TANZANIA: Oil prices up despite global drop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANZANIA: Oil prices up despite global drop

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Dec 27, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,852
  Likes Received: 83,304
  Trophy Points: 280
  Oil prices up despite global drop

  2008-12-27 11:33:19
  By Angel Navuri and Patrick Kisembo

  Just a few days since oil prices hit below USD 36 in the world market the lowest in more than four years pump prices in Dar es Salaam shot up by 12.5 percent yesterday.

  Petrol in many filling stations in Dar es Salaam was sold at between 1600/- and 1700/- from the previous 1450/- and 1500/- per litre.

  Diesel was as of yesterday sold at 1500/-, up from 1400/- per litre sold before Christmas.

  Ironically, in Zambia`s capital of Lusaka, fuel prices are lower than in Dar es Salaam with petrol selling at Kwacha 5,818 (Tsh 1544/-) per litre and diesel at Kwacha 5,478 (Tsh 1,453) per litre.

  The Lusaka prices became effective on Wednesday, when the Zambian government imposed a 24 per cent reduction on petroleum products prices, following the sharp decline of global oil prices.

  Zambia, a landlocked country, imports its fuel through Tanzania but is still able to sell fuel at lower prices in spite of the huge transport costs.

  When asked by The Guardian as to why petroleum dealers in Tanzania were seen to be more powerful than the government, and if the whole issue was shrouded with corruption, the deputy minister for Energy and Minerals Adam Malima gave a curt reply: ``Please contact Ewura Director General Haruna Masebu for an answer.``

  The Guardian reporter also asked the deputy minister as to why the Zambian government was able to make oil dealers comply with its order, while in Tanzania; the case seemed to be the opposite.

  Malima said: ``We shall work on Ewura`s report on the matter.``

  Speaking on behalf of Ewura Director General Haruna Masebu, who is on leave, Energy and Water Utilities Regulatory Authority Chief Petroleum Inspector Eng Julius Gashaza said the problem of hiked oil prices was a headache to the government.

  Gashaza said oil dealers had become quite stubborn.
  ``We need to sit down together with oil dealers to find a way to solve the problem which has now become very difficult,`` said Gashaza.

  Oil fell below USD 36 last Saturday to the lowest level in more than four years as global economic slowdown overshadowed OPEC`S record supply cuts.

  Despite the prices drop in the world market, pump prices in the local market have not reflected the decline.

  Last month the government gave oil companies an ultimatum to reduce prices of oil to levels that reflect current global petroleum prices.

  Energy and Minerals minister William Ngeleja said although the government policy and legislation allowed for freely competitive and liberalised downstream fair prices to consumers, the government would not sit back and watch as oil companies milked consumers for no good reason.

  The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) held a meeting with oil firms early this month and agreed that local prices should reflect the fall in world oil prices.

  However, according to Ewura Director General Haruna Masebu, no relief is being passed on to end users of petroleum products, thus the regulator may have to start fixing prices.

  Indicative prices for the fourth week of October for Dar es Salaam showed that petrol, diesel and kerosene should retail at 1,467.65/- ($1.39), 1,517.82/- ($1.45) and 1,041.05/- ($0.99) per litre respectively while pump prices were 1,590/- ($1.51), 1,790/- ($1.70) and 1,370/- ($1.30).

  According to Masebu, compared with the drop in world market petroleum prices with local pump prices, it is evident that petroleum companies in Tanzania have not reduced their prices to expected levels.

  The Tanzania Association of Oil Markets has, however, said that it is virtually impossible for oil dealers to reduce pump prices as they differ from one exporter to another, depending on time of arrival of a particular consignment.

  Tanzania has 31 oil marketing companies and 950 service stations spread throughout the country, with more being put up almost every other week.

