Tanzania ni mwanachama wa SADC, Je, naweza kusafiri South Africa kwa Passport ya Temporary?

Joel Johansen

JF-Expert Member
May 12, 2016
242
319
Wadau,
Nina safari ya dharura kuelekea bondeni South Africa. Given the fact that my country is a SADC member, je naweza kutumia Temporary Passport kufika South Africa?

Muda wa kuprocess Passport ya kitabu utakuwa mrefu kwangu kiasi cha kupoteza safari.

Maoni na ushauri tafadhari.
 
Bro ni SADC co SADEC. Ndio unaweza lakin iwe imetolewa na mamlaka husika sio kimagumashi
 
No mkuu hizi passport za muda zinasumbua mno,utajikuta unapoteza fedha na muda jitahidi upate passport ya kitabu,ila kama umekwama kabisa basi fanya home work yako kabla ya safari,ulizia kwa ubalozi wa nchi utakazopita kuelekea huko Afrika ya kusini kama kutumia passport ya muda zinakubalika,na pili jitahidi upite nchi rafiki kama Zambia,then Namibia ndio uingie SA,immgirations officers hasa wa Zambia na Namibia wanaitambua vema nchi yetu na always wanajaribu kutupa heshima,ingawa na sisi tumeharibu sana passport yetu.Good luck mkuu
 
Mkuu unafahamu zilipo ofisi za Sadc kwa hapa Dar?
 
Jaribu huku

NSSF Waterfront Building Sokoine Drive Avenue, Dar es Salaam, TANZANIA

Tel: +255 22 2127897-8 (Office)

Cell: +255-784 312 474

0684 883 645

Ulete mrejesho..
Ahsante sana Mkuu ntaenda kesho kisha ntaleta mrejesho..

ANGALIZO.

wale mnaotumia Gps kutafuta ofisi ya SADC Tanzania ni Uozo Mwingine, sijui kwanini Tanzania tuna huu upupu..
Ukitumia Gps inakupeleka Mikocheni kwenye ofisi za Ki NGO kinaitwa BORDA..wakijiita Sadc Tanzania..
Kiukweli nimeudhika ofisi kubwa kama hii bado wanakuwa wazembe kiasi hiki..
 
Wadau,
Nina safari ya dharura kuelekea bondeni South Africa. Given the fact that my country is a SADC member, je naweza kutumia Temporary Passport kufika South Africa?

Muda wa kuprocess Passport ya kitabu utakuwa mrefu kwangu kiasi cha kupoteza safari.

Maoni na ushauri tafadhari.
Mkuu huwezi kwenda nayo south Africa.,,unawezafika Zimbabwe na hyo ya karatasi ( emergency travel document) lakini south hupiti nayo hyo...
 
Unasafiri kaka tena bila VISA. sina maana ya visa ya kiswahili. Waenda lini nikuagize mkate ? Wana mikate mizuri sana
 
Back
Top Bottom