SA KIONGOZI?First Match, June 25, 2017: Taifa Stars 2 - 0 Malawi.
Huu ni uzi maalum wa kuisuport star kwa sasa pamoja na changamoto zilizopo lakin tuwape moyo vijana wapambane..tukitoka huko ndio tuje unachokitaka ww mkuu.Usithubutu kuweka mzigo -kubet, Timu hiyo ni km indulent fever -homa ya kupanda na kushuka. Ni lazima TFF iingozwe na mtu wa mpira, sio mfanyabiashara za malori na makampuni za clearing ukategemea matokeo. Mimi siungi mkono viini macho. Tujadili tatizo la msingi ambalo ni TFF kushindwa kusimamia maendeleo ya mpira.
Halelujaaah...Wamedroo bila kwa bila