Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 19,160
- 15,428
Ukweli gani? Bagamoyo is dead na hata nyinyi mnajua hiyo, LPG is a dream that will never come to pass. Oil pipeline is hopeless.
Sent using Jamii Forums mobile app
Delloite ni kampuni kubwa la kidunia linajua zaidi kuliko sisi wote hapa. Achana na hayo makosa yangu ya kimaandishi na kihesabu jikite zaidi katika hii report ya Delloite. Hahahaha. Mnaanza kuwakosoa hata Delloite kwasababu ya kuwaambia ukweli?.
Sent using Jamii Forums mobile app