TANZANIA NI ZAIDI YA NIIJUAVYO

saidi kindole

JF-Expert Member
Sep 21, 2012
310
792
TANZANIA NI ZAIDI YA NIIJUAVYO.

1. Mahakama Kuu ikitoa amri, mahakama ndogo inaweza kutoa zuio.

2. Mkurugenzi wa Manispaa kupokea zuio la Mahakama usiku, nje ya muda wa kazi. Mahaka hii iliandika usiku sababu gani? hakimu alikuwa anafanya nini muda huo?

3. Kutupwa ombi la aliyetoka Temeke kuzuia uchaguzi wa Kinondoni na Ilala lakini na Mahakama Kuu na Kukubaliwa Ombi la Mwana CCM kutoka Kawe kusimamisha Ilala na Kinondoni.... haya

4. Na hawa walikuja kupiga kura ingawa hawajaapa Bungeni bado sijui madiwani wa wapi? wanaitwa Mahiga, Mbawara, Posi na Ndalichako
 

Attachments

  • Picture1.png
    Picture1.png
    63.7 KB · Views: 16
Back
Top Bottom