Tanzania nayo kupata matirilion ya fedha toka world bank kupambana na Covid-19?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
10,217
2,000
Na imani kabisa ipo siku Tanzania nayo itapata mpunga wake ili kupambana na covid 19

Kama kenya wamepata naamini Tanzania nayo itapata tena kwa sababu Tanzania ina population kubwa kuliko Kenya basi inaweza pata hata mara mbili yake.

Lakini najiuliza kwanini hawataki kutoa haraka maana karibu africa mashariki yote imepata isipo kua Tanzania na sibling wake Burundi. Kulikoni?

20200520_134435.jpeg
 
owomkyalo

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
3,490
2,000
Na imani kabisa ipo siku Tanzania nayo itapata mpunga wake ili kupambana na covid 19

Kama kenya wamepata naamini Tanzania nayo itapata tena kwa sababu Tanzania ina popilation kubwa kuliko kenya basi inaweza pata hata mara mbili yake.

Lakini najiuliza kwanini hawataki kutoa haraka maana karibu africa mashariki yote imepata isipo kua Tanzania na sibling wake Burundi. Kulikoni?

View attachment 1454865

Popilation ndo nini / Jifunze kuandika lugha ya mabeberu ndo utapewa mkopo.
 
Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
10,881
2,000
Na imani kabisa ipo siku Tanzania nayo itapata mpunga wake ili kupambana na covid 19

Kama kenya wamepata naamini Tanzania nayo itapata tena kwa sababu Tanzania ina population kubwa kuliko kenya basi inaweza pata hata mara mbili yake.

Lakini najiuliza kwanini hawataki kutoa haraka maana karibu africa mashariki yote imepata isipo kua Tanzania na sibling wake Burundi. Kulikoni?

We don't need loans

Watoe grant
 
Ndombwindo

Senior Member
Nov 23, 2013
153
250
Kuna watu na madeni ni damu damu, yaani unakuta mtu anashadadia kukopeshwa mpaka yupo tayari kuweka bond nyumba ya urithi na bado hajawashirikisha ndugu zake ambao eventually watakuwa wadaiwa pia.

Raisi anayepambana kupunguza madeni hawezi opt huo mkondo kamwe, pia nadhani kuna watu hawajui raha ya kutodaiwa. Japo inasemekana maendeleo hayaji bila madeni (kwa kiasi nakubaliana, isipokuwa kabla ya kukopa lazima feasibility study iwe imefanyika vyema) sio umeona tu mahali bango limeandikwa Tunakopesha kwa masharti mepesi basi na wewe humo.
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
5,785
2,000
Pesa ni kwa ajili ya mapambano ya CovID-19, Tanzania hatuna covid-19 sasa tupewe pesa tupambane na nini?!
Labda tupewe tupambane na CHADEMA, maana kwa mujibu wa serikali hao ndio tatizo lao kwa sasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom