Tanzania nchi yenye rais asiyeishi Ikulu wala....

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Rais Kikwete ametii agizo la Dr. Slaa la kupunguza bei ya bidhaa muhimu na kutoilipa DOWANS. Daktari huyu alimpa JK siku tisa ili atatue matatizo hayo. JK alijaribu kulialia ili aongezewe muda lakini Boss wake aligoma. Mwisho wa siku ametii AMRI halali ya Slaaa!!!

SWALI:-
KATI YA KIKWETE NA DR. SLAA NANI KIONGOZI WA NCHI?
NA KWAMBA:- KAMA HAYO YALITOKEA JE, NI HALALI KUSEMA KIONGOZI WA NCHI SI LAZIMA APIGIWE SALUTI; AMILIKI KAMBI ZA JESHI NA TAASISI ZA SERIKALI?
 
SHAMBULIO KWA MWANA-JF MMOJA NI SHAMBULIO KWA WANACHAMA WETU WOTE 35,000 KOTE WALIKO DUNIANI NA NDANI YA VYOMBO MBALIMBALI VYA SERIKALI HUMO

Kama mpango mzima wa kuwawekeni Uenyekiti wa Kamati za Bunge (Lowassa, Kabwe na January Makamba) ilikua ni kutumbukiza tena kwenye biashara ya ma-hayawani DOWANS mara Richmonduli ambazo ni mali zake Rostam Aziz, basi bora msahau mapemaaa maana nanyi mtakwenda na maji kwenye mkumbo huo huo!!

Wajanja Tanzania wapo wengi sana zaidi yenu nyie hapo. Pili muelewe kwamba sera yetu hapa JF ni kwamba mwenzetu mmoja (kama alivyo hivi sasa mwenzetu Mzee Mwanakijiji) akishambuliwa visivyo kama ambavyo Zitto Kabwe ameruhusu kamati yake kufanya dhidi ya mmoja wetu basi mjue ya kwamba tayari mtakua mmetangaza vita na Jamii Forum kwa ujumla wake bila kujali itikadi zetu tofauti humu ndani.

Wasiwasi wangu tu ni kwamba Kamati ya Zitto Zuberi Kabwe na watu wanaowatuma kuishambulia JF hivi kweli MTANANGE HUU MTAUWEZAAA???
 
Vive le JF, Vive le Mzee Mwanakijiji! Mkuu Papa D, malengo ya Rais wa ukweli(Dr. Mivyeti na miGPA mixa Mithesis) hayaishii kwenye kushusha bei ya vitu na kutolipa Dowans. Ila lengo letu ni kubadili mfumo mzima na kuleta utumishi uliotukuka, usio wa kulinda ugali na wenye kujali mabosi wananchi. Tuko pamoja till NGUVU YA UMMA ITAKAPOCHUKUA NCHI!
 
Rais Kikwete ametii agizo la Dr. Slaa la kupunguza bei ya bidhaa muhimu na kutoilipa DOWANS. Daktari huyu alimpa JK siku tisa ili atatue matatizo hayo. JK alijaribu kulialia ili aongezewe muda lakini Boss wake aligoma. Mwisho wa siku ametii AMRI halali ya Slaaa!!!

SWALI:-
KATI YA KIKWETE NA DR. SLAA NANI KIONGOZI WA NCHI?
NA KWAMBA:- KAMA HAYO YALITOKEA JE, NI HALALI KUSEMA KIONGOZI WA NCHI SI LAZIMA APIGIWE SALUTI; AMILIKI KAMBI ZA JESHI NA TAASISI ZA SERIKALI?
Mbona unauliza majibu? Kwani mkuu ukimwangalia kikwete na kumwangalia daktari, si unaona beyond any reasonable doubt kuwa daktari ndo Rahis wa Nji hii? bring issues not questions with obvious answers bana. By the way, bado kuna watu hawampigii salute Rahis wetu Daktari?
 
Rais Kikwete ametii agizo la Dr. Slaa la kupunguza bei ya bidhaa muhimu na kutoilipa DOWANS. Daktari huyu alimpa JK siku tisa ili atatue matatizo hayo. JK alijaribu kulialia ili aongezewe muda lakini Boss wake aligoma. Mwisho wa siku ametii AMRI halali ya Slaaa!!!

SWALI:-
KATI YA KIKWETE NA DR. SLAA NANI KIONGOZI WA NCHI?
NA KWAMBA:- KAMA HAYO YALITOKEA JE, NI HALALI KUSEMA KIONGOZI WA NCHI SI LAZIMA APIGIWE SALUTI; AMILIKI KAMBI ZA JESHI NA TAASISI ZA SERIKALI?

Mpaka muda huu Kiongozi wa nchi ni JK anayefanya kazi zake kwa makini ili asimuudhi bosi wake, RA.
Hili la pili Si lazima. Ndiyo maana RA pamoja na nguvu zote si yeye anayepigiwa ving'ora na yale Ma-BMW X5. Yeye yupo nyumbani kwake na remote controller.
Wewe mwenzetu unaweza kudhani kilichotekelezwa ni amri ya Slaa kumbe Mzee RA kakoroma "Wakikuondoa Madarakani kabla sijalipwa ndo basi tena usije kuniulizia chako" kwa hiyo mbio mbio JK anajaribu kuwalegezea wadanganyika waliokuwa wameanza kupanda jazba. Maadam hawatamwondoa, basi RA atalipwa mapesa yake kwa namna yoyote itakayowezekana na baadaye mambo yatakwenda vizuri kwa JK. End of Story!
 
Haya maneno yenu yanatufanya tucheke wenyewe vyumbani! kweli Mkwere ana kazi kweli kweli
 
Rais Kikwete ametii agizo la Dr. Slaa la kupunguza bei ya bidhaa muhimu na kutoilipa DOWANS. Daktari huyu alimpa JK siku tisa ili atatue matatizo hayo. JK alijaribu kulialia ili aongezewe muda lakini Boss wake aligoma. Mwisho wa siku ametii AMRI halali ya Slaaa!!!

SWALI:-
KATI YA KIKWETE NA DR. SLAA NANI KIONGOZI WA NCHI?
NA KWAMBA:- KAMA HAYO YALITOKEA JE, NI HALALI KUSEMA KIONGOZI WA NCHI SI LAZIMA APIGIWE SALUTI; AMILIKI KAMBI ZA JESHI NA TAASISI ZA SERIKALI?

ndivyo Chadema mnavyo jifariji. Poleni sana
 
Back
Top Bottom