Tanzania ni Shamba la Bibi La Mafisadi-Kila kesi Tunashindwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni Shamba la Bibi La Mafisadi-Kila kesi Tunashindwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Dec 28, 2010.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,791
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,
  Nimekuwa nikifuatilia kesi mbali mbali, hasa zinazoihusu Serikali na Mafisadi dana dana na ububu umekuwa kibao kiasi kwamba unashindwa kuelewa kwa nini nchi tumekuwa na Roho ya kishetani kiasi hicho.

  Kwa nini KAGODA ambayo ndiyo mwizi mkubwa ktk EPA hajashtakiwa wala kukamatwa wakati kumbe ni mmiliki ni yule yule anayetusumbua ktk DOWANS/RICHMOND.

  Mnakumbuka kesi ya wizi wa sh bilioni tatu inayomkabili aliyekuwa Balozi wa
  Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Ricky Mahalu imeishia wapi?

  Mnajua Justine Kasusura aliyeshitakiwa kwa kosa la wizi wa fedha dola za kimarekani
  milioni mbili ( 2ml. ) takriban 3.5bil Tsh akiwa mfanyakazi wa kampuni ya ulinzi amefungwa gereza gani? Anyway inasemekana alifungwa miaka 35 ila mbona mwenzake LIYUMBA aliesababisha upotevu wa zaidi ya Bil 200Tsh kafungwa miaka miwili afu akitoka mwakani anarudi kuja kutesa mtaani.

  Mimi inaniuma sana.
   
 2. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  Kuwashitaki zilikuwa nguvu za soda, hata hivyo Hoshea bila yeye kujua kuwa anaongea na Jasusi la kimarekani alijikuta akisema tatizo ni serikali maana wanweza wakajikuta wanajifunga wenyewe ingwaje mmja wapo ana kinga kali kisheria na kikatiba, ndio anwakumbatia mafisadi papa akina NM, EL, RA, Chng sijui walimpa nini hawa, leo hii wamemwondoa mr,6 kwenye ligi pamoja Mkymb sasa wakuwatolea tena macho hakuna maana nao watakunywa maji ya Bendela ya sie sie em
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,791
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia wengi wamevuan wakaondoka, na wengine tupo nao milele

  Kwa wanabebesha mzigo hata wale watanzania watakaozaliwa 2050 kuja kurithi mikataba feki?

  Kwa wanakilaani kizazi hicho, kimewakosea nini.

  Tunachezewa chezewa tuu kama shamba sisi ni shamba la bibi.
   
Loading...