Tanzania ni nchi ya pekee Duniani, na watu wa kipekee!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Sijawahi kusikia nchi yoyote Dunia hii ikitaka kuandika Katiba mpya bila ya kuwa na political crisis yoyote ile, lakini nasikia kila siku watu hapa bongo tena wanaojiita wasomi wakidai Katiba mpya, tena wanakaa na kuunda ,,Majukwaa ya Katiba" ajabu sana hii, yaani tutumie mabilioni ya fedha kuandika Katiba mpya wakati hakuna crisis yoyote ile nchini, hili halijawahi kutokea popote pale Dunia hii, bali kinachofanyika ni nchi kufanya marekebisho ya Katiba iliyopo na siyo kuandika mpya.

Katiba mpya haiombwi bali mazingira hulazimisha hilo kufanyika, hauhitaji kwenye UDSM miaka 3 kulijua hili!

Kudai Katiba mpya Tanzania ni sawa na kusubiri kumpata demu ambaye hakupendi, utasubiri miaka hata 50 haitatokea akaja kukubali.
 
Kumbe ni bahati sana kuzaliwa Tanzania eeeee!!!!! Asante Mungu
 
Kama wewe ni mtanzania basi kweli Tanzania ni nchi ya kipekee. Kwahiyo unataka mpaka tuuane ndo tudai katiba mpya? Kwaanini tusidai katiba mpya kuzuia kuuana huko? Duh nmepata hofu na ubongo wako
 
Kama wewe ni mtanzania basi kweli Tanzania ni nchi ya kipekee. Kwahiyo unataka mpaka tuuane ndo tudai katiba mpya? Kwaanini tusidai katiba mpya kuzuia kuuana huko? Duh nmepata hofu na ubongo wako

Ni wapi hilo limetokea? Hivi hata maana ya Katiba mnaielewa lkn?
 
That's a power of fear!!!
Nyie ndio mnaompeleka mtoto shule nzuri ya private hadi afeli au apate zero wakati mlikuwa na nafasi ya kumpeleka mapema.
 
That's a power of fear!!!
Nyie ndio mnaompeleka mtoto shule nzuri ya private hadi afeli au apate zero wakati mlikuwa na nafasi ya kumpeleka mapema.

Ni wapi limefanyika hilo? Weka mfano hapa!
 
Sijawahi kusikia nchi yoyote Dunia hii ikitaka kuandika Katiba mpya bila ya kuwa na political crisis yoyote ile, lakini nasikia kila siku watu hapa bongo tena wanaojiita wasomi wakidai Katiba mpya, yaani tutumie mabilioni ya fedha kuandika Katiba mpya wakati hakuna crisis yoyote ile nchini, hili halijawahi kutokea popote pale dunia hii, bali kinachofanyika ni nchi kufanya marekebisho ya Katiba iliyopo na siyo kuandika mpya.

Kudai Katiba mpya Tanzania ni sawa na kusubiri kumpata demu ambaye hakupendi, utasubiri miaka hata 50 haitatokea akaja kukubali.
Mwenyewe alishasema katiba kwa sasa si kipaumbele chake...kwa muktadha huo hata sheria hatumii ila who care?
 
Wewe mwe.hu sijawahi kuielewa akili yako...wewe huwa unajua kila muda ni usku tu wa kuota?
Acha uzwazwa na ushamba..
Anaeamua kubadili katiba ni wananchi na sio viongozi wa serikali...
Wananchi ndo wenye katiba nawao ndo wanaamua kwa kutumia wawakilishi wao wabunge...
KAma huelewi funga zipu usiandke uzwazwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom