Tanzania nzima inaweza msahau Hayati Magufuli ila sio Tabora

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
7,258
2,000
Mipango ipo mingi tu tatizo utekelezaji.Ngosha aliwapiga BAO la kisigino kwa kuwa yeye alikuwa man of action.Mtamchukia lakini pengo hamtaliziba.Jamaa atabaki juu kama timu ya Italy.Mtasubiri sana
Yaani unamaanisha yule mwehu jambazi!
 
Ryaro ryaro

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
328
1,000
Kwani Tz kuna wapinzani ? Hauko serious, hapa tuna wanaharakati tu na wachumia tumbo
Umekosea badala yake Ungesema "Kwani Tanzania Viongozi uchaguliwa?" Viongozi wa nchi hii "wanaccm" wanapachikwa na Dolla kwani CCM sio chama cha Siasa, bali ni Mkusanyiko wa ( Police, TISS, Tume ya Uchaguzi, Wakurugezi wa wilaya, DC's and RC's .. etc.
 
Nnangale

JF-Expert Member
Jul 20, 2013
2,184
2,000
Wewe ndiye unatumika kijinga hivi unajua hasara aliyoisababisha magufuli?

Ndio maana ni popular kwa watu wajinga na wapumbavu kama wewe

Ila MTU yeyote aliyefanya naye kazi anajua kilichokuwa kinaen
Hasara gani? Uhuni tu unaoendelea kila mtu anaona mnachofanya, wanaotia hasara ninyie msiokuwa na huruma na nchi hii.
 
kitali

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,477
2,000
Upo sahihi mkuu,
Rais haleti maji ila kodi za wananchi zinaleta maji.

JPM alikubali kutukanwa na kuambiwa anachukua kodi kwa nguvu ili apate hela ya kupeleka maji Tabora.

Kukusanya kodi kwa wafanyabiashara waliozoea kusamehewa na kukwepa kodi sio mchezo mkuu.

Si unajua kuna baadhi ya wafanyabiashara walihamishia biashara zao nje ya nchi ili kukwepa kodi? Akiwepo tajiri Freeman Mbowe wa Moshi?

Miaka yote ya uhuru, kodi imekusanywa, Tabora ni miongoni mwa mikoa inayotoa mapato makubwa sana, mbona maji hayakuwepo?

JPM will forever live in peoples's hearts.
hujui chochote chief. kikubwa marehem aachwe apumzike coz hawez kujitetea tena. lakn uclazimishe watu wamuone kama wewe. kuna waliopotea kufa na kung'olewa meno na hata kufilisiwa watamuona jambaz na kuna walioneemeka kama wewe watamhusudu. but uclazimishe furaha kwa kila mtu. kitu kimoja kinachonishangaza nchi hii ni kule mtu kufanya kaz aliyoomba halafu watu wanadhan ni hisan. hii ni akili ya kimasikin sana. nachokuomba mkuu someshen watoto aisee. mi nilikotoka tangu nazaliwa mirad asilimia mpaka 80 inafanywa na wananchi wenyewe. hapa nilipo kuna group zaid ya nne zote ni za michango ya vitu vya kufanya kijijin. ukisubir serikal ikufanyie jambo ndio utafsir ni maendeleo umekwisha mzee. jitahdn msomeshe vijan then wao ndio watafsir maendeleo kwa vitendo sio kuletewa.
 
Kijogoodi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
693

Huna akili kabisa.

Chadema wanakusanya michango kila siku lakini makao makuu yao ni kama choo
 
kitali

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,477
2,000
Huna akili kabisa.

Chadema wanakusanya michango kila siku lakini makao makuu yao ni kama choo
ndio nakuambia una akili za kimasikin ckulaum chief. inawezekana mazingira uliyokulia. we kwa akili yako kila mtu ambae hakubalian na wewe ni chadema. kwa taarifa yako upinzan mkubwa wa mzee ulikuwa ccm na ndio waliokuwa wanampa stress. narudia kukushaur peleka watoto shule mzee. ucsubir serikal kufanya jambo ndio utafsir ni maendeleo. ndio maana wagen wakija wanaoziona fursa wakat huo cc tunabak kuilaum serikal. mzee alikuja akatawala sasa hv mzee ni histor awe amefanya mabaya au mema kwako anatakiwa kubak ni somo. mengine yote ni stor chie.
 
nizakale

JF-Expert Member
Oct 23, 2019
2,319
2,000
Umekosea badala yake Ungesema "Kwani Tanzania Viongozi uchaguliwa?" Viongozi wa nchi hii "wanaccm" wanapachikwa na Dolla kwani CCM sio chama cha Siasa, bali ni Mkusanyiko wa ( Police, TISS, Tume ya Uchaguzi, Wakurugezi wa wilaya, DC's and RC's .. etc.
Ndio maana nikasema hakuna upinzani. Ungekuwepo upinzani wa kweli hayo yote yasingekuwepo.
 
Magembe sociable

Senior Member
Jul 10, 2021
150
250
Wakati unamkumbuka JPM kwa maji mkoani Tabora pia kumbuka damu ya AKWILINA iliyomwagika bila hatia .pia mkumbuke yatima aliyeondokewa na baba yake AZORY GWANDA.
Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.

Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za kijamii.

Awamu zote kabla ya JPM zilipita,bila kuwaletea wana Tabora maji safi na salama. JPM aliwahi kusema, ukiomba mkopo ili upeleke huduma ya maji Tabora, wahisani wanakataa.... JPM aliamua kutumia hela anayokusanya (Kodi) kupeleka maji katika mkoa mkubwa wenye historia iliyotukuka.

Kilichoniliza sio JPM kufa, wala kuleta maji Tabora. Kilichoniliza, kuna bibi mmoja, aliniomba hela 2,000...nikasita kumpatia maana anaonekana ni mlevi. Mimi msabato, ni makosa kumpatia mtu hela akanunue kitu kitakachomuangamiza.

Nikamuuliza ya nini 2000, akanambia "Mjukuu wangu, hii naenda kulipia mkopo wa bomba la maji" Nilishituka, ikabidi nimuite dogo mmoja, alikuwa anapita, nikamuuliza kama kuna mikopo ya hivyo.

Dogo akanambia baada ya maji kufika wilaya ya nzega kipindi cha JPM, changamoto ilikuwa wananchi wengi hawakuwa na uwezo wa kuvuta mabomba ya maji kutoka ziwa Viktoria. Serikali ya wanyonge, kupitia rais Magufuli akatoa order, kila asiyenauwezo wa kuvuta bomba la maji, atakopeshwa, atakuwa analipa 2000 kila wiki mpaka itakapo timia 40,000.

Bibi yule nilimpa 2000. Sasa leo Napita zangu mitaa ile yule bibi ananiletea risti inayodhibitisha kalipia maji. Nilishangaa sana. Nilimpa 20,000 ili akalipe deni lote. Baada ya kufika, napolalaga, nilianza kulia baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.

Tabora nayoifahamu mimi, leo ndoo mbili shilingi 50? Miaka 60 bila maji, Magufuli akaleta maji.

AsanteMagufuli- Kweli vizuri havidumu
 
Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,927

Pumba tupu,huo mradi kapeleka Magu au Serikali
 
Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,927
2,000
Rais asipoleta maji mbona huwa unamlaumu?

Alafu hii mada inaongelea uwanja wa ndege chato au maji tabora?
Hilo la maji ni wajibu was Serikali....wanaotakiwa kimlolia ni Chato ....ambao aliwapelekea miradi kiupendeleo!
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
6,642
2,000
Nimefika Tabora ndugu zangu, nimelia sana baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.

Magufuli, Magufuli, Magufuli, nimekuita mara tatu, najua hunisikii, ila Mungu atakulipa siku ya ufufuo. Ni miaka 60 tangu tupate uhuru, mkoa wa Tabora ulisahaulika sana...hasahasa kwenye huduma muhimu za kijamii.

Awamu zote kabla ya JPM zilipita,bila kuwaletea wana Tabora maji safi na salama. JPM aliwahi kusema, ukiomba mkopo ili upeleke huduma ya maji Tabora, wahisani wanakataa.... JPM aliamua kutumia hela anayokusanya (Kodi) kupeleka maji katika mkoa mkubwa wenye historia iliyotukuka.

Kilichoniliza sio JPM kufa, wala kuleta maji Tabora. Kilichoniliza, kuna bibi mmoja, aliniomba hela 2,000...nikasita kumpatia maana anaonekana ni mlevi. Mimi msabato, ni makosa kumpatia mtu hela akanunue kitu kitakachomuangamiza.

Nikamuuliza ya nini 2000, akanambia "Mjukuu wangu, hii naenda kulipia mkopo wa bomba la maji" Nilishituka, ikabidi nimuite dogo mmoja, alikuwa anapita, nikamuuliza kama kuna mikopo ya hivyo.

Dogo akanambia baada ya maji kufika wilaya ya nzega kipindi cha JPM, changamoto ilikuwa wananchi wengi hawakuwa na uwezo wa kuvuta mabomba ya maji kutoka ziwa Viktoria. Serikali ya wanyonge, kupitia rais Magufuli akatoa order, kila asiyenauwezo wa kuvuta bomba la maji, atakopeshwa, atakuwa analipa 2000 kila wiki mpaka itakapo timia 40,000.

Bibi yule nilimpa 2000. Sasa leo Napita zangu mitaa ile yule bibi ananiletea risti inayodhibitisha kalipia maji. Nilishangaa sana. Nilimpa 20,000 ili akalipe deni lote. Baada ya kufika, napolalaga, nilianza kulia baada ya kukumbuka kuwa JPM hayupo tena duniani.

Tabora nayoifahamu mimi, leo ndoo mbili shilingi 50? Miaka 60 bila maji, Magufuli akaleta maji.

AsanteMagufuli- Kweli vizuri havidumu
Namaliza kwa kusema kwamba.
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,152
2,000
Basi wakumbushe na usafi maan amkoa wa Tabora ukifika utasema hakuna watendaji kata na watendaji wa mitaa mji mchafu nyasi zinaita hakuna kufyekw afuka mjini sana pale kituo cha bus Kuna Rami ila imechafuka utasema barabara ya vumbi mji mchafu mchafu yani mchafu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom