Tanzania Ni rahisi kudivert Call, lakini Rwanda na Sudani kaskazini haiwezekani.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,033
Wakuu Salam kwenu.
Kama ilivo maada tajwa katika nchi Hizo nilishindwa kudivert call lakini Tanzania unadivert muda unaoutaka wewe bila tatizo. Hua inakuaje Hapo wataalamu mnielimishe.
 
Naomba mnielimishe inakuaje tafadhali wale wataalamu wa masuala ya mawasiliano.
 
Back
Top Bottom