Tanzania National Identities

Mpango wa kuwa na vitambulisho vya kitaifa:

  • Ni Nzuri

    Votes: 205 58.4%
  • Ni Mbaya

    Votes: 147 41.9%

  • Total voters
    351
Nilitegemea hata upigaji kura utarahisishwa na mid.
Literally hichi kitambulisho sioni maana yake. Expectations zilikua ni kwamba kitambulisho kingeweza kurahisisha baadhi ya mambo. Sahivi unahitaji passport bado ufate procedures za barua kutoka kwa ofisi sijui za mtaa. Wakati upatikanaji wa kitambulisho umefata mlolongo huo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UMUHIMU WA KITAMBULISHO​

Vitambulisho vya Taifa ni chachu ya maendeleo ya Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa.
  1. Vitasaidia kuongeza wigo wa mapato ya Serikali
  2. Vitasaidia kumtambua mhusika kirahisi anapohitaji kupatiwa huduma katika taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya.
  3. Vitarahisisha kuwatambua wakwepaji wa kurejesha mikopo kutoka kwenye benki na asasi mbalimbali za fedha nchini.
  4. Vitasaidia kuweka kumbukumbu za matukio ya uhalifu katika daftari la kumbukumbu la kielektroniki.
  5. Vitawezesha kumtambua mtu anapofanya biashara au shughuli nyengine kwa kutumia majina tofauti.
  6. Vitafanikisha kuhakikisha kuwa mtu anapata stahili zake za jamii. Kwa mfano, kupata malipo ya pensheni, haki za matibabu, haki za kujiunga na masomo ikiwa ni pamoja na stahili zozote ambazo raia wa Tanzania anastahili kupata kirahisi kwani kupitia kitambulisho mtu atatambulika kirahisi(nani ni nani?, yuko wapi?, na anafanya nini? katika taifa hili.
  7. Vitasaidia kuondoa watumishi hewa kwenye mfumo wa malipo ya mishahara ‘payroll’ ya Serikali.
  8. Vitaimarisha utendaji kazi Serikalini kwa kuwa na kumbukumbu sahihi za watumishi na malipo ya stahili zao, hasa pale wanapostahafu.
  9. Vitarahisisha zoezi la kuhesabu watu (sensa).
  10. Vitarahisisha zoezi la kuhuisha daftari la wapiga kura, ambapo kwa sasa hufanyika mara mbili kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Tunahitaji kitambulisho kimoja ambacho kitakua smart card kitakachoweza kubeba
1 taarifa za msingi za mhusika(awali)
2 taarifa bank kwa wafanyakazi
3 taarifa za account kwa wasiowafanyakazi
4 taarifa za afya kama vile bima za afya zote ziwe ndani ya hicho kitambuisho
5 taarifa za kijamii kama vile viongozi wa jamiii
6 taarifa za kisiasa

Na hichi kitambulisho kinakua na uwezo wa kuwa update any time where necessary,
Yaaaàani kunakua na nafasi maerufu ndani ya kitambulisho ili kumtambulisha mtu katka nafasi ama kitengo fulani, kuhusu kitambulisho cha nida tumepigwa na kitu kizito, hicho kimebeba taarifa za umri, mahali ulipozaliwa, wazazi wako na mahali ulipokatia kitambulisho, serikali imetumia gharama kubwa sana kuwapeleka watu China ili wajifunze mfumo wa kitambulisho cha kule na waje kutengeneza kwa watanzania but it was extravagance of time and money,

Time to wake up and change.
 
Sio kubebelea vitambulisho vingi kama madeni ya walimu.
 
UMUHIMU WA KITAMBULISHO​

Vitambulisho vya Taifa ni chachu ya maendeleo ya Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa.
  1. Vitasaidia kuongeza wigo wa mapato ya Serikali
  2. Vitasaidia kumtambua mhusika kirahisi anapohitaji kupatiwa huduma katika taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya.
  3. Vitarahisisha kuwatambua wakwepaji wa kurejesha mikopo kutoka kwenye benki na asasi mbalimbali za fedha nchini.
  4. Vitasaidia kuweka kumbukumbu za matukio ya uhalifu katika daftari la kumbukumbu la kielektroniki.
  5. Vitawezesha kumtambua mtu anapofanya biashara au shughuli nyengine kwa kutumia majina tofauti.
  6. Vitafanikisha kuhakikisha kuwa mtu anapata stahili zake za jamii. Kwa mfano, kupata malipo ya pensheni, haki za matibabu, haki za kujiunga na masomo ikiwa ni pamoja na stahili zozote ambazo raia wa Tanzania anastahili kupata kirahisi kwani kupitia kitambulisho mtu atatambulika kirahisi(nani ni nani?, yuko wapi?, na anafanya nini? katika taifa hili.
  7. Vitasaidia kuondoa watumishi hewa kwenye mfumo wa malipo ya mishahara ‘payroll’ ya Serikali.
  8. Vitaimarisha utendaji kazi Serikalini kwa kuwa na kumbukumbu sahihi za watumishi na malipo ya stahili zao, hasa pale wanapostahafu.
  9. Vitarahisisha zoezi la kuhesabu watu (sensa).
  10. Vitarahisisha zoezi la kuhuisha daftari la wapiga kura, ambapo kwa sasa hufanyika mara mbili kabla ya uchaguzi mkuu.
Enzi hizo
 
Nilitumiwa sms ya kuwa kitambulisho tayari kipo ofisi niliyosajilia , ni kama miaka miwili imepita. So wiki hii nataka. Niende kukichukua , je nitakuta process gani tena nazoweza fanya ili kukichukua kitambulisho ?
 
Hii iwe declared ni another failed project.

Watu waliojiandikisha na waliopata nakala za vitambulisho ni kwa kiwango cha chini mno.

Total overhaul ya mamlaka ya vitambulisho vya taifa ifanyike incompetence ni ya kiwango cha juu na hakuna strategy, kwanini nasema hili ni kuwa bado licha ya kuwepo kitambulisho cha taifa bado nimekuwa nikiona matangazo ya mtu aidha aweke namba ya utambulisho au nakala halisi.

Vitambulisho licha ya kuwepo havijapunguza paperwork burden nilitarajia mtu akiwa na kitambulisho hiki kiwe na details zote ila ajabu mtanzania anayeenda kuomba pasi ya kusafiria ataombwa viambatanisho vingi ilhali taarifa zote ziko kwenye kitambulisho.

Iwe ni wake up call wakenya kufikia November wataweza kupata pasi ya kusafiria ndani ya siku tatu(3) tu ifikapo November 1, 2024 hii inachagizwa na integration kutokana na taarifa za kutoka kitambulisho cha utaifa.
 
Back
Top Bottom