Tanzania Ndani Ya Ndoto....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Ndani Ya Ndoto.......

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Panga La Shaba, Mar 30, 2011.

 1. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana jamvini,mpaka sasa napata taabu kidogo kuamini hizi ndoto,watu wanadai wameoteshwa waje kutibu watu kwanza ilianza ndoto ya;-
  1.Loliondo(kwa Babu)
  2.Rombo(Tarakea)
  3.Mbeya
  4.Bunguruni
  5.Tabora

  Hii ya Tabora naona serikali imeingia mkenge,mkuu wa mkoa amekwenda kunywa pamoja na makamanda wake,....kinacho nishangaza ni serikali kuwakubali hawa wachambuzi wa ndoto kirahisi tu......Sasa siku wameota ndoto imewatuma kuwa ****** aondoke ikulu,.........!
   
 2. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ni dhahiri kuwa watanzania sasa tumefika pabaya! Sasa CCM kwa makusudi wameandaa njia nyingine ya kuwaondoa watanzania katika masuala ya msingi na kuelekea katika njia za kienyeji za matibabu amabayo hayajathibitishwa. Hii ni mbinu pumbavu na kama CCM wanadhani tutasahau KATIBA MPYA, UFISADI, nk, wanajidanganya!!!!

  Ni upuuzi wa hali ya juu na propaganda za kishenzi ambazo mwisho wake ni mfupi. Hili ni angamizo la pili la CCM
   
Loading...