TANZANIA... NCHI TAJIRI KWA RASILIMALI ZA KILA AINA... ona hapa....

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,835
16,697
.... UTAJIRI WA NCHI YANGU TUKUFU TZ...ni mkubwa mno.... ila umaskini...ujinga na maradhi kwa wananchi wake UNATISHA....maendeleo bado mno....huu ndio utajiri wetu....while we are poor poorer & poorest ....

1: Dhahabu....
2: Almasi....
3: Tanzanite....
4: Uranium..... Lindi & Selous Game Reserve..
5: Gas.....in progress
6: Makaa ya Mawe...
7: Chuma......
8: Wanyama pori ==>> National parks kibao..utalii
9: Samaki...
10: Kilimanjaro...
11: Ngorongoro Crater....
12: Game Reserves..... uwindaji.... billions of dollars
13: Bahari...i.e.. Bandari etc...
14: Arable land....
15: Rivers & Lakes.....
16: Good Weather... huu ni utajiri pia..hatuna jangwa
17:
18:
 
15: Good Weather... huu ni utajiri pia..hatuna jangwa
16:
17:
18:

Hakuna cha ajabu hapo, nchi nyingi tu Hapa Afrika zina huo unaouita utajiri na kuzidi!
 
.... UTAJIRI WA NCHI YANGU TUKUFU TZ...ni mkubwa mno.... ila umaskini...ujinga na maradhi kwa wananchi wake UNATISHA....maendeleo bado mno....huu ndio utajiri wetu....while we are poor poorer & poorest ....

1: Dhahabu....
2: Almasi....
3: Tanzanite....
4: Uranium..... Lindi & Selous Game Reserve..
5: Gas.....in progress
6: Makaa ya Mawe...
7: Chuma......
8: Wanyama pori ==>> National parks kibao..utalii
9: Samaki...
10: Kilimanjaro...
11: Ngorongoro Crater....
12: Game Reserves..... uwindaji.... billions of dollars
13: Bahari...i.e.. Bandari etc...
14: Arable land....
15: Rivers & Lakes.....
16: Good Weather... huu ni utajiri pia..hatuna jangwa
17:
18:
Tatizo ni mizigo kama wewe,
Badala ya kuchangia maendeleo ya taifa unakaa chini kupiga kelele za lawama na kuandamana
 
je vyote ni economic viable? Kama ni viable sera zetu zinalinda vipi maslai ya taifa?

Tunasera ambazo zinamtaka mwekezaji achimbe ndio ajenge lami,hospitali.

Tuondoe wawekaezaji wababaishaji,sera ziwatake wawekezaji wajenge lami,shule pia huduma ya umeme na maji kwa vijiji vinavyozunguka mgodi,hata kabla ya uchimbaji kuanza,wakishindwa wapewe wanaoweza.
 
really??? Hebu nitajie moja

Kuna propaganda nyingi sana zinaendelea TZ kwamba sisi ndio tajiri wa Rasilimali Afrika, siyo kweli kwanza ktk nchi ambazo zinatambulika kwa kuwa na Rasilimali nyingi hata 10 bora ktk Afrika hatumo!

Hatuna Upekee wowote ktk hilo, Angalia watu wanaongelea Dhahabu, sisi ni namba 4 Afrika kwa kutoa dhahabu nyuma ya A.Kusini, Ghana na Mali, Almasi wala hatumo, Nchi zinazoongoza Duniani kwa Almasi ni Botswana, na Namibia na Angola, ukija kwenye Uranium hatumo kabisa kuna Namibia, Niger, Mali n.k, Gesi Algeria, Libya, na Afrika Magharibi hata Msumbiji wana Gesi nyingi kutushinda, Makaa ya mawe ndio wala usiseme Afrika Kusini, Msumbiji hata Malawi wanatoa na kuuza Makaa ya Mawe mengi kushinda, Shaba Zambia ndio inaoongoza Afrika kwa kuuza Shaba!

Hivyo ukiangalia utaona kwamba sisi tunadanganywa sana na Propaganda kwamba ndio tunaoongoza Afrika SIO kweli, hata ukiangalia ripoti ya US geological survey ambayo inaonyesha Nchi zenye Rasilimali nyingi Duniani hatumo, Zambia wanahesabika kuwa wana Rasilimali nyingi kutushinda, Kongo (zote mbili ndio usiseme), Namibia, Botswana, Afrika Magharibi wote hao wamezidi kwa mbalai sana, kwa taarifa hata Sudan kusini wanahesabika kuwa wana Rasilimali nyingi kutushinda!

Anayetudanganya tunavyo ni nani na anataka nini au anapata nini kwa uwongo huo?
 
Tatizo ni mizigo kama wewe,
Badala ya kuchangia maendeleo ya taifa unakaa chini kupiga kelele za lawama na kuandamana

ur sick... totally abnormal.... LAZIMA TUPIGE KELELE NA KUANDAMANA IF POSSIBLE TO SAFE GUARD OUR NATURAL RESOURCES & fight for good governance..... for ur poor mind.... my monthly tax.... is urs for a year or 2yrs in a row.... ur swine....
 
Anayetudanganya tunavyo ni nani na anataka nini au anapata nini kwa uwongo huo?

Viongozi wetu ndio wanatudaganya, tumelelewa hivyo tangu wadogo tunaambiwa kwamba nchi yetu ndio tajiri wa raslimali Afrika na saa nyingine tunaambiwa Duniani, kumbe sio ukweli, bali ni propaganda tu kama propaganda nyingine kwamba sisi ndio tunaoongoza kwa kuwa na Amani Afrika bulshi..t, nchi nyingi tu zina Amani!

Vp tanzanite inapatikana wapi zaidi kuliko tanzania?

Tanzanite wala haihesabiki Duniani kama ni Madini ya thamani, soko la Tanzanite Duniani ni dola (US) Millioni 500 tu, hiyo ni thamani ya Mgodi wa Dhahabu mmoja tu wa Barrick kama Buzwagi, hivyo wala usiiongelee na kama ulikuwa hujui sasa hivi Pakistani pia wanatoa Tanzanite yaani madini yenye tabia sawa na Tanzanite!

Wanapoongelea Nchi zenye utajiri wa Rasilimali wanaongelea strategic Resources kama Platinum, Chromium, Uranium, copper, Nickel, n.k sasa Tanzanite huwezi kuiweka hapo!
 
Mimi nadhani tunapoongelea utajiri wetu sisi kama Tz si kwa mtazamo wa kujilinganisha kwa volume au quantity na nchi zingine. Ila lililo kweli na dhahiri ni kwamba nchi yetu hata kama hatuwazidi hao kina Kongo, Namibia au Malawi na wengine.....UTAJIRI WA MALIASILI TUNAO WA KUTOSHA!!..

Ni wa kutosha kabisa kutufanya tusiwe katika kiwango hiki cha maendeleo tulichonacho sasa. Na hii inatokana na sababu moja tu nionavyo mimi; Kwamba hatuna utaratibu mzuri wa kuvuna na kuzitumia maliasili hizi
kwa namna ya kulinufaisha taifakwa ujumla na kuinua hali za maisha za wananchi

Possibly sababu zaweza kuwa ni nyingi sana ikiwamo kubwa ufisadi na kutokuwa na viongozi walio wa wazalendo na waadilifu!!
 
Tatizo ni mizigo kama wewe,
Badala ya kuchangia maendeleo ya taifa unakaa chini kupiga kelele za lawama na kuandamana

Nilizungukia maeneo ya migodi ya Geita na Mara ili kujua nini watanzania tunaachiwa, Nikaambiwa unatafuta nini huku huoni fensi hizo? Hauruhusiwi hata kuingia huko ndani subiri maji ya sumu huko nje, wakata nasubiri hayo nikaona watanzania wanavyobabuka kwa maji machafu yanayoliki katika mali yao inayobebwa na Pipa baada ya muda kidogo nikaona malori ya kichina yanapita na michanga. Kuuliza pia nikaambiwa hao ndo wakandarasi wanahakikisha tunaachiwa mashimo ambayo badaye tutatumia kama mabwawa ya maji kwani nchi haina uwezo wa kuchumba mabwawa.

Nikaenda zangu huko Bahi kujionea uchunguzi wa uraniu ambayo ni tunu duniani kwa sasa, Nikakuta wote wanaolima mpunga katika bonde wanababuka na maji yaliyoshuka toka eneo la uchunguzi wa machimbo. Fasta nikaonana na Mh. akasema haya ndio maendeleo, tutulie.

Hata hivyo sikukata tamaa nikanyosha mpaka ktk mashamba ya kilimo cha mpunga huko Kilombero, ndugu fensi hiyo hakuna mwananchi anayekatiza hata barabara inayounganisha vijiji ambayo ilikuwa inakatiza eneo hilo sasa no kupita. Nikapoz nje naona Semitrela zikitoka zimefungwa maturubai hata hakionekani kilichomo ndani. Sikukawia nikasema wao mapato hayo kupitia ushuru, Fasta kuwaona wahusika wanaokusanya ushuru nikaambiwa hao jamaa ni bora hata wabeba gunia za mpunga mmoja mmoja wanalipa kuliko hao. Kwani gari zao hawaruhusiwi hata kuzikagua.
NIKASHIKA KICHWA, NIKAJIULIZA HII NDIO MAANA YA UTANDAWAZI NA UWEKEZAJI TULIOAMBIWA UTATULETEA MAENDELEO!!!!!!!!!
Hebu mkuu tusaidie tuchangiaje maendeleo kwa staili hiyo?
Hata hivyo nakupa uzi huu watanzania muleba wakifa kwa kukosa dawa za malaria lakini utajiri uliopo mkoa huo mungu ndio anajua. Click hapa http://www.mtanzania.co.tz/index.ph...ticle&id=7588:maafa&catid=29:bukoba&Itemid=63
 
Mimi nadhani tunapoongelea utajiri wetu sisi kama Tz si kwa mtazamo wa kujilinganisha kwa volume au quantity na nchi zingine. Ila lililo kweli na dhahiri ni kwamba nchi yetu hata kama hatuwazidi hao kina Kongo, Namibia au Malawi na wengine.....UTAJIRI WA MALIASILI TUNAO WA KUTOSHA!!..

Ni wa kutosha kabisa kutufanya tusiwe katika kiwango hiki cha maendeleo tulichonacho sasa. Na hii inatokana na sababu moja tu nionavyo mimi; Kwamba hatuna utaratibu mzuri wa kuvuna na kuzitumia maliasili hizi
kwa namna ya kulinufaisha taifakwa ujumla na kuinua hali za maisha za wananchi

Possibly sababu zaweza kuwa ni nyingi sana ikiwamo kubwa ufisadi na kutokuwa na viongozi walio wa wazalendo na waadilifu!!

Hapo naungana na wewe 100%, kwamba Rasilimali tulizonazo zinatutosha kama Nchi na tukizitumia vizuri zinaweza kutunufaisha sana na kututoa hapa tulipo!

Tatizo linapokuja tu pale watu wanapoongelea kuhusu Rasilimali za TZ kana kwamba nchi yetu ni ya pekee sana, sio kweli vyote tulivyonavyo na wengine pia wanavyo, hivyo kinachobaki ni nani anatumia Rasilimali alizonazo vizuri Mfano mzuri Afrika Kusini, wametunia Rasilimali zao vizuri na zimewanufaisha! Na sisi hatuna budi kuwaiga!
 
Back
Top Bottom