  SOURCE: Guardian
   
 2. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2008
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hawa wote ni wezi tu. Mbona bei ikipanda kwenye soko la dunia na wanapandisha mara moja bila kusubiri hizo stock zao za awali ziishe??Ewura nao hawana lolote. Manake tulitegemea wangeweza kuwabana hawa wafanyabiashara lakini wapi.Tatizo la nchi yetu hakuna umakini katika kuwabana wafanyabiashara mbalimbali wa bidhaa kama hizi za mafuta
   
 3. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Serikali iko likizo? Watumiaji wa Diesel, Petrol na Gas hatujui haki zetu au ndiyo kusema unyonge umetuzidi jamani? Huu ni uwizi mkubwa kuliko EPA, MEREMETA, Turn GOLD, Vitalu vya uwindaji, BUZWAGI, GEITA GOLD, KAHAMA, ANABEN- KIWIRA, RICHMOND, IPTL, AGGRECO, SONGAS, ATCL, TWIN TOWER, TIPER, SPM MGOLOLO, KIA, DIA, TICS, T-SCAN, TRL, UVUVI BAHARI KUU, UVUVI LAKE VICTORIA, RANCH ZA TAIFA, FUNGU LA USULUHISHI KENYA, HOTEL ZA SERIKALI, TBL, KIWANDA CHA SIGARA, UDA, KIWANDA CHA NYAMA, KIWANDA CHA NGOZI, MIKOPO ELIMU YA JUU, NAFCO, UKAGUZI MRAHABA WA DHAHABU 3%, TANZANITE, ALMASI MWADUI, RUZUKU YA MBOLEA, FEDHA ZA WALIMU, FEDHA ZA WASTAAFU EAC, MICHANGA YA MADINI, RTC, VIWANJA VYA MICHEZO KUWA CHINI YA CCM, SUKITA, JENGO UVCCM, STAMICO, ETC ... WIZI MTUPU...Uwizi huu wa Mafuta ya Petrol, Diesel na Gas unaathiri moja kwa moja pato la mtanzania takriban ktk kila nyanja za uzalishaji na uendeshaji! Serikali ikiwa makini tunaweza ku-take advantage tukaongeza uzalishaji viwandani, Mashambani na hata ktk sector za usafiri na usafirishaji wa mazao na bidhaa mbali mbali na pia kuongeza matumizi ya gas majumbani...
   
 4. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  hivi kushuka kwa bei ya petroli katika soko la dunia ina uwiano gani na bei anayouziwa mteja wa mwisho (mtumiaji)?

  mimi sielewi soko la petroli hapa nyumbani linaendeshwaje lakini nadhani katika soko la dunia kuna kitu kinaitwa spot na futures market. hivyo basi wale wenye pesa yao wanaweza kununua bidhaa (petroli) katika spot market hivyo mteja wa mwisho huweza kupata bidhaa kufuatana na kushuka au kupanda kwa bei ya dunia kwa ujumla.

  aidha hii kitu inayoitwa futures market kama sikosei mnunuzi ananunua kwa bei anayotegemea itakuwepo hapo mbeleni. sasa kwa mfano jamaa walitegemea bei kuendelea kupanda hivyo kuwekeza kununua petroli mfano usd 100 mwezi disemba basi hata kama bei imeshuka disemba mnunuzi itabidi anunue kwa bei ya usd100. sasa nchi kama yetu ambayo nadhani tunanunua kwa mkopo yawezekana petroli tuliuziwa kwa bei ya juu hivyo inakuwa vigumu kwa bei kushuka kufuatana na bei ya dunia.

  hawa waingizaji binafsi nao inategemea source yao ya petroli kama ni wananunua kwa bei ya spot au futures.

  labda ewura na wataalamu wa hii kitu inaitwa spot na futures market wana maelezo bora zaidi.

  nawasilisha
   
 5. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2008
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hesabu rahisi sana... Bei ya juu sana ktk soko la dunia kwa pipa ilikuwa $ 147... Kwasasa hivi imeshuka mpaka $ 35 kwa pipa ... ikiwa ni punguzo la asilimia 80% !
  Hapa Tanzania bei ya juu ilikuwa kati ya Tsh 2000 na 1800 kwa lita nyakati hizo!! Wakati huu ambapo bei imeshuka sana, sisi tunauziwa Tsh 1700 -1500 kwa lita! Jamani huu ni uwizi mkubwa sana ... Pirates hawawezi kusababisha mafuta kupanda kiasi hicho ila kinachoongezeka ni insurance costs! Hakuna kisingizio Serikali iwajibike ...
   
 6. H

  Huduma Member

  #6
  Dec 30, 2008
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KUNA uvumi wa kila aina kuhusu hili. Tunaambiwa eti kuna wanasiasa na wafanyabiashara wamekula njama za kuwapa kitu kidogo EWURA waache kelele maana eti sisi Watanzania hatukawii kusahau ili mradi mtu ajikaushe tu; yaani awe na ngozi ngumu, na ajifanye hasikii wala haoni kinachoendelea?

  Eti sijui EWURA kapewa kitu gani? Sijui wanasiasa wanagawia nini? Na wafanyabiashara waruhusiwe kuendeleza bei ile ile ya dhuluma ili wote wafaidike?

  Tuthibitishieni hili basi mara moja.

  Mimi siamini kwamba eti SOKO HURU ni kuwaachia watu kupandisha bei tu lakini ikija zamu ya kupunguza bei watu wanagoma. Na serikali inawaogopa? Au tumo sote? Tunagawana tunachodhulumu wananchi wetu?
   
 7. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2008
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Malima: Hakuna sababu bei ya mafuta kupanda

  * EWURA, wafanyabiashara kukutana leo

  NA SULEIMAN JONGO

  SERIKALI imesisitiza kuwa haioni sababu za msingi za kupanda kwa bei ya mafuta nchini.

  Imesema suala la uporaji wa meli za mafuta unaofanywa na maharamia wa Kisomali kwenye pwani ya Afrika Mashariki si tatizo linalosababisha hali hiyo, kwa kuwa meli zinaingia nchini kama kawaida.

  Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam jana, Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima, alisema baada ya kupata taarifa za kupanda kwa bei ya mafuta walifanya utafiti uliobaini kuwa, hakuna sababu za msingi za kupandisha bei ya bidhaa hiyo.

  Kutokana na hilo, wizara imeiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kukutana na wafanyabiashara wa mafuta leo kujadili kwa kina sababu za kupanda kwa bidhaa hiyo na kutoa taarifa kwa serikali.

  Malima alisema hoja inayotolewa kuwa meli zimekuwa zikisubiriana ili kukatisha eneo la bahari linalodaiwa kuwa la hatari kutokana na maharamia wa Kisomali haina msingi.

  “Hata kama kusingeingia mzigo mwingine kwa kipindi cha mwezi mmoja haiwezi kuwa tatizo kwa kuwa hazina iliyopo inatosheleza mahitaji ya nchi kwa mwezi mzima,” alisema Malima.

  Kwa mujibu wa Malima, mzunguko wa mafuta kwenye soko hauna tatizo, hivyo hauwezi kuwa chanzo cha kupanda kwa bei.

  Katika mkutano wa leo, wizara imeagiza EWURA na wafanyabiashara kujadili sababu za msingi zinazosababisha kuwapo na tatizo hilo.

  Naibu Waziri Malima aliwataka wananchi kutokuwa na wasiwasi, akiwahakikishia kwamba serikali inalifuatilia kwa karibu suala hilo.

  Alisema hatua muafaka zitachukuliwa kila inapobidi ili kuhakikisha upatikanaji wa mafuta unakuwa wa uhakika.

  Kwa upande wake, Mkurugenzi Mdhibiti wa masuala ya Uchumi wa EWURA, Felix Ngamlagosi, alisema tatizo lililojitokeza lilikuwa la muda mfupi, na kuwataka wafanyabiashara waliochukulia hilo kama mwanya wa kupandisha bei kuacha mara moja.

  Ngamlagosi alisema katika kikao cha leo watapata sababu za msingi baada ya kuwasikiliza wafanyabiashara na kuahidi kuwasilisha ripoti serikalini haraka ili hatua nyingine zichukuliwe.

  Bei ya petroli na dizeli imepanda katika maeneo mbalimbali nchini, hivyo kuwa mzigo kwa wananchi, baadhi ya wenye vituo vya mafuta wakisema kuwa hawana bidhaa hiyo.

  Mkoani Morogoro bei ya dizeli imepanda kutoka sh. 1,350 kwa lita hadi sh. 2,000.

  Taarifa zilisema mkoani Iringa bei ya petroli ilipanda hadi kufikia sh. 2,400 kwa lita moja.

  Mkoani Dar es Salaam bei ya dizeli ni kati ya sh. 1,340 hadi sh. 1,450, wakati petroli inauzwa kwa kati ya sh. 1,480 hadi sh. 1,600.

  Source: Gazeti la Uhuru
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Dec 30, 2008
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  The government has to be serious on this otherwise we all look like headless chicken
   
 9. Modereta

  Modereta Senior Member

  #9
  Dec 30, 2008
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Swali zuri kwa wataalamu, lakini mbona inakwenda upande mmoja??? Mbona bei ikipanda hawangoji SAA hiyohiyo wanapandisha!!!!!!!!!! double standards.
  Labda kama hao EWURA wanafahamu hilo watufahamishe basi.
  Lakini na watumiaji waangalie matumizi yao. Bei zilivyozidi kupanda wanunuzi walipunguza kununua, OPEC wakastika maana sheria za biashara supply-demand driven wakaona waambiane wapunguze uzalishaji ili bei zibaki juu, TAMAA ya pesa mingi, lakini market forces zikaendelea kuwalazimisha hivyo bei zikashuka. Sasa labda na hapa TZ mambo yanaweza kufanyika hivyo
   
 10. P

  PanguPakavu Amy Senior Member

  #10
  Dec 30, 2008
  Joined: Jul 7, 2007
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakiitwa mafisadi wanasema wananchi wanachukua hukumu mkononi.

  Only wonderland have a place for things that happen in Tanzania now!

  nchi za watu,mambo kama haya viongozi wanaachia ngazi,this must be corruption.

  huyu waziri wa nishati anaona raha sana wananchi kubeba mizigo?!as far as i know VX lake limejaa mafuta full time,he has no idea how much it cost to fill that up.and again hiyo ni kodi ya mwananchi,tuwalipie mafuta ya ma- gass monger yao kupitia kodi zetu,bado haitoshi!no wonder wameagiza another stock of gass mongers!

  Hatupendi lalamika ila hii imezidi.punguzeni hizo bei.acheni usanii
   
 11. M

  Moelex23 JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2008
  Joined: Oct 8, 2006
  Messages: 497
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yaani jamani porojo za huyu Malima ( Naibu Waziri) ni worse kuliko hata story za huku vijiweni Manzese. Yaani blah blah bila point yoyote.

  It is actually very simple::

  Kwenye kila lita ya petrol kunakuwa na % ya price ie

  X% ni tax, y% ni Barrel Price, Z% ni cost za usafirishaji, marketing blah blah na Barrel Price% mara nyingi ni zaidi ya 60% ya price at the pump.

  Kwa hiyo basi X% + y% + z% = 100%

  Hivyo kama Barrel Price imedecrease by 60% since peak price in July, ONLY in TZ can U say the price at the pump imeincrease au imebaki vilevile.

  Kwa US na Canada price at the pump imeshuka more than 50%, kwa hiyo once again TANZANIA tunamuujiza mwingine na Malima anataka report. Report ya nini??? Si kila kitu kiko wazi.

  Kwani Tigo au Voda wakisema price ya simu itashuka by 50%, kuna suala la kutaka report kama price per minute itabaki 360 Tshs?? Si lazima mtu unafanya tu 50% * 360 = 180??? ahahahahaahah
   
Loading...