Tanzania ndio kama sio ya kwanza kuwa na virushi vya mitandao vyenye maneno ya ajabu na marundo ya vifurushi

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Kiukweli TCRA hili swala naona mnacheka kwa sababu lina manufaa sana.

Yani kuna marundo ya vifurushi mpaka unaweza kukaa mwezi ndo unasikia kwenye matangazo au mtu kutumia.

Ukianza kichagua mpaka unachoka ujui unaelekea wapi utazani umefika sokoni ujui kipi unachukua.

Hii kitu ni hatari maana hata nyie sijui kama kuna vifurshi TCRA wanafahamu labda vile vinavyopigiwa promo.

Halafu kuna hili suala la vifurushi kuwa na majina ya ajabu. Ila TCRA ukichora picha au kuongea lugha ya ajabu wanajua kufatilia.

Nchi ya Tanzania imekuwa sehemu ya majaribio ya field za kampuni na wasomi waliopo aka shamba la bibi
 
Na sasa hivi wameona washindane na daladala. Wameona kama watu wengi wanaweza kutumia kama 2,000/= kila siku kwa usafiri, hawawezi kushindwa kutumia kiasi hiko hiko kwa vifurushi. Ndiyo tulipofika hapa, a dog eat dog mentality.
 
Back
Top Bottom