Tanzania ni mfanyabiashara mkuu wa madawa ya kulevya- Wikileaks | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni mfanyabiashara mkuu wa madawa ya kulevya- Wikileaks

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WikiLeaks, Dec 25, 2010.

 1. W

  WikiLeaks Member

  #1
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cables released by whistle-blowing website WikiLeaks show that the drug trade is not only facilitated by security personnel, but also high ranking military personnel, influential businessmen and politicians, including close relatives of presidents.

  The countries where drug barons reign big are Sierra Leone, Guinea, Ghana, Kenya, Mali, Angola, Mozambique and Tanzania.

  Daily Nation:*- News*|Kenya a haven for drug barons: Wikileaks
   
 2. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,925
  Likes Received: 12,132
  Trophy Points: 280
  Hivi hatujiulizi kwa nini Tanzania imeandamwa sana na wikileaks sasa na si zamani? nafikiri kuna sehemu wakubwa wamekosea si bure.
   
 3. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wikileaks has confirmed what we had known all along.Very bad indeed. Lakini aa..., Bush mwenyewe ni muuza unga ,sembuse vipanzi hivi.
   
 4. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  But still, bongo is mainly a transit route to SA.
   
 5. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2010
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna taarifa za nchi nyingi si tanzania pekee....wikileaks kwa kiasi kikubwa inatoa habari za kweli na za uhakika ambazo kama si wikileaks tungebakia gizani tukiendelea kuwapigia makofi hawa mafisadi. HONGERA WIKILEAKS
   
 6. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hili la madawa ya kulevya!!!... wala sishangai......

  Cable Viewer
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Keep waiting. Ngoma ya moto zaidi ndio kwanzaiko njiani yaja ya kukata na shoka. Cha mtoto hizi.
   
 8. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Hivi mkulu si aliwahi kupewa orodha ya wafanyabiashara ya madawa ya kulevya? Hivi aliifanyia kazi kweli? Sikumbuki kusikia chochote!!!!

  Tiba
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hivi Mbowe hajatajwa humo? Maana nasikia pale bili madawa nje nje!
   
 10. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #10
  Dec 25, 2010
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,003
  Trophy Points: 280
  Wacha mzaha kwenye jukwaa la siasa.
   
 11. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #11
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,925
  Likes Received: 12,132
  Trophy Points: 280
  Kiwewe cha CDM kimewakumba wengi nafikiri mkilala huwa mnawaota kina Slaa na Mbowe, mama fulani Mbowe huyo anakuja mshike aaaaaaaa nilikuwa naota tu.
   
 12. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #12
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0

  Umesemaje vile, hapana hajatajwa kwakuwa hayumo. Nadhani Utakwa umemchanganya na wa maswahiba wa babako akina Dr Daftari, Iddi Azan, Azan Zungu na Meya wa zamani wa Ilala.

  Upo hapo au unahitaji listi nzima nzima tukushushie humu ufe kabisa ???
   
 13. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #13
  Dec 25, 2010
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  JF admins hamwezi kuwasiliana na wikileaks au the guardian la uingereza wakawapa hizo cable 600+ zinazohusu Tanzania?
   
 14. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #14
  Dec 25, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkubwa meno ya mbwa hayaumani bwana....
   
Loading...