Tanzania nayo kupata matirilion ya fedha toka world bank kupambana na Covid-19?

Tuchukue tu halafu tuagize A 380 mbili kwa mpigo ili ikifikia wakati wa kuwasomba wajumbe wa mkutano mkuu mpone hela kukodi fuso
Hapana kamanda. Tutazitumia kwenda kubeba mask China kama alivopendekeza Mwenyekiti.
 
Na imani kabisa ipo siku Tanzania nayo itapata mpunga wake ili kupambana na covid 19

Kama kenya wamepata naamini Tanzania nayo itapata tena kwa sababu Tanzania ina population kubwa kuliko kenya basi inaweza pata hata mara mbili yake.

Lakini najiuliza kwanini hawataki kutoa haraka maana karibu africa mashariki yote imepata isipo kua Tanzania na sibling wake Burundi. Kulikoni?

Tanzania Corona imeisha tunasubiri sherehe Jpili hela za nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kenya wamepata naamini Tanzania nayo itapata tena kwa sababu Tanzania ina population kubwa kuliko kenya basi inaweza pata hata mara mbili yake.
Sisi hatujaomba,tumeomba kusameheqa deni au kuahirisha marejesho
 
Na imani kabisa ipo siku Tanzania nayo itapata mpunga wake ili kupambana na covid 19

Kama kenya wamepata naamini Tanzania nayo itapata tena kwa sababu Tanzania ina population kubwa kuliko kenya basi inaweza pata hata mara mbili yake.

Lakini najiuliza kwanini hawataki kutoa haraka maana karibu africa mashariki yote imepata isipo kua Tanzania na sibling wake Burundi. Kulikoni?

Wewe unajua population ya Tz na Kenya ??

Tena pesa hiyo ni tamu kweli.

Mkopo bila riba, unapata 'grace period' ya miaka mitano na urudishe hela ya watu miaka kumi!

Inawezekana pia ikasamehewa kama hali ya uchumi ni mbaya huko baadae?

"Mabeberu, mabeberu, mabeberu..., hawatutakii mema hawa!

Je, masharti yao ni yapi? Lazima 'mbuzi' ainame?

Mbuzi, mbuzi, mbuziii...!
 
Na imani kabisa ipo siku Tanzania nayo itapata mpunga wake ili kupambana na covid 19

Kama kenya wamepata naamini Tanzania nayo itapata tena kwa sababu Tanzania ina population kubwa kuliko kenya basi inaweza pata hata mara mbili yake.

Lakini najiuliza kwanini hawataki kutoa haraka maana karibu africa mashariki yote imepata isipo kua Tanzania na sibling wake Burundi. Kulikoni?

Hatuhitaji please tuna dawa zetu za kienyeji .Wewe Ni doctor au nesi unataka ule miposho? Barakoa Mitaani zinauzwa Hadi Mia tano dawa za kujifukiza bure hatutaki hiyo pesa
 
Kuna watu wanawashwa na ufanyaji kazi wa Watanzania chini ya JPM kama mlikuwa hamfahamu haya mnayoyaona ni rasha rasha tu masika yenyewe bado haijaanza. Rais wa Kenya fasta alimtuma Balozi na yeye mwenyewe kumtafuta JPM, kama mjuavyo JPM akamtolea nje na kumrudisha kwa wakuu wa mikoa. Safi sana patachimbika tu.
 
Kwani zile za IMF tumepata? maana Kenya na Uganda wameshalamba na wanakinga na hizi za WB, sijui siye tumekosea wapi...
 
Na imani kabisa ipo siku Tanzania nayo itapata mpunga wake ili kupambana na covid 19

Kama kenya wamepata naamini Tanzania nayo itapata tena kwa sababu Tanzania ina population kubwa kuliko Kenya basi inaweza pata hata mara mbili yake.

Lakini najiuliza kwanini hawataki kutoa haraka maana karibu africa mashariki yote imepata isipo kua Tanzania na sibling wake Burundi. Kulikoni?

Juzi tu JPM ameshalipa Bil 19 kama fidia ya watu kupisha ujenzi wa reli. Dom to Tabora, bado mnataka tukopeshwe. Ili iweje? Watulazimishe Lockdown? Hamjui kuwa kuna mzigo umejaa kwenye Consolidated fund.
Maana safari za nje tu alizozuia magufuli zimeokoa Bil 400. Kizazi cha nyoka mbona mioyo yenu migumu sana?
 
Back
Top Bottom