Tanzania nchi yenye udongo wenye dhambi-Pongezi Roma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania nchi yenye udongo wenye dhambi-Pongezi Roma

Discussion in 'Entertainment' started by engmtolera, Jun 28, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Wana Jf Ingawaje huu mziki ni wa 2010 lakini ni ktk bongo fraver ambayo nyimbo imetungwa na ikatungika,nyimbo ina ujumbe unaoeleweka na mwimbaji amekuwa wazi zaidi ktk kile alichokikusudia kukifikisha kwa adhira

  na mala nyingi miziki kama hii yenye ujumbe wa kuchoma huwezi kuisikia ikipigwa maredioni hususani ktk vile vyombo vinavyopenda 10%

  Wana JF nimeona niwape nanji mjaribu kusikiliza nini vijana wetu wanafanya ktk kufikisha pale wanapoguswa na matatizo yetu Watanzania

  kwa kweli Naomba nimpongeze Kijana Roma kwa UJUMBE mzuri uliotulia

  Tunahitaji wanamziki kama hawa akiungana na Mrisho MPOTO ujumbe watausikia tu watawala wetu


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni nche yenye udongo wenye dhambi ni sawa na kusema nchi yetu imejaa rutuba. Maana dhambi ni uchafu, nao ukioza huwa rutuba ardhini
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Jun 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Jamaa yupo juu sana

  alikaa chini na kufikilia na kutoa kitu ambacho hata ukiusikiliza mpaka mwisho bado unatamani uendelee kupata ujumbe,

  safii sana mkuu kaza buti
   
Loading...