Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
labda waanzishe utaratibu wa kuwapatia wananchi wote passport..........vinginevyo itakuwa ngumu, ni asilimia kidogo sana ya wananchi wa Tanzania wenye passport
Hata kama wakifanya hivyo je, Jeshi letu la Police litaweza kuimalisha Ulinzi kwa raia na kupunguza matukio ya wizi,mauaji na kadharika?na kwa system ipi? bila kutumia hii system ya kipande?
Je Kamanda Kova atakuwa anatupa ushahidi upi wa kitaalamu kuwa tukio hili lilitokea labda hivi na wamechunguza kwa ki sayansi na wamegundua tukio lilifanyikaje?
Nadhani pia twatakiwa kuja na mbinu endelevu kwa ajili ya usalama wetu na mambo mengine pia.