokea Somalia na Kenya hao ndiyo ni wauujuzi wa hali ya juu na wanao weza kufanya kitendo hucho!
Kwa majangili wa ki tz ni asilimia ndg Sana wanaweza kufanya kitendo hicho.....
Majangili wa kusomali/wakenya huwa wanaingiaga Sana ktk mapori ya tz kwa kuitumia silahaa nzito sana
Huo uelewa wenu ndo huwa unawaponza sometimes, kuna watz wana roho mbaya na magaidi kuliko hata hao wakenya na wasomali, acha kuwachukulia poa mkuu
 
Back
Top Bottom