Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
Na imani kabisa ipo siku Tanzania nayo itapata mpunga wake ili kupambana na covid 19
Kama kenya wamepata naamini Tanzania nayo itapata tena kwa sababu Tanzania ina population kubwa kuliko Kenya basi inaweza pata hata mara mbili yake.
Lakini najiuliza kwanini hawataki kutoa haraka maana karibu africa mashariki yote imepata isipo kua Tanzania na sibling wake Burundi. Kulikoni?