Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,088
Dada humu ndani kuna mijitu ina hasira zao, yanajiropokea hawajui hata hizo bidhaa zinakaguliwa na TPRI, TFDA,TRA nk eti zinaingizwa nchiniMinjingu ni cha wachina? SEED co zinatoka Zambia?
Dada humu ndani kuna mijitu ina hasira zao, yanajiropokea hawajui hata hizo bidhaa zinakaguliwa na TPRI, TFDA,TRA nk eti zinaingizwa nchiniMinjingu ni cha wachina? SEED co zinatoka Zambia?
Achana na hili bumunda mkuu, halina taarifa sahihi limekurupuka tu! Naliendele tena wanazalisha ufuta, karanga, mihogo na hizo korosho. Bado kuna vituo kama Ukirigulu, Uyole, Maruku, Kibaha, Mikocheni, n.k vyote hivyo vinatafiti mbegu! Pia kuna makampuni kibao ya uzalishaji mbeguNaliendele Mtwara hawazalishi tena mbegu za mikorosho?
Arusha kuna jamaa wanazalisha mbegu mbalimbali, matikiti (properly packed kwenye makopo), hoho za rangi mbalimbali n.kAchana na hili bumunda mkuu, halina taarifa sahihi limekurupuka tu! Naliendele tena wanazalisha ufuta, karanga, mihogo na hizo korosho. Bado kuna vituo kama Ukirigulu, Uyole, Maruku, Kibaha, Mikocheni, n.k vyote hivyo vinatafiti mbegu! Pia kuna makampuni kibao ya uzalishaji mbegu
sorry even though mm sio mwanasiasa. niseme tu minjingu kuna kiwanda cha muda mrefu tu. labda ww ndio ulikuwa hukifahamHakuna kiwanda cha Minjingu ni blah blah za kilimo kwanza na mapambio yake. Kwanza hakuna mkulima anataka iyo sumu
Eeeh ndiyo nawafahamu wanaitwa Pop Vriend wana bonge la kiwanda. Pia wapo wanaitwa Africasia wako Unga Limited eneo la viwanda, kuna pia wanaitwa Suba. Bado hatujataja Meru company ambao wana mashamba ya mbegu mpaka huko Kigoma! Huyu mleta mada amekurupuka!Arusha kuna jamaa wanazalisha mbegu mbalimbali, matikiti (properly packed kwenye makopo), hoho za rangi mbalimbali n.k
Mbowe yupo wapi? Tunamtaka mwenyekiti wetu.Tumieni mavi ya ng'ombe
Minjingu eti siku hizi wanachangamkia biashara ya madini.Kiwanda cha mbolea tunacho Minjingu buana
-REPORT naona ni bhange na hang over maana kaanza kumshambulia Mama wa watu akikituhumu na chama wala mama hahusiki nachoPole sana,matusi hayo hayakubaliki.
Huyo mtu anastahili ban haraka sana.
Namripoti.
Eeeh ndiyo nawafahamu wanaitwa Pop Vriend wana bonge la kiwanda. Pia wapo wanaitwa Africasia wako Unga Limited eneo la viwanda, kuna pia wanaitwa Suba. Bado hatujataja Meru company ambao wana mashamba ya mbegu mpaka huko Kigoma! Huyu mleta mada amekurupuka!
Eeeh ndiyo nawafahamu wanaitwa Pop Vriend wana bonge la kiwanda. Pia wapo wanaitwa Africasia wako Unga Limited eneo la viwanda, kuna pia wanaitwa Suba. Bado hatujataja Meru company ambao wana mashamba ya mbegu mpaka huko Kigoma! Huyu mleta mada amekurupuka!
mkuu tafadhali iondoe bangi hapo ...psychedelic drug ...Dawa yenye tiba nyingi Sana kiafya mkuu..NILISHAM
-REPORT naona ni bhange na hang over maana kaanza kumshambulia Mama wa watu akikituhumu na chama wala mama hahusiki nacho
Inaona kila mtu ni mjingaCCM inafanya watu mazezeta (MATAGA )ili iwatawale vizuri zaidi
Mijingu tatizo lao wamejiingiza kwenye siasa sn badala ya scienceMarket share kwenye mbegu za ndani bado ndogo sana. Minjingu haijakaa kibiashara sana na zamani ilikuwa ikiuzwa ikiwa ghafi , yaani inachimbwa na kupakiwa kwenye mifuko moja kwa moja. Ikiwa ghafi utendaji kazi wake huwa ni wa tararibu sana, wasingeweza kushindana sokoni na DAP. Kingine walikuwa na mbolea ya kupandia pekee ila kwa sasa kidogo wamebadilika na kuleta toleo jingine lililoboreshwa wanaita minjingu nafaka ingawa kukubalika miongoni mwa wakulima bado sana, wanahitaji nguvu kubwa sana kuitangaza.
Sumu zote mlizomuwekea imeshindikana sasa mnataka kumloga !