Tanzania nchi yetu iko SA kwenye mashindano ya COSAFA. Huu ni uzi maalumu kuwasupport.

cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
658
1,000
NDUGU mtz mwenzangu pamoja na tofauti zetu nyingi lakin ni ukweli usiopingika kuwa tu wamoja kwasababu ya Utanzania wetu..naomba comment chochote kuipa suport timu yet. KARIBU
 
Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,040
2,000
next game tonite at 19H30,vs Angola,Royal Bafokeng sport Palace,and the last group game will be on 29.06.vs Mauritius ,17H00 at Moruleng Stadium,tuwaombee kila na heri.
 
cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
658
1,000
Twende Tanzania chama langu..
 
Attachments

  • IMG-20170627-WA0027.jpg
    File size
    92.8 KB
    Views
    50

Mechi

Senior Member
Mar 10, 2017
177
225
Usithubutu kuweka mzigo -kubet, Timu hiyo ni km indulent fever -homa ya kupanda na kushuka. Ni lazima TFF iingozwe na mtu wa mpira, sio mfanyabiashara za malori na makampuni za clearing ukategemea matokeo. Mimi siungi mkono viini macho. Tujadili tatizo la msingi ambalo ni TFF kushindwa kusimamia maendeleo ya mpira.
 
cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
658
1,000
Usithubutu kuweka mzigo -kubet, Timu hiyo ni km indulent fever -homa ya kupanda na kushuka. Ni lazima TFF iingozwe na mtu wa mpira, sio mfanyabiashara za malori na makampuni za clearing ukategemea matokeo. Mimi siungi mkono viini macho. Tujadili tatizo la msingi ambalo ni TFF kushindwa kusimamia maendeleo ya mpira.
Huu ni uzi maalum wa kuisuport star kwa sasa pamoja na changamoto zilizopo lakin tuwape moyo vijana wapambane..tukitoka huko ndio tuje unachokitaka ww mkuu.
 
kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,072
2,000
Twajitahidi kuwapa sapoti ila hatuoni mabadiliko
Majuzi tena wenzao wamepotezana ugenini
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